Azimia kuacha kuangalia video/picha za ngono 2023

Azimia kuacha kuangalia video/picha za ngono 2023

Okay tumemtoa, sasa mkuu mtu anayehusika na kitu si ndio anaweza kukuonesha uhalisia wa jambo kuliko aliye nje?.
Ndio, ila wakati mwingine anaweza kuamini tatizo ni kubwa sana kuliko uhalisia. Mfano, nenda siku kakae mochwari iliyopo hospitali kubwa, unaweza dhani kila mgonjwa aliyeingizwa hosp anakufa. Ndo maana utafiti huwa unatumia sample.

Unaweza kuta katika watu 10, wawili ndo wana tatizo na 8 hawana ila hao wawili aliyepo kwenye field ndo anakutana nao kila wakati.
 
Ni sawa ila hili suala la kupata matatizo kwenye mfumo wetu wa uzazi limekaa vibaya sana wewe angalia akili za vijana wetu tu tulionao hapo utaelewa jinsi gani hatuna watu.

Mtizame tu mtu kama dronedrake halafu uniambie mtazungumza nae nini productive akakuelewa.
 
Jamaa anajifanya ana PHD ya Harvard kwenye mambo ya punyeto na kujikamua mwenyewe chumbani, eti mara 5 kila siku mfululizo tangu 2020.

Kwamba ameshusha manii mara 4000 naa kwa miaka miwili na yuko hapa jei efu anaperuzi wala haumwi kichwa wala kupepesuka, tunaingizana mjini sana.
Hahaha mkuu wallah unanipa Raha Sana