rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 18,360
- 26,244
issue ya waarabu na waisrael na waarabu inaanzia kwenye ugomvi wa urithi wa Ibrahim kati ya watoto wake Isaka na Ishimael wakati Isaka anadai yeye ni mrithi halali sababu alizaliwa ndani ya ndoa Ishimael alidai yeye ni mrithi halali sababu ni mtoto wa kwanza Ishimael ni uzao wa waarabu wakati Isaka ni uzao wa IsraelEsau siyo mwarabu mkuu,
anyway isaka akapata baraka kwa kudanganya,
yakobo nae akisaidiwa na mama yake wakazunguka mzee isaka,
halafu tena yakobo akarudi kwao iraq kwenda kutafuta mke wa kuoa,akamzulumu uncle wake mzee Laban mifugo yote licha ya pia kuwaoa wabinti wawili wa uncle Laban.
Sasa hizi genetics za kitapeli,zilirithiwa kizazi na kizazi mpaka leo,ndo maana utakuta leo wanapora ardhi ya wapalestina kwa kisingizio kwamba kuna kitabu kinasema mungu wao aliwapa hiyo ardhi,miaka 3000 iliyopita
Achana na penzi wewe. Na pia baada ya kifo cha Leah wakati wa uzazi wa Benjamin ilimhuzunisha sana Jacob, wale kaka zake hawakufahamu kumuuza Joseph kulileta simanzi kubwa sana kwa baba yao.ila yakobo alifanya si vizuri kukomba mifugo yote ya mzee Labani,
halafu wakati wanaondoka wakaiba na ile sanamu ya mungu aliokuwa akiabudu labani na mkewe akaificha kwenye nguo ya ndani,mzee wa watu aliwafuata na kuwasachi bila mafanikio kumbe bintie kaificha sehemu za siri
Ungeanza ku trace uzao kuanzia Abraham ndio alitokea huko, kwa kipindi kile iliitwa Uru ya wakaldayo(sasa iraq)isaka hakuwa myahudi,
technically hata yakobo hakuwa myahudi,neno yahudi asili yake na juda,judea.
Yule mtoto wa yakobo kama sikosei.
Isaka na yakobo ni wairaq wa asyria
sawa,ur ilikuwa ni sehemu ndogo tu katika hilo eneo linalojulikana leo kama iraq,Ungeanza ku trace uzao kuanzia Abraham ndio alitokea huko, kwa kipindi kile iliitwa Uru ya wakaldayo(sasa iraq)
Mkuu wayahudi na waarabu ni uzao wa Abraham wote. Hawa ni watoto wa Abraham wote, waarabu baba yao ni Ishamaeli mtoto wa Abraham na mamaye ni Hajiri na wayahudi watoto wa Isaka mtoto wa Abraham na mamaye ni Sarahsawa,ur ilikuwa ni sehemu ndogo tu katika hilo eneo linalojulikana leo kama iraq,
hao wakalidayo hadi leo wapo ni jamii ndogo iliyopo huko iraq,kwa kuwaangalia hawana tofauti na waarabu wengine,ni sawa pia na waasyria walioko syria.
Wayahudi wasingehamia ulaya ,leo usingeweza kuwatofautisha na waarabu,ila walienda ulaya wakaingiliana na wazungu,ndo maana wayahudi wa leo vigumu sana kuwatofautisha na wazungu kwa kuwaangalia.
Wapo kizazi cha wayahudi huko moroco,misri etc wako kama waarabu tu.
Bara la AsiaHiyo nchi iko bara gani? ramani plz
kusini mwa Russia,along caspian sea,moja ya jamhuri zilizobreakaway kutoka soviet union,wanajiregard kama wako europe,inapakana na turkey,armenia,iran na russiaHiyo nchi iko bara gani? ramani plz
ukirudi nyuma zaidi hawa ni uzao wa shem mwana wa Adamu,Mkuu wayahudi na waarabu ni uzao wa Abraham wote. Hawa ni watoto wa Abraham wote, waarabu baba yao ni Ishamaeli mtoto wa Abraham na mamaye ni Hajiri na wayahudi watoto wa Isaka mtoto wa Abraham na mamaye ni Sarah
Sky EclatUncle Laban alimtapele Jacob mkuu, roho ya Jacob ilikuwa kwa Leah na baada ya kumtumikia uncle kwa miaka 7, still uncle alimuozesha dada yake Leah kwa Jacob. Baada ya kutumikia tena miaka mingine 7 ndiyo alimpata Leah ambae alimzalia Joseph na Benjamin.
mataifa mengi ya kiislamu ya kiarabu yana uhusiano na israel sema tu wanawasilianaga usiku....hata wale ambako uislamu ndo nyumban(saudi)Hao wanaojiita Waislam wenye uhusiano mzuri na Israel ni Makafir na ni laana tululay! Qur'an imesema kabisa usifanye urafiki na hao Makafiri. Sasa sijui ni njaa au fitna....daah! Kuona pepo ni kazi sana!
basi baada ya yakobo kuwa ametoroka na wake zake na mali ya mjomba wake,Laban aliwafuatilia kwa siku nne hadi akawapata,wakasuluhishana ila kwa masharti.Sky Eclat
Mbona umetumia jina moja ktk nafsi mbili? Moyo wa Israel ulikiwa kwa Rahel lakini mjomba Laban hakutaka kumpatia kwani kwa mila zake huwezi muozesha binti mdogo kabla ya mkubwa LEAH.
Naamini umenimanya.
Soma vizuri historia ya makabila ya israeli. Usipotoshe brotherisaka hakuwa myahudi,
technically hata yakobo hakuwa myahudi,neno yahudi asili yake na juda,judea.
Yule mtoto wa yakobo kama sikosei.
Isaka na yakobo ni wairaq wa asyria
hii unasimlia toka quran brother maana naona wapotosha.basi baada ya yakobo kuwa ametoroka na wake zake na mali ya mjomba wake,Laban aliwafuatilia kwa siku nne hadi akawapata,wakasuluhishana ila kwa masharti.
Yakobo aliapizwa kwa jina la mungu wa isaka kwamba atawatunza mabinti wa mzee Labani na hatathubutu kuoa wanawake wengine kamwe.
Jacobo akakubali na wakaweka agano na mzee Labani,
mzee wa watu baada ya kuridhika akajirudia zake kwake mikono mitupu.
Jacobo akavunja agano na kuwaoa mahausegal wake na akazaa nao.
Yakobo alikuwa na mtoto wa kiume mkubwa sikumbuki ni yuda ama Reuben,akaona huu sasa ujinga,,akatembea na mke wa babake,,yaani mmoja wa wale mahausegal.
Jacobo kuja kugundua,lilikuwa zari la kutosha,kijana akafukuzwa kwao
ha ha ha,hivi dunia ya leo waweza kumdanganya mtu kweli?,hii unasimlia toka quran brother maana naona wapotosha.
huyo ,mzitokawela asikusumbue sana,ni christian mzuri tu,anakuenjoi tuVp nchi yako Tanzania inauhusiano gani na hao unaowaita makafir
Nina uhakika unapotosha kaka. Usiandike kujifurahishaha ha ha,hivi dunia ya leo waweza kumdanganya mtu kweli?,
mbona infor ziko njenje ni kiasi cha kuconfirm tu,wewe unasoma kweli bible mkuu,au unasubiri akusomee mchungaji?
ni kweli mkuu,mtoto mkubwa wa jacob,Reuben alimtamani mamake mdogo,akamnyatia usiku akiwa amelala na kuanza kubaka,Nina uhakika unapotosha kaka. Usiandike kujifurahisha