Elungata huwezi kulelewa kwa msaada wa mtandao pekee, soma biblia. Yusufu alipata double portion kwani watoto wake Manase na Efrahim ndo walipata urithi kwani babake yusufu yaani yakobo alimpenda sana yusufu tangu akiwa mdogo, hivyo hata watoto wa yusufu, Yakobo alisema hao ni wanawe soma mwanzo 48 yote utanielea na usome mwanzo 49:22-26umesema levi si katika makabila 12 ya israel ndo nimekuwekea orodha hiyo.
Ephrahim alikuwa kanichanganya na jina levi,actually ephrahim hakuwa mtoto wa jacob,sijui hapa aliqualify vipi,
ephrahim ni mtoto wa joseph aliemzaa na mke wa kimisri,kwahiyo uzao wa ephraimu ni wamisri kwanini nae akawepo katika makabila 12 ya israel?.
Na kwa hakika ni makabila 13 kama ilivyo orodha hapo,huku kabila la joseph likiwa halipo na badala yake kuna kabila za watoto wake manase na ephrahim.
Taarifa za mtandao huwa sio sahihi kivile kwani inategemea na chanzo cha habariYahud is a classical Arabic term which comes from a term used 11 times in the Quran to refer to descendants of Hud's community who had strayed into the worship 'Uzayr as the son of Allah. It is now ubiquitously nothing but the plural for Jew.
Uzayr - most often identified with the Judeo-Christian Ezra (عزير, 'Uzair) - is a figure mentioned in the Qur'an, in the verse 9:30, which states that he was revered by the Jews as "the son of God". Jews do not agree with this statement. Historically, Muslim scholars have interpreted this verse as referring to a small group of Jews making such a reverence.
sure nimejichanganya pale kusema ephrahim alikuwa upande wa judea,hiyo ni kutokana na bila kuconfirm kwanza na reference.Wakristo wenzangu naomba tuwe wasomaji wazuri na makini wa Biblia pamoja na vitabu vya historia, katika maeneo mengi tunachangia kwa jazba na mazoea, naomba tuwe wavumilivu na makini katika kujibu hoja, huyu elungata anajibu kwa msaada wa ku google, yapo mengine yuko sahihi na mengine anapotosha kutegemea na chanzo chake cha habari.
Sema israel ilianza na yakobo mwenyeweyeah,lakini wakati isaka yupo duniani neno yahudi halijakuwepo mkuu,neno hilo limeanza kuonekana kitabu cha wafalme.
Nishaeleza kuwa mwanzo wa neno yahudi ni yuda,mtoto wa jacobo,ni suala la kujiuliza tu ,kati ya isaka na yuda ,nani alikuwepo mwanzo,infact isaka wala huwezi kusema ni mwisrael,kwani waisrael ni wana wa jacobo
Hapa unapotosha. Yakobo ndio israel mwenyewe, hili jina alipewa na malaika wakati wanashindana naye usiku, akamwambia hutaitwa tena yakobo bali israel kwani umeshindana na wanadamu na Mungu nawe umeshindasawa ,lakini ujuwe neno jew limeanza kuonekana baadae sana katika kitabu kings,
bado nastick palepale kuwa isaka hakuwa myahudi wala mwisrael
Kwaiyo waislamu wamecopy zama za Giza. Una copy vipi kitu kibaya. That is why we are saying. Hata quran ni plagiarism from a bibleuko sawa tu,lakini ushawahi kusoma ama kusikia kuhusu zama za giza?
Unadhani kwanini crusade ilitokea?
Usijali mkuu,cha muhimu ni sisi kukemea majibishano yasiyojenga yenye mlengo wa kashfa bain ya hizi dini zetu mbili.Nashukuru ndugu kwa kukerwa na huyo jamaa tafurahi sana kuwa na jirani muislamu kama wewe.
