Azam ya bhakresa na nembo ovyo


Akili yako ndivo inakutuma?
Unadhani ninaweza kupata pesa ya kununua bundle nikose ya kununua malt? Sema wewe ni walewale mnaotaka tule hata najisi
 
Kama huna hela ya kununua kaa kimya usitafute sababu so hutak kisa kimeandikwa kiarabu mbona zingine zimeandikwa kichina na hapa hatuko china,zingine kiingereza na hapa sio UK na huzilalamikii!!

Tanzania ni china? Hapa sio china bwana acha uzuba wako. Weee kula lakini tutaendelea kuwafumbua watu wenye kujali macho wasinunue.
 
mimi ni mkristo na sitaacha kunywa vinywaji vya bakhresa.
Bakhresa ni role model wangu.
Nampenda,nimejifunza mengi mazuri kutoka kwake.
sioni tatizo yeye kutumia bidhaa zake kuonesha jinsi anavyojivunia uislam wake.
wewe mkristo unayekereka na label za bakhresa na wewe fanya kazi kwa bidii ili na wewe uwe na bidhaa zako halafu kwenye label zako na wewe uweke label zenye msalaba.
 

Bado sijaona hoja ya kunishawishi. Kwani Bakresa ni wa Arabuni? Picha za misikiti za nini? Toa hoja mfu hapa. Kama unata wee kunywa, lakini wanaojali nawatahadharisha wasinywe.
 

Kunywa tu kwani ufahamu wako umeishia hapo cha moto utakiona.
 
Nyie waandika kushoto mnaweza kunywa mnavyotaka, natahadharisha tu wale wenye akili timamu.
Anayetaka kunywa aendelee lakini wenye kunielewa acheni mara moja.
 
Nyie waandika kushoto mnaweza kunywa mnavyotaka, natahadharisha tu wale wenye akili timamu.
Anayetaka kunywa aendelee lakini wenye kunielewa acheni mara moja.

Ndio tatizo la kutumia laptop ya shemeji yako,mkuu unatoa mipovu sana punguza pls
 
Hili linaonyesha kwamba Tanzania hakuna ushindani wa kibiashara.

Nchi yenye ushindani wa kibiashara huwezi kufanya hivi.
 
Bado sijaona hoja ya kunishawishi. Kwani Bakresa ni wa Arabuni? Picha za misikiti za nini? Toa hoja mfu hapa. Kama unata wee kunywa, lakini wanaojali nawatahadharisha wasinywe.

Mbona unatoka povu mufti? Huku kujifanya tuna dini saaaana kuna unafki ndani yake. Ingewekwa picha ya condom kama ndio nembo hakuna ambaye angepinga. Akili zako hazitoshelezi wewe kuwa Mkristo, unachoweza kupata ni jina tu la dini
 

Watu kama wewe ni HATARI na tunapaswa KUKUEPUKA.
 
Mimi natafuna kwenda mbele. Mwambie Bakhresa auze kitimoto roast take away halafu kwenye packing achore Ali Kahaba uone kama nitaacha kula.

Maamuma kama wewe lazima ule kila kitu. Hata zile tunatupa toka matumboni mwetu kama katengeneza Bakresa utakula tu. Endelea.
 
Watu walivyokuwa wa ajabu kuniita mdini wakati aliyeweka label ya kidini kwenye prodoct zake yeye anaonekana yupo sawa hapo ndio nazidi kuwashangaa.
Ok kama mimi ni mdini niambie basis ya Bakresa kuweka label ya kidini kama sio kuwasaidia watu wa dini yake watumie bidhaa yake? Maana yake ni kwamba alihisi watu wa dini yake hawatatumia product zake kwa kuhisi sio safi kutokana na hofu ya uhalali kidini, kwa hiyo anawaondoa hofu sio? Sasa kwa nini nyie wadini mwaniita mie mdini ninaposema ukweli?
 

usikurupuke bwana,kuna maana ya kuweka hvyo!na c azam tu ndo ina hzo alama!me ni mkristo bt najua maana ya kuweka hzo nembo!ni kwamba anawatoa hofu waislam na jews pia kwamba wanaweza kutumia hzo bidhaa kwa sababu wenzetu wana mashart ya wat to eat n wat nt,c kama c wakristo,hata USA kuna bidhaa zina hzo alama!so hajakosea,wala c mdini...hta kama angekuwa mkristo angetaka auze mpaka nje lazima angeweka hzo nembo bro!
 
Ni ignorance yako tu inakufanya uniite mdini. Akili yako ingelikuwa sawa sawa usingeandika ujinga wote huo.

Yan tena TUKUEPUKE kama UKOMA....Enz za Nyerere ungechukuliwa ukapelekwa gereza la peke yako,TENA UKOME kutaka kutuchonganisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…