Du! Ubaguzi hadi kwy kitabuBujibuji umenena Sawa bin Sawa. AMRI KUU NI UPENDO. Soma hapa...
Urafiki Wa Wakristo
Maelezo yanaanzia na Aya 82 iliyokuwa mwisho wa juzuu ya sita, kwa vile inaungana hapa.
Maana
Hakika utawakuta walio maadui zaidi kuliko watu wengine kwa walioamini nimayahudi na washirikina.
Yaani mayahudi na washirikina ndio waliokuwa maadui zaidi kwa Waislamu. Mara nyingi watu wameitolea ushahidi Aya hii, kuwa dini ya kikristo iko karibu zaidi na Uislam kuliko dini ya kiyahudi. Hilo ni kosa ikiwa inakusudiwa dini ya kiyahudi na ya kikristo kabla ya kugeuzwa. Kwa sababu dini kwa Mwenyezi Mungu na Mitume wake ni moja tu kwa upande wa itikadi na msingi yake. Na kama ikikusudia baada ya kubadilishwa, basi zote mbili ni sawa (Ukristo na Uyahudi) hakuna yenye afad- hali.
Usahihi ni kuwa uhasama wa mayahudi na washirikina katika Uislam una- tokana na mgongano baina ya mwito wa kiislam na tabia iliyokuwa imeshi- ka kasi katika Bara arabu mwanzo wa utume. Tabia hiyo ilikua ni mashindano ya kupora mali na watumwa. Vilevile riba, ghushi na mengineyo ya kutumia nguvu na utapeli. Tabia hii iliambukiza wafanyibiashara wa kigeni, kama walivyoambukizwa viongozi wa kiyahudi waliokuwa wakimiliki viwanda na biashara ya ndani.
Kama hujui bora kukaa kimya.isaka hakuwa myahudi,
technically hata yakobo hakuwa myahudi,neno yahudi asili yake na juda,judea.
Yule mtoto wa yakobo kama sikosei.
Isaka na yakobo ni wairaq wa asyria
niliwahi kusoma sehemu mtu anakua myahudi kupitia kwa mama,itabidi nitafute wapi nilisoma,Huu ni uzushi, ubin wa israel ni kwa baba haijalishi mama katoka wapi. Hata Musa alioa kwa Yethro kuhani wa Midiani
we unaejui nieleweshe sasaKama hujui bora kukaa kimya.
Quran ilishukaje nifahamishe.kama kwy mawingu au kutoka wapi?Be blessed Mkuu.
Umeelezea vizuri sana, watu wengi hukurupuka sana katika kuielewa Quran.
Na ndio maana mtu hawezi ku-qualify kutafsiri Quran mpaka.
-Afahamu sababu ya kushuka aya (Contextuality)
-Awe mahiri katika lugha ya kiarabu
-Awe na ufahamu juu ya hadithi za Mtume a.s ambazo kuna baadhi hutafsiri aya pia.
-N.k n.k
Tofauti na hivyo upotoshaji utakuwa mwingi mno.
katika hizo aya anaonekana mungu wa yakobo anawambia,'never shall you rebuilt again'Sasa nimelielewa lengo lako
Kumbe upo hapa kupotosha makusudi.
UELEWE LAANA KIBIBLIA
Biblia inataja laana kama dhambi
Kumbukumbu la Torati 28:15-60
Na matokeo ya laana/dhambi ni
Magonjwa, utasa, mikosi,njaa, magonjwa yasiyotibika, mvua kutonyesha kwa wakati, tauni, mvua za kuzidi/mafuriko nk
Je? Hujalaaniwa wew?
Israel walipotenda dhambi uliadhibiwa, lakini walipotubu walisamehewa laana/dhambi.
Adhabu moja wapo ilikuwa ni kutekwa na adui zao.
Ezekiel wakati anatabiri alikuwa utumwani/uhamishoni pamoja na israel.
Walipotubu walirejeshwa nchini mwao soma ISAYA 40:1-30
Watulizeni mioyo watu wangu asema Mungu wenu. 2 semeni na moyo wa Yerusalem, kauambieni kwa sauti kuu ya kwamba vita vyake vimekwisha, uovu wake umeachili (yaani wamesamehewa)
Kwa kuwa amepokea kwa mkono wa Bwana ADHABU MARA DUFU KWA DHAMBI ZAKE ZOTE.
.