ngoja ntaitafuta,ila kabla sijatoka hapa,najua waisrael wanafuata system ya matrilinear(spelling?)ambapo kwa mfano baba akiwa myahudi,mama akawa mmarekani then huyo mtoto wanaezaa hatakuwa myahudi.Elungata huwezi kulelewa kwa msaada wa mtandao pekee, soma biblia. Yusufu alipata double portion kwani watoto wake Manase na Efrahim ndo walipata urithi kwani babake yusufu yaani yakobo alimpenda sana yusufu tangu akiwa mdogo, hivyo hata watoto wa yusufu, Yakobo alisema hao ni wanawe soma mwanzo 48 yote utanielea na usome mwanzo 49:22-26
Taarifa za mtandao huwa sio sahihi kivile kwani inategemea na chanzo cha habari
Mkuu hii dunia ya leo haina waislaam wanaoishi kwa mahitaji ya quran 100% hassa viongozi na matajiri.Hao wanaojiita Waislam wenye uhusiano mzuri na Israel ni Makafir na ni laana tululay! Qur'an imesema kabisa usifanye urafiki na hao Makafiri. Sasa sijui ni njaa au fitna....daah! Kuona pepo ni kazi sana!
sikatai kuwa yakobo ni israel,tatizo ni jina yahud,anza kufuatilia kuanzia kitabu cha mwanzo,neno hilo hulikuti mpaka wafalme,ntakuja nikute majibu kwa hili baadaeHapa unapotosha. Yakobo ndio israel mwenyewe, hili jina alipewa na malaika wakati wanashindana naye usiku, akamwambia hutaitwa tena yakobo bali israel kwani umeshindana na wanadamu na Mungu nawe umeshinda
Wewe acha kupotosha hapa jacob ndo Israel, na yuda ilijigawa na ufalme wa Israel, yuda ikawa kusini na mji mkuu ni jerusalem na Israel ikawa kaskazini mji mkuu ulikuwa Samaria, kwa hiyo judea na Israel wote ni wayahudi(waebrania), ambao ni uzao ws yakobo.isaka hakuwa myahudi,
technically hata yakobo hakuwa myahudi,neno yahudi asili yake na juda,judea.
Yule mtoto wa yakobo kama sikosei.
Isaka na yakobo ni wairaq wa asyria
Katika hilo sijakupinga bali hapa[emoji115] nimekupa usahihi wa jina israelisikatai kuwa yakobo ni israel,tatizo ni jina yahud,anza kufuatilia kuanzia kitabu cha mwanzo,neno hilo hulikuti mpaka wafalme,ntakuja nikute majibu kwa hili baadae
Sasa nimelielewa lengo lakoEzekiel 5:10-15 God said: Fathers shall eat sons, sons shall eat fathers. I’ll inflict punishment on you. You have defiled my sanctuary. I’ll cut you down, no pity, no, mercy. 1/3rd shall die of pestilence, 1/3rd will die of sword, I will scatter and pursue 1/3rd with the sword. I will send famine against you and rob you of your children. I have anger, fury and jealousy. I, God, have spoken.
Ezekiel 7:8-16 Soon, I’ll pour my fury and anger upon you. I will look upon you with no pity or mercy. He in the country shall die by the sword, pestilence and hunger will devour those in the city.
Ezekiel 9:2-8-10 Six men come with a weapon in their hands. Mark an X on the forehead of those who moan and groan of the abominations practiced within. Strike without pity or mercy and wipeout old men, youths and maidens. Defile the temple. Fill the courts with the slain. God! Will you destroy the rest of Israel? I will not show mercy, nor pity.
Ezekiel 18:3-4 God said: All lives are mine
Huu ni uzushi, ubin wa israel ni kwa baba haijalishi mama katoka wapi. Hata Musa alioa kwa Yethro kuhani wa Midianingoja ntaitafuta,ila kabla sijatoka hapa,najua waisrael wanafuata system ya matrilinear(spelling?)ambapo kwa mfano baba akiwa myahudi,mama akawa mmarekani then huyo mtoto wanaezaa hatakuwa myahudi.
Ila mama akiwa myahudi baba akawa mmarekani mtoto anakuwa myahudi.
Watoto wa yusuph,mama yao alikua ni mmisri,sijui sasa hapa waliweza vipi kuitwa wayahudi,
am out for now meen
Kwy kitabu ninacho amini yakobo ni israelisaka hakuwa myahudi,
technically hata yakobo hakuwa myahudi,neno yahudi asili yake na juda,judea.
Yule mtoto wa yakobo kama sikosei.
Isaka na yakobo ni wairaq wa asyria