Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Na Wamarekani hawajatusaidia ?Mfanyabiashara Azim Dewji amesema Iran imewahi kuisaidia Tanzania katika nyakati ngumu, ikiwemo msaada wa meli mbili za mafuta miaka ya 70 wakati wa uhaba mkubwa.
Amesisitiza kuwa urafiki wa kweli huonekana wakati wa shida, hivyo Tanzania ina sababu ya kuonyesha mshikamano kwa Iran katika kipindi hiki wanachokipitia.
sasa Tanzania imsaidie nani, imsaidie nini? fedha au zana za kivita😁😁😁TANZANIA mbona inaurafiki na nchi zote hzo zinazopigana...
sasa tz itamsaidia nani na itamwacha nan!?
Nina uhakika Azim Dewji yupo humu na anatumia ID fake uhakika huo ninao nimejaribu kuconnect dots naona zinakubariMfanyabiashara Azim Dewji amesema Iran imewahi kuisaidia Tanzania katika nyakati ngumu, ikiwemo msaada wa meli mbili za mafuta miaka ya 70 wakati wa uhaba mkubwa.
Tuna MuunganoNa Wamarekani hawajatusaidia ?
Miaka hiyo wazazi wetu walikua hawana magari.Mfanyabiashara Azim Dewji amesema Iran imewahi kuisaidia Tanzania katika nyakati ngumu, ikiwemo msaada wa meli mbili za mafuta miaka ya 70 wakati wa uhaba mkubwa.
Amesisitiza kuwa urafiki wa kweli huonekana wakati wa shida, hivyo Tanzania ina sababu ya kuonyesha mshikamano kwa Iran katika kipindi hiki wanachokipitia.
Mai jei Wii sasaTupeleke Jei dabliu ti zi, wakakiwashe,
Je na USA waliotusaidia tangu tupate uhuru hadi leo, tutawasaidiaje? USA wametumia USD Billioni 27 tangu tupate uhuru hadi leo. It is very hard to deal with very myopic people. Wameshaweka dini mbele....Kama ni kuwasaidia, kwa jinsi ya akili na mawazo yake, basi USA na washirika wa maendeleo EU tulitakiwa tuwasaidie. Akili za dini ni za ovyo sana. Leo wanapigana Russia na Ukraine, hizi nchi zote zimetusaidia sana, kwa hiyo kwa akili ya Azim Dewji, basi tupeleke watu wengine wapiganie upande wa Russia na wengine wapiganie upande wa Ukraine. Kama akili ya watanzania wanafikiri kama huyu punda basi tuna safari ndefu. Hawaelewi maana ya Non-Aligned Movement (NAM). Tuna wapumbavu wengi sana nchi hii, ndiyo maana nchi inarudi nyuma kwa sababu ya watu wajinga kama hawa.Mfanyabiashara Azim Dewji amesema Iran imewahi kuisaidia Tanzania katika nyakati ngumu, ikiwemo msaada wa meli mbili za mafuta miaka ya 70 wakati wa uhaba mkubwa.
Amesisitiza kuwa urafiki wa kweli huonekana wakati wa shida, hivyo Tanzania ina sababu ya kuonyesha mshikamano kwa Iran katika kipindi hiki wanachokipitia.