Nilichokielewa kikubwa kabisa ni...
Kama mh Tundu lisu siku awe kiongozi, angependa kuitwa majina ya hovyo kama anavyowaita viongozi wengine, Je angependa tumdharau kama anavyoonyesha kuwadharau viongozi wengine?
Dewj kaongea point
asubiri shombo la mipasho ya kisiasa Dewej๐
wanyaturu hawakosolewagi hadharani ata kama amekosea kweli ๐
Nchi hii haina mnyaturu mhindi.Mfanyabiashara maarufu nchini Mzee Azim Dewji amezungumza na vyombo vya habari kuhusu tukio la maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kukataa kupisha msafara wa Naibu Waziri Mkuu, Mhe. Dotto Biteko aliyekuwa jijini Mbeya kikazi, Februari 20, 2023
"Mimi ni mshabiki wa vyama vya upinzani na kila mara huwa nasema Simba haiwezi kuwa imara bila kuwa na Yanga imara, hivyohivyo CCM inahitaji wapinzani imara ili kuwa imara zaidi, lakini saa nyingine wapinzani wanajisahau wanazungumza maneno ya kuleta fujo" - Alisema Mzee Azim Dewji
Mzee Azim Dewji amesisitiza ni muhimu wapinzani kuwa wastaarabu, wakikosa ustaarabu Serikali ikazuia maandamano wasipige kelele
Hata hivyo, Mzee Azim Dewji amesema kuwa Lissu ni Mnyaturu mwenzake na wote wametokea Singida, lakini kwenye hili ni vizuri akaomba radhi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Azimu ni mnyaturuuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chawa huyooMfanyabiashara maarufu nchini Mzee Azim Dewji amezungumza na vyombo vya habari kuhusu tukio la maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kukataa kupisha msafara wa Naibu Waziri Mkuu, Mhe. Dotto Biteko aliyekuwa jijini Mbeya kikazi, Februari 20, 2023
"Mimi ni mshabiki wa vyama vya upinzani na kila mara huwa nasema Simba haiwezi kuwa imara bila kuwa na Yanga imara, hivyohivyo CCM inahitaji wapinzani imara ili kuwa imara zaidi, lakini saa nyingine wapinzani wanajisahau wanazungumza maneno ya kuleta fujo" - Alisema Mzee Azim Dewji
Mzee Azim Dewji amesisitiza ni muhimu wapinzani kuwa wastaarabu, wakikosa ustaarabu Serikali ikazuia maandamano wasipige kelele
Hata hivyo, Mzee Azim Dewji amesema kuwa Lissu ni Mnyaturu mwenzake na wote wametokea Singida, lakini kwenye hili ni vizuri akaomba radhi.
Ataijulia wapi hiyo sheria, labda siku wakimtia jamba jamba na mambo ya kuficha sukari ndio atamuelewa huyo Mnyanturu Mwenzake...We gabachori kaa kwa kutulia ,unajua kwamba biteko ndiyo amevunja sheria?
asie husika na maandramano ana husika vip kusumbuliwa asiendelee na shughuli zake ๐..Biteko alikosea kupeleka msafara wake yalipokuwa maandamano.
Ataijulia wapi hiyo sheria, labda siku wakimtia jamba jamba na mambo ya kuficha sukari ndio atamuelewa huyo Mnyanturu Mwenzake...
Ilikuwa bahati sana waandamanji hawakumkamata huyo Biteko na kumchinja pale pale barabarani, ile ilikuwa provocation ya hali ya juu sana, kwa kitendo kile alichofanya, kutaka kukatiza katikati ya maandamano, na yeye kama NPM, ni kwamba hatoshi katika nafasi yake. Watu wana hasira na umeme, na yeye ndio mwenye dhamana, halafu anakwenda kuwasanifu na kuwapitiliza bila hata kutoa neno la faraja kwao...
