Azam yamfuta kazi kocha wake

Azam yamfuta kazi kocha wake

Ilikuwaje Mkuu?
Anawadai chake?

Nami nataka nijue ....kwani waswahili mara nyingi ukijifanya mwamba wao hujifanya wadogo, haiwezekani Azam kila akifunga bao baada ya dakika chache linarudishwa mpaka kipa alitaka kuwatoa macho mabeki wake

Nadhani ile kumfukuza kocha Mromania Aristica Cioaba haitoshi bado inatakiwa Mbuzi nyeupe peee ili kutoa gundu hili
 
Back
Top Bottom