Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
- Thread starter
- #281
Mkuu Kwanza nianze Kwa mshangao ambao nawe uliupata Kwa huyo jamaa ambaye ndani ya foleni na pilika pilika za kupata huduma na bado akawa na gati ya Kuangalia porn, ebu jiulize akiwa free bilasha ndio balaa zaidi.Nimefuatilia uzi wako pamoja na comments zako mwanzo mpaka mwisho.
Ni ushauri mzuri unautoa wa kusaidia vijan wadogo mpaka wakubwa.
Nimewahi ingia Tanesco tumepanga folen kuja jamaa amevaa magwanda ya ccm yupo mbele yng nakuta anaperuzi website ya porn, nilishangaa sana.!
Kwa kuongezea mawazo yako nafikiri tushauri vijana waoe ilimradi tu umebarehe yaani miaka 18, 19 mpaka 20 oa ili kuzuia haya majanga.
Ukizidisha umri huo hujaoa yaani huna pa kupunguzia shahawa zako, believe me huwezi kukwepa punyeto hata Kama unamiliki nokia kitochi na hujui kama kuna websites za ngono.
Mfano mimi mwenyw nilianza darasa la sita from no where lkn nilikuja kuacha baada ya kuoa.
Ukweli ni kwamba sisi afrik tuna aminisha vijana wetu kuoa wakiwa wamejenga, wana pesa ya kutosha mara at least miaka 28 mpaka 35 mtu bado anatafuta maisha kuoa kakuwek kando, utaponea wapi punyeto weweeee.!!
Kwa hiyo tujikite kuona sababu ni nini na kushauriana.
Mi mwanangu akifikisha miaka 18 hata kama yupo shule nashauri aoe maana atanidanganya kwamba hana mihemko, wazungu pia ni mfano mzuri wao age 15 tayari ana sehemu ya kukojolea.
Hayo ma punyeto atayatolea wapi na ma porn??
Tukija katika wazo la pili ni kweli kabisa suluhisho ya haya mambo yote pamoja na kuepuka zinaa ni kuoa Tu.
Hiyo ndio njia nzuri na njema ya kufuata,kuna haja ya Kuangalia ni kwa namna gani kama jamii ikabadili mtazamo na kuona kwamba Jambo la kuoa ni muhimu sana katika kulinda utu WA mtu na kuwa na jamii Bora inayo thamini umuhimu wa familia.
Mahari ziwe nyepesi ili kumuwezesha kijana afanikishe swala zima la kuoa,nadhani wewe ni Shahidi ingawa watu wengi wanaponda kuwa waislamu Wana mahari nyepesi lkn waliona mbali hii yote kuhakikisha ndoa zinafungwa na watu waepuke machafu mbali mbali.
Kwahiyo nakubaliana na wewe kabisa kuna haja ya Kuangalia namna ya kuhamasisha ndoa zaidi na kuweka miundo mbinu rahisi katika kufanikisha Hilo.