mkomatembo
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 1,477
- 819
hata mie nimeona label nyingine ya ziada, tena inaonekana inakuwa printed kenya, ni kitu kama HALAL standard wakati pia kuna tbs, sijui hii ni requirement ya nani tena kama kitu kimepata TBS stamp, hiyo nyongeza inamhusu nani tena
watu wa dubai sio wadini kama wa tz..
Ila ukinunua simu za kichina ambazo baadhi zina herufi za kiarabu kwenye keypad huoni tabu au ukipanda fly emirates au qatar airways ambazo ubavuni zimeandikwa kiarabu kwako sio tatizo au nazo utazikwepa?acha udini na usiharibu biashara za watu ametumia nguvu,hela na muda wake mwingi kufika hapo alipo usimuharibie bila ya sababu za msingi
ukifika china wageni wengi wanakimbilia hala restaurants ... i can only imagine weye usinge ingia hiyo resturants sababu kuna picha ya msikiti how pathetic u r
mtoa mada tafuta passport ukatoe matongo tongo nchi za ughaibuni! label ya halal food ipo kwa style nyingi sana...
.
pia hujalazimishwa kununua...
Tofautisha picha ya msikiti na maandishi ya kiarabu, kichina, kirusi au kiyahudi. Ikiwapo picha au alama ya msikiti kwenye product ni more serious na sisi kama walaji hatuwezi kula bila kupata majibu ya maswali au kutumia alternative products.
Mi namuunga mkono mtoa mada najua ni mtu mwenye upeo mkubwa wa kuchambua mambo ndo maana umeona hidden things. Hata mimi amenishtua ile mbaya kwani ni only altar wine ndo huwa naona ikiwa na alama ya msalaba
Sijaona hoja ya kunishawishi. Bado nitaendelea kuwataahalisha wenzangu mimi wasitumie vinywaji hivyo. Fumbo mfumbie mjinga... Kumbuka hatuko nchi ya kiarabu hapa. Tuko Tanzania. Mie sio mdini mdini ni aliyeweka udini kwa kitu ananiuzia!
Kaa mbali na vinywaji vya Bakresa.
MIMI NI MKRISTO, lakini nakuasa ndugu yangu ACHA UDINI na UBAGUZI, Kiarabu ni lugha tu kama kiswahili, kama hauelewi kilichoandikwa unauliza wanaojua, mbona bidhaa zilizoandikwa kichina hausemi?
BTW, Sidhani kama kuna mtu anakulazimisha kutumia bidhaa, kama nembo au maandishi yanakuchukiza unaacha unatumia zenyye misalabba au maneno yanayokufurahisha!
mtoa mada tafuta passport ukatoe matongo tongo nchi za ughaibuni! label ya halal food ipo kwa style nyingi sana... halal label ni special kuwatoa hofu muslims & jews ..
pia hujalazimishwa kununua...