..POTOSHA TENA NIKUJIBU
Waislam wanaamini Mitume wote hadi Yesu, na Mitume wengi waliozungumzwa kwenye Injili pia wamezungumzwa kwenye Quran tukufu.Hivi ukafiri wa wayahudi ni upi?mbona mnawaamini mitume na manabii wa kiyahudi kama Mussa Suleiman na akina Yakobo na Isaka
Jamaa aliwindwa sana.Salman Rushidir aliandika kitabu cha Satanic Verses, jamaa akahukumiwa kifo popote atakapoonekana.
Dini isiyo na Upendo siyo dini ya MUNGU
bahati mbaya zaidi walimwita jina lake jipya mara tano tu kabla hawajarudia kumwita jina lake la zamani,yakoboYakobo ndio Israel.
Na wale watoto wake 12 kila mmoja linaitwa kabila. Ndio maana zinaitwa kabila 12 za Israel yaan watoto 12 wa Yakobo( Israel). Mwanzo 49:28. Hizo ndizo kabila za Israel kumi na mbili
Soma mwanzo35: 10.
Mungu akamwabia; jina lako ni Yakobo; hutaitwa tena Yakobo; lakini Israel litakua jina lako.
Maandiko plzz. Sina uhakika kwa 100% na ulichokisema hapo juu.bahati mbaya zaidi walimwita jina lake jipya mara tano tu kabla hawajarudia kumwita jina lake la zamani,yakobo
Hakuna awezaye kumuuliza Mungu wafanya nini wewe? Ni kwasababu Yeye ni Mungu muumba wa vitu vyote;katika hizo aya anaonekana mungu wa yakobo anawambia,'never shall you rebuilt again'
ndo kusema huyo mungu alijirudi,
hivi hizi hazikuwa fantasy kweli za ezekiel,maana inaonekana unabii wake ulikuwa unatokea in really time,yaani tukio linatokea ndo anaandika unabii,na hi ndo sababu kila wakipigwa waisrael vitani,anaandika kuwa wamepigwa sababu wamemuudhi mungu,kila wakishinda vitani wanaandika kuwa wamempendeza mungu,lakini cha ajabu hawawi specific wamempendeza vipi,
haiingii akilini mungu kumtumia nebukdeneza kuwapiga watu wake israel,na kuna mahali mungu wa yakobo kamuita huyo mfalme wa babel kuwa ni mtumishi wake,wakati nebukdeneza alikuwa akiabudu mungu alieitwa,Nebo ndo maana hata jina lake aliitwa,'Nebukdenezar' yaani mungu ni mlinzi wa mipaka yake'
sioni wapi waisrael wamefuata maagiza ya mungu hadi arudi kuwafavour,nachoona ni kuwa israel na judah zilikuwa ni kingdom ndogo ambazo mara nyingi zikiwa client state wa empire kubwa kama asyria na egpty na pia babel.
Nakumbuka kuna wakati utawala wa israel uliungana na ufalme wa syria kuishambulia yudah mpaka ikabidi mfalme wa yudah akimbie kwenda kuomba msaada kwa mfalme wa asyria na akamsaidia.
Cha ajabu hawa manabii wakaspin kuwa sijui jehova kasikia watu wake na kuwasaidia.
Kuna wakati watawala wa yuda waliwekwa na himaya hizo kubwa lakini unakuta spin kuwa mungu kamteua ahab sijui kuwa king wakati kiuhalisia haikuwa
Wasabato pia hawana tofauti na WaislamSasa hiyo laana na ukafir mbona waislam wengi hata wewe unao, maana una_urafiki mkubwa na wakristo wengi hapa bongo, iwe kibiashara au kushirikiana achilia mbali muunganiko wa kibiashara.
Lakini pia (ile phase ya UPENDO inayoimbwa na baadhi yenu) but ...
Bado nashindwa kuelewa dini ya chuki, fitina na kutokuwa na urafiki na mtu asiye dini yako ni ya Mungu/mungu yupi hasa!!.
Kupunguza nguvu za wafadhili ugaidiYeah,mungu aliwabariki pia marekani wakaweza kuipiga iraq ,baada ya maasi kuzidi ndani ya iraq,,ok i get it now..
nachomaanisha ni kuwa huyu mungu ambae baraka zake ni kukuongezea uwezo wa kijeshi au nguvu za kupigana ili uuwe watu,yaani baraka zake ni kukufanya uwe na manguvu ya kijeshi ya kuua,Kupunguza nguvu za wafadhili ugaidi