Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Tena Mimi kwa maoni yangu Azzam ndio imepata pre season bora kabisa kuliko Simba na Yanga.Pre season Tu wanalalamika refa??
Azzam siyo timu ya kwanza kuweka mpira kwapani, hata Simba ilishafanya hiki kituko na kuikimbia Yanga pale shamba la bibi.Ndio maana Uto hawataki kusikia match za pre season, na wakicheza wanachezea uvunguni
Nyie ndio waasisi wa kukimbia uwanjaniNdio maana Uto hawataki kusikia match za pre season, na wakicheza wanachezea uvunguni
Naikumbuka sana hii kitu...hivi mikia walipewa adhabu YOYOTE?au ilikuwa funika kombeAzzam siyo timu ya kwanza kuweka mpira kwapani, hata Simba ilishafanya hiki kituko na kuikimbia Yanga pale shamba la bibi.
Anacheza namba ngapi au ana hisa asilimia ngapi hapo?Hii timu wamrudishe JEMEDARI SAIDI KAZUMARI.
BILA JEMEDARI AZAM NAFASI YA 3
Kwani said aliwahi kuwa mtendaji wa azamHii timu wamrudishe JEMEDARI SAIDI KAZUMARI.
BILA JEMEDARI AZAM NAFASI YA 3