Polisi nao wajitafakari, siku nyingine wasichanganye maandamano na hii misafara ya viongozi, ni hatari tupu ikiwa waandamanaji watageuka Mbogo na polisi kutumia risasi za moto kuwatawanya. Itakuwa maafa makubwa sana, na polisi ndio wa kwanza kulaumiwa... Hili liwe funzo kwa siku zijazo. Provocation haitakiwi kwa wenye hasira na maisha ya kuunga unga- umeme tabu tupu, sukari hata kijiko kimoja ni anasa, dollar hazipo za kutosha, nchi kama nchi tumekuwa Matonya (RIP) huko duniani, mashirika ya kutuma fedha kama world remit sasa wanakataa kufanya muamala kwa cash, na tunako elekea, Mungu anapajua... Ingawaje mwenye shibe hamjui mwenye njaa, tunawahitaji wenye shibe na watawala wasikie kilio cha wenye njaa na watoe suluhisho kabla mambo hayajawa mambo, ni hayo tu. Mwenye kusikia na asikie.
Ni jina gani baya Lisu hajaitwa? Au mtu akiwa kiongozi unamuona kama Mungu? Kiongozi unakwenda kupita kwenye maandamano ya watu wasiokubaliana na itikadi zako unategemea Nini?Nilichokielewa kikubwa kabisa ni...
Kama mh Tundu lisu siku awe kiongozi, angependa kuitwa majina ya hovyo kama anavyowaita viongozi wengine, Je angependa tumdharau kama anavyoonyesha kuwadharau viongozi wengine?
Dewj kaongea point
๐ Hakuna kitu kibaya kama kuwa chawa uzeeni.asubiri shombo la mipasho ya kisiasa Dewej๐
wanyaturu hawakosolewagi hadharani ata kama amekosea kweli ๐
Hivi wachezaji walipewa magari yao kweli .Navyojua yalikuwa yamefutiwa na kodi kabisaaaa.Azim aliuza mechi na Stella Abidjan
Ziligeuzwa kuwa Daladala Chai MaharageHivi wachezaji walipewa magari yao kweli .Navyojua yalikuwa yamefutiwa na kodi kabisaaaa.
Dewji Kazeeka Mwili na akili , Yaani Lissu amuombe radhi Biteko !Mfanyabiashara maarufu nchini Mzee Azim Dewji amezungumza na vyombo vya habari kuhusu tukio la maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kukataa kupisha msafara wa Naibu Waziri Mkuu, Mhe. Dotto Biteko aliyekuwa jijini Mbeya kikazi, Februari 20, 2023
"Mimi ni mshabiki wa vyama vya upinzani na kila mara huwa nasema Simba haiwezi kuwa imara bila kuwa na Yanga imara, hivyohivyo CCM inahitaji wapinzani imara ili kuwa imara zaidi, lakini saa nyingine wapinzani wanajisahau wanazungumza maneno ya kuleta fujo" - Alisema Mzee Azim Dewji
Mzee Azim Dewji amesisitiza ni muhimu wapinzani kuwa wastaarabu, wakikosa ustaarabu Serikali ikazuia maandamano wasipige kelele
Hata hivyo, Mzee Azim Dewji amesema kuwa Lissu ni Mnyaturu mwenzake na wote wametokea Singida, lakini kwenye hili ni vizuri akaomba radhi.
Dewji anapaswa kukamatwaHivi wachezaji walipewa magari yao kweli .Navyojua yalikuwa yamefutiwa na kodi kabisaaaa.
asie husika na maandramano ana husika vip kusumbuliwa asiendelee na shughuli zake ๐
Naunga mkono.Mimi ni Ofisa wa Serikali mstaafu na si shabiki wa chama cho chote wala Simba au Yanga. Nashangaa ofisa gani Mwandamizi wa Serikali anaweza kumpitisha Kiongozi ye yote wa kitaifa katikati ya halaiki ya maandamano ambayo ni rasmi, achilia mbali ya kiongozi mwenyewe kuafiki huo utaratibu. Ni aibu tupu kwa Tanzania kuwa hatuko chini katika viwango vya elimu tu lakini hata katika viwango vya utawala na uongozi!! Jambo hilo si la kutetewa hata kidogo. Rais mwenyewe anatakiwa alikemee jaribio hilo kwa sababu misiba inayoweza kuzuiliwa kabla ya kutokea mchezo huo ukienda kombo!