Azam yamfuta kazi kocha wake

Azam yamfuta kazi kocha wake

Mo inabidi afanye jambo pale yanga kuibomoa beki line yao , jamaa wako vizuri sana hdi nishaanza kuogopa sasa.
Vile vidume viwili lamine na mwamnyeto ni hatari.
Ame hatoshi tena,maana mlisema Mwamnyeto alipokuwa Coastal alikuwa anatembelea nyota ya Ame.
 
Haswaa, mwingine tutakaye mfungashia virago ni Kishingo, Nina Imani hawezi kumaliza msimi huu.
Kweli mkuu kuna uwezekano hata huko Nigeria hatorudi ataondokea huko huko
 
Uzoefu unaonyesha Azam hawajui wanataka nini.
Anaweza kuja kocha wakarudi nyuma kabisa na kuanza moja tena.
Azam hawajui wanataka nini kwa sababu hawana mashabiki wengi wa kuwapa pressure, siku wakiwa nao watajua kitu wanachotakiwa kufanya.
 
Hiyo ndo silaha yao tu.

Wanapiga pasi mbili wapo golini

Ila huyo kocha waliyempata anajua sana

Sikutegemea Wangebadilika ivi

Azam wacha watimue kocha hamna namna
Wewe ni shabiki na mtani wa jadi wa ukweli, siyo wale wenzangu na mie kazi kuponda tu kila kitu
 
Mo inabidi afanye jambo pale yanga kuibomoa beki line yao , jamaa wako vizuri sana hdi nishaanza kuogopa sasa.
Vile vidume viwili lamine na mwamnyeto ni hatari.
Badala ujenge beki yako, we unawaza kubomoa ya mwenzio. Ili muwe sawa ama?
 
Mo inabidi afanye jambo pale yanga kuibomoa beki line yao , jamaa wako vizuri sana hdi nishaanza kuogopa sasa.
Vile vidume viwili lamine na mwamnyeto ni hatari.
Hao jamaa watatusumbua sana
 
Azam kuna mdudu gani kapiga kambi kwenu? kila mkijitutumua ndio kwanza boti inaelemea upande kama MV Bukoba? anzeni kujitayarisha kumfukuza Lwandamina kwani naye hatachomoka
 
Azam kuna mdudu gani kapiga kambi kwenu? kila mkijitutumua ndio kwanza boti inaelemea upande kama MV Bukoba? anzeni kujitayarisha kumfukuza Lwandamina kwani naye hatachomoka
Mchawi wa Azam ni Iddy Cheche,wamtafute wamalizane nae kwa amani.
 
Back
Top Bottom