Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Ule uhuni waliomfanyia ndio malipo yake hayaKama namuona Mgunda anavochekea bafuni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ule uhuni waliomfanyia ndio malipo yake hayaKama namuona Mgunda anavochekea bafuni
Watasema maneno yote msimu huu."Niliwauliza viongozi wa Simba Sc huyu kocha ametoka timu gani wakaniambia ametoka Vipers ya Uganda, niliwaambia mbona Vipers ni timu ndogo sana sisi tunataka kocha mkubwa sio kocha wa kutoka kwenye timu ndogo sisi malengo yetu ni makubwa”
Azim Dewji - Mfadhili wa Zamani wa Simba na mdau wa soka nchini akizungumza sakata la kocha Roberto Oliveira kutimuliwa.
Na ndiyo maana mashabiki wake wanaitwa mbumbumbu. Maana wanapelekwa pelekwa tu hovyo na hao Wahindi wao.simba ni timu ya familia ya wahindi-stak kutaja sifa za wahindi.
Alimuua nani boss. Kumbe mwonekano wa Azim unadanganya eeeh? Anaokana kama mtu kati ya watu, kumbe...Huyu Mzee ni Muuaji.
Makima mna tabuNa ndiyo maana mashabiki wake wanaitwa mbumbumbu. Maana wanapelekwa pelekwa tu hovyo na hao Wahindi wao.
Umeandika sana ila umeandika mambo yasiyoeleweka.Hana ujinga na yuko sahihi. Labda wewe ndo una ujinga.
Wadau wengi wa Simba walikuwa wanataka aje kocha aliyewahi kupata mafanikio makubwa kwenye soka la Africa (CAFCL au CAFCC). Robertinho ana CV gani kubwa kwenye hayo mashindano?
Wanasimba walitaka uongozi usilete tena hawa makocha wa kizungu wasiolijua vyema soka la Afrika (wakiwemo Sven Vandernbrock, Robertinho,n.k) bali waletwe wababe wa Kiafrika kama akina Florent Ibenge,aliyekuwa kocha Msaidizi wa timu ya taifa ya Ghana,n.k. Haya huyo Robertinho anafikia CV ya hao niliowataja?
Credit haikuwa kufundisha Fluminense, maana kuna mtu alikuwa kutoka Real Madrid (Gomez) na bado akachemka.Credit ilikuwa kulijua na kuliweza soka la Africa.
Duh mshafikia stage hii ya kuchanganyikiwa?Fala wewe muuaji.
Utajiri wako ni wa damu.
Dokta fupi yuko wapi wewe jambazi wa nafsi.
We mpuuzi, wakati Gomez anakuja CV yake ilionyesha amepita wapi na wapi?Umeandika sana ila umeandika mambo yasiyoeleweka.
Ni lini Gomez alifundisha Madrid? Kama unakosea vitu vidogo kama hivi, hayo mengine uliyoandika kuna haja ya Kujadili?
Unarudia tena makosa, sababu ya Ujuaji.We mpuuzi, wakati Gomez anakuja CV yake ilionyesha amepita wapi na wapi?
Au ukisikia Real Madrid ni mpaka iwe ile Madrid ya wakubwa(akina Vinicius Jr)?
Nilimaanisha kocha Pablo Franco. Na kusahau kupo hata wewe huwa unasahau, ila hiyo haifanyi hoja niliyoitoa hapo juu ionekane haifai.Unarudia tena makosa, sababu ya Ujuaji.
Ulishindwa hata kugoogle? Hata kama hujui vitu.
Ni lini Gomez CV yake iliandikwa amepita Madrid?
Acha kujitia aibu, ujanja mwingi mbele kiza.
Umeeleweka bro.Nilimaanisha kocha Pablo Franco. Na kusahau kupo hata wewe huwa unasahau, ila hiyo haifanyi hoja niliyoitoa hapo juu ionekane haifai.
Sema kama wewe hujawahi kusahau.
Kama Dewji anamaanisha na yeye yupo kwenye Kamati ya ushauri basi wamchukuwe Pitso Masomane ndio kocha wanayemtaka Simba."Niliwauliza viongozi wa Simba Sc huyu kocha ametoka timu gani wakaniambia ametoka Vipers ya Uganda, niliwaambia mbona Vipers ni timu ndogo sana sisi tunataka kocha mkubwa sio kocha wa kutoka kwenye timu ndogo sisi malengo yetu ni makubwa”
Azim Dewji - Mfadhili wa Zamani wa Simba na mdau wa soka nchini akizungumza sakata la kocha Roberto Oliveira kutimuliwa.
Nitajie kocha mmoja tu mzawa anayefundisha klabu kubwa nje ya Tanzania.Waacheni Matusi nyie Simba
Mlipoifunga Yanga zile Goli Nne moja mbona wenzenu walitulia.
Mi naona Kocha Mgunda asingeondolewa Simba, tunathamini Sana Makocha wa Kigeni.
Kwa sasa wamrudishe Mgunda tu.
Haina haja ya kuhangaika na Makocha wa haraka haraka.
Maneno yenu yaheshimu wawekezaji .
Hiyo Man United inafungwa goli Sita sembuse Simba.
Hili ndo jibu sahihiNi sahihi pia, mbinu zake zinahitaji workrate ya hali ya juu mnoo
Kwani umelewa?Nilimaanisha kocha Pablo Franco. Na kusahau kupo hata wewe huwa unasahau, ila hiyo haifanyi hoja niliyoitoa hapo juu ionekane haifai.
Sema kama wewe hujawahi kusahau.
Asa kukubali tangu mwanzo uliona nini?Nilimaanisha kocha Pablo Franco. Na kusahau kupo hata wewe huwa unasahau, ila hiyo haifanyi hoja niliyoitoa hapo juu ionekane haifai.
Sema kama wewe hujawahi kusahau.
Gamond anakuja mrefu mbona.Tatizo ni kuropoka kwingi as if mtaweza kuwalipa, msidhani kupata kocha mwenye mafanikio ya kimataifa mtakuwa mnamlipa pesa ya madafu, inahitajika hela kweli
Jaribu kufuatilia wenzetu wa Afrika Kaskazini ama Kusini wanawapipa sh ngapi ndio utajua kuwa, viongozi na mashabiki kinachowaponza ni kuropoka ilhali kugharamia hawawezi