Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakina dewji lini wamekua waarabu! Juwa kutofautisha kati ya Mwarabu na mhindi, ushawahi kusikia mwarabu anaitwa Dewji?Asa mbona ni waarabu/sijui wahindi?? Umewahi kuona mzungu wa kijamii😂😂 tuanzie hapo tu
Acha ubaguziHawa watu mkiwaacha nao wakajiona ni watanzania mtataabika sana. hawa ni wahamiaji bila kujali uwezo wao kifedha.
Wasishiriki siasa za nchi yetu. Kwao rangi ni muhimu sana, Hatuoni weusi INDIA wakibwabwaja kama hivi.
Huyu mzee anazeeka vibaya sasa au katumwa!Mfanyabiashara maarufu nchini Mzee Azim Dewji amezungumza na vyombo vya habari kuhusu tukio la maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kukataa kupisha msafara wa Naibu Waziri Mkuu, Mhe. Dotto Biteko aliyekuwa jijini Mbeya kikazi, Februari 20, 2023
"Mimi ni mshabiki wa vyama vya upinzani na kila mara huwa nasema Simba haiwezi kuwa imara bila kuwa na Yanga imara, hivyohivyo CCM inahitaji wapinzani imara ili kuwa imara zaidi, lakini saa nyingine wapinzani wanajisahau wanazungumza maneno ya kuleta fujo" - Alisema Mzee Azim Dewji
Mzee Azim Dewji amesisitiza ni muhimu wapinzani kuwa wastaarabu, wakikosa ustaarabu Serikali ikazuia maandamano wasipige kelele
Hata hivyo, Mzee Azim Dewji amesema kuwa Lissu ni Mnyaturu mwenzake na wote wametokea Singida, lakini kwenye hili ni vizuri akaomba radhi.
Huyu fala anaongea nini? Anajielewa kweli? Hii ndiyo shida ya kuongea mambo ya kuambia ukaongee. Anamzungumzia Lissu yupi ambaye asingemwita Magufuli mwizi? Au anajsahalisha? Mbona Magufuli alikuwepo na Lissu alimwita mwizi?Mfanyabiashara maarufu nchini Mzee Azim Dewji amezungumza na vyombo vya habari kuhusu tukio la maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kukataa kupisha msafara wa Naibu Waziri Mkuu, Mhe. Dotto Biteko aliyekuwa jijini Mbeya kikazi, Februari 20, 2023
"Mimi ni mshabiki wa vyama vya upinzani na kila mara huwa nasema Simba haiwezi kuwa imara bila kuwa na Yanga imara, hivyohivyo CCM inahitaji wapinzani imara ili kuwa imara zaidi, lakini saa nyingine wapinzani wanajisahau wanazungumza maneno ya kuleta fujo" - Alisema Mzee Azim Dewji
Mzee Azim Dewji amesisitiza ni muhimu wapinzani kuwa wastaarabu, wakikosa ustaarabu Serikali ikazuia maandamano wasipige kelele
Hata hivyo, Mzee Azim Dewji amesema kuwa Lissu ni Mnyaturu mwenzake na wote wametokea Singida, lakini kwenye hili ni vizuri akaomba radhi.
Ametumwa huyo au ametishwa kuwa asipoongea basi akifa serikali haitaruhusu maiti yake kuchimwa moto bali watamzika udongoni. Au kaambiwa watakuja kumchukua na siku ya kupatikana hatavalishwa khanga bali dera.Huyu mzee anazeeka vibaya sasa au katumwa!
Elimu, elimu, elimu - Edward Ngoyai LowassaMimi ni Ofisa wa Serikali mstaafu na si shabiki wa chama cho chote wala Simba au Yanga. Nashangaa ofisa gani Mwandamizi wa Serikali anaweza kumpitisha Kiongozi ye yote wa kitaifa katikati ya halaiki ya maandamano ambayo ni rasmi, achilia mbali ya kiongozi mwenyewe kuafiki huo utaratibu. Ni aibu tupu kwa Tanzania kuwa hatuko chini katika viwango vya elimu tu lakini hata katika viwango vya utawala na uongozi!! Jambo hilo si la kutetewa hata kidogo. Rais mwenyewe anatakiwa alikemee jaribio hilo kwa sababu misiba inayoweza kuzuiliwa kabla ya kutokea mchezo huo ukienda kombo!
Haya ndio mafisadi yaliyotajirika kwa kutumia mifumo yetu mibovu na rushwa hongo na ukwepaji kodi mkubwaAmetumwa huyo au ametishwa kuwa asipoongea basi akifa serikali haitaruhusu maiti yake kuchimwa moto bali watamzika udongoni. Au kaambiwa watakuja kumchukua na siku ya kupatikana hatavalishwa khanga bali dera.

Mnyaturuuuuu!!!Mfanyabiashara maarufu nchini Mzee Azim Dewji amezungumza na vyombo vya habari kuhusu tukio la maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kukataa kupisha msafara wa Naibu Waziri Mkuu, Mhe. Dotto Biteko aliyekuwa jijini Mbeya kikazi, Februari 20, 2023
"Mimi ni mshabiki wa vyama vya upinzani na kila mara huwa nasema Simba haiwezi kuwa imara bila kuwa na Yanga imara, hivyohivyo CCM inahitaji wapinzani imara ili kuwa imara zaidi, lakini saa nyingine wapinzani wanajisahau wanazungumza maneno ya kuleta fujo" - Alisema Mzee Azim Dewji
Mzee Azim Dewji amesisitiza ni muhimu wapinzani kuwa wastaarabu, wakikosa ustaarabu Serikali ikazuia maandamano wasipige kelele
Hata hivyo, Mzee Azim Dewji amesema kuwa Lissu ni Mnyaturu mwenzake na wote wametokea Singida, lakini kwenye hili ni vizuri akaomba radhi.
Hao ni raia feki....nyoyo zao siyo juu ya tanzania bali mali za tanzaniaDewji ni mnyaturu kumbe!! Na Rostam ni mnyamwezi, tunasubiri umeme,wengine wanasubiri sukari,wengine maji,hiyo meli sijui itafika lini,au usikute ilishazamishwa na hizbolah
Utawala wa Serikali hauendeshwi kwa mujibu wa imani. Kama maafa yangetokea na wahusika wakapelekwa mahakamani hapo ndipo tungesikia kama imani ya mpanga njia ya kiongozi wa kitaifa ni utetezi unaokubalika kisheria. Tukemee kufanya maamuzi yenye uwezekano wa madhara ambayo tunaweza kuyaepusha. Haya hayakuwa mafuriko ya maji ya mvua!..napenda kuamini kwamba Polisi waliamini maandamano ni SALAMA ndio maana wakampitisha NWM na msafara wake katikati ya waandamanaji.
Hakika huu ndiyo ukweli..Lisu ana sifa moja ya kipekee isiyobishaniwa, nayo ni kuwa mkweli wa nafsi yake kwa yale anayoamini ndiyo ukweli. Huwezi kumhonga aubadilishe uwongo kuwa ukweli.
Kwenye hili la Biteko, Lisu yupo sahihi, na Biteko au Polisi wanatakiwa kuwaomba msamaha waandamanaji kutaka kuharibu maandamano yao.
Sheria yetu inapovitaka vyama vya siasa kutoa taarifa Polisi, sababu mojawapo ni kuzuia mgongano wa matukio.
Biteko na Polisi wawe waungwana, watoe kauli ya kuwaomba msamaha waandamanaji kwa kosa la kutaka kuvuruga maandamano ya wananchi.
Ni kawaida mtu kudharauliwa.Nilichokielewa kikubwa kabisa ni...
Kama mh Tundu lisu siku awe kiongozi, angependa kuitwa majina ya hovyo kama anavyowaita viongozi wengine, Je angependa tumdharau kama anavyoonyesha kuwadharau viongozi wengine?
Dewj kaongea point