Julius Husseni
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 1,435
- 1,192
Ya ujerumani.Lengo nione ligi ya ulaya kama England na ligi kuu hapa Tanzania, hawa jamaa hapa dukani kwao wauza madishi siwaamini nataka ninunue dishi. Au la ninunue dstv
Kwenye kifurushi gani?Ya ujerumani.
Cha Tsh 25,000/=Kwenye kifurushi gani?
Hahaha kwa vip mkuuwezi tu hao
Pale chanel gani bossCha Tsh 25,000/=
Aisee ni Azam Sports HD 2Pale chanel gani boss
Ligi ya ujerumani ndo ya laliga?Aisee ni Azam Sports HD 2
Kama uko vizuri mfukoni nunua DSTV uwe unalipia kifurushi Cha compact hapo familia Yako itakuwa na furaha zaidiLengo nione ligi ya ulaya kama England na ligi kuu hapa Tanzania, hawa jamaa hapa dukani kwao wauza madishi siwaamini nataka ninunue dishi. Au la ninunue dstv
Aisee hawa jamaa wa ving'amuzi wanawekeana restrictions hivi?Azam wanaonesha ligue one laliga pamoja na bundesliga ila epl huwa wanaonesha mechi kila jumamosi utv pamoja na ligi ya saudi pro league.
Dstv cha compact bei gani?Kama uko vizuri mfukoni nunua DSTV uwe unalipia kifurushi Cha compact hapo familia Yako itakuwa na furaha zaidi
Azam ambapo anakwama ni hapo kwenye epl tu ila akiwin hapo basi dstv hana deal mjini.Aisee hawa jamaa wa ving'amuzi wanawekeana restrictions hivi?
Hiyo utv inakua live au recorded?Azam wanaonesha ligue one laliga pamoja na bundesliga ila epl huwa wanaonesha mechi kila jumamosi utv pamoja na ligi ya saudi pro league.
Sasa kwanini asioneshe? Kuna mapatano fulani?Azam ambapo anakwama ni hapo kwenye epl tu ila akiwin hapo basi dstv hana deal mjini.
DSTV wako bora sababu wanaonesha almost mashindano yote makubwa ya mpira duniani.
Utv inakuwa live mkuu,Hiyo utv inakua live au recorded?
Azam - Bundesliga, Ligi ya Tanzania, Saudi ArabiaLengo nione Ligi ya Ulaya kama England na Ligi Kuu hapa Tanzania.
Hawa jamaa hapa dukani kwao wauza madishi siwaamini, nataka ninunue dishi. Au la ninunue DStv?