ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Nawashangaa azam kuanzia timu hadi tv wamepania vibaya hii mechi yao na yanga kuliko hata ambavyo walivyokua wakishiriki CAF confederation cup na hadi kufikia kutolewa kirahisi na timu ya Pyramids...
Najiuliza kwanini pressure hii wasingeitumia kwenye michuano ile labda angalau wangesonga mbele..au walijijua fika kuwa wasingeweza fika mbali?
Ifike pahala timu zetu wajifunze kukaza kwenye game za kimataifa ligi hii ipo tu...
Same tatizo hata kwa simba wameshindwa kushindana na kutoka kizembe wanakuja kuhaha kwa polisi tanzania.