Azam wanaonesha Ligi gani Ulaya? Nisije kupata hasara

Julius Husseni

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2016
Posts
1,435
Reaction score
1,192
Lengo nione Ligi ya Ulaya kama England na Ligi Kuu hapa Tanzania.

Hawa jamaa hapa dukani kwao wauza madishi siwaamini, nataka ninunue dishi. Au la ninunue DStv?
 
Lengo nione ligi ya ulaya kama England na ligi kuu hapa Tanzania, hawa jamaa hapa dukani kwao wauza madishi siwaamini nataka ninunue dishi. Au la ninunue dstv
 
Kama uko vizuri mfukoni nunua DSTV uwe unalipia kifurushi Cha compact hapo familia Yako itakuwa na furaha zaidi
 
Azam wanaonesha ligue one laliga pamoja na bundesliga ila epl huwa wanaonesha mechi kila jumamosi utv pamoja na ligi ya saudi pro league.
 
Aisee hawa jamaa wa ving'amuzi wanawekeana restrictions hivi?
 
Azam ambapo anakwama ni hapo kwenye epl tu ila akiwin hapo basi dstv hana deal mjini.
DSTV wako bora sababu wanaonesha almost mashindano yote makubwa ya mpira duniani.
 
Sasa kwanini asioneshe? Kuna mapatano fulani?
 
Lengo nione Ligi ya Ulaya kama England na Ligi Kuu hapa Tanzania.

Hawa jamaa hapa dukani kwao wauza madishi siwaamini, nataka ninunue dishi. Au la ninunue DStv?
Azam - Bundesliga, Ligi ya Tanzania, Saudi Arabia
DSTV- HAKUNA LIGI YA TANZANIA
 
Back
Top Bottom