Azam wamepania hii game kuliko hata Confederation Cup

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Nawashangaa azam kuanzia timu hadi tv wamepania vibaya hii mechi yao na yanga kuliko hata ambavyo walivyokua wakishiriki CAF confederation cup na hadi kufikia kutolewa kirahisi na timu ya Pyramids...
Najiuliza kwanini pressure hii wasingeitumia kwenye michuano ile labda angalau wangesonga mbele..au walijijua fika kuwa wasingeweza fika mbali?
Ifike pahala timu zetu wajifunze kukaza kwenye game za kimataifa ligi hii ipo tu...
Same tatizo hata kwa simba wameshindwa kushindana na kutoka kizembe wanakuja kuhaha kwa polisi tanzania.
 
Mbona yanga ndo wanaonyesha wamepania zaidi kuliko hata azam... huoni hata msemaji wenu kaanza press kwenye maredio toka wiki lililopita.. kwanza match yenyewe imewapa moto mlikuwa hamjui hata mkachezee wapi mpaka mfadhili alipowambia hana hela za kupeleka timu arusha ndo mkaona hakuna namna mchezee tu hapa hapa dar
 
Mashabiki wakiwa wengi mapato yanaongezeka. Hamasa muhimu
 
Nawashangaa azam kuanzia timu hadi tv wamepania vibaya hii mechi yao na yanga kuliko hata ambavyo walivyokua wakishiriki CAF confederation cup na hadi kufikia kutolewa kirahisi na timu ya Pyramids...
Najiuliza kwanini pressure hii wasingeitumia kwenye michuano ile labda angalau wangesonga mbele..au walijijua fika kuwa wasingeweza fika mbali?
Ifike pahala timu zetu wajifunze kukaza kwenye game za kimataifa ligi hii ipo tu...
Same tatizo hata kwa simba wameshindwa kushindana na kutoka kizembe wanakuja kuhaha kwa polisi tanzania.
Jibu ni rahisi tu, mmiliki wa Azzam ni mwanachama wa maisha wa Simba.

Kwahiyo wanataka kuisaidia Simba kupunguza gape ya point kitu ambacho hakitowezekana.
 
Mbona yanga ndo wanaonyesha wamepania zaidi kuliko hata azam... huoni hata msemaji wenu kaanza press kwenye maredio toka wiki lililopita.. kwanza match yenyewe imewapa moto mlikuwa hamjui hata mkachezee wapi mpaka mfadhili alipowambia hana hela za kupeleka timu arusha ndo mkaona hakuna namna mchezee tu hapa hapa dar
Idara ya habari kitengo cha uhamasishaji,wanahamasisha watu kufika kwa wingi uwanjani kuishangilia timu yao.

Huyu siyo kupania

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Simba anafungwa kwa kulogwa tu
Idiot we, ety kwa kulogwa.. Ile siku mnakojolewa na Galaxy bao 3 ndani ya dakika 20 mlilogwa..???
Nyie no makolo tu,, yaan mwaka huu tunawapika nje ndani maanaa siku nyingi tunawahurumia, tunawafunga 1 nyingine tunawapa draw.. Mwaka huu no nje ndani dadeq
 
Nawashangaa azam kuanzia timu hadi tv wamepania vibaya hii mechi yao na yanga kuliko hata ambavyo walivyokua wakishiriki CAF confederation cup na hadi kufikia kutolewa kirahisi na timu ya Pyramids...
Najiuliza kwanini pressure hii wasingeitumia kwenye michuano ile labda angalau wangesonga mbele..au walijijua fika kuwa wasingeweza fika mbali?
Ifike pahala timu zetu wajifunze kukaza kwenye game za kimataifa ligi hii ipo tu...
Same tatizo hata kwa simba wameshindwa kushindana na kutoka kizembe wanakuja kuhaha kwa polisi tanzania.
YANGA vipi yeye alifanikiwa kusonga mbele nn? naona hujamtaja hapa kwamba alimkamia SIMBA akapigwa nje ndani na mnaijeria MNAZI.
 
Nawashangaa azam kuanzia timu hadi tv wamepania vibaya hii mechi yao na yanga kuliko hata ambavyo walivyokua wakishiriki CAF confederation cup na hadi kufikia kutolewa kirahisi na timu ya Pyramids...
Najiuliza kwanini pressure hii wasingeitumia kwenye michuano ile labda angalau wangesonga mbele..au walijijua fika kuwa wasingeweza fika mbali?
Ifike pahala timu zetu wajifunze kukaza kwenye game za kimataifa ligi hii ipo tu...
Same tatizo hata kwa simba wameshindwa kushindana na kutoka kizembe wanakuja kuhaha kwa polisi tanzania.
Miutopolo bhana... utadhani yenyewe haijatolewa Champions league kwa kupigwa nyumbani na ugenini...

Hakuna mijitu mijinga kama minyani....
 
Mashabiki wa utopolo ni maandazi sana. Mnajidai mna kikosi bora wakati mmecheza na timu zinazoburuza mkia.

Mpaka sasa Simba ndio tumecheza na timu bora za ligi kuu.
 
Mechi zote mikia walizoshinda msimu huu timu pinzani walikuwa pungufu! Ongezea na mipenati ya kupewa.....! Mna li timu bovu mno
 
wamepania kivipi lamda . maana kumbuka mpira ni business kwahiyo unapoona game inapewa promo kubwa usidhani ndio wameipania game uwanjani kama akili yako inavyokutuma uamini hivyo.mazoezi ni yale yale kikosi ni kilekile na uchezaji ni uleule tofauti ni promo tu acha ushamba kijana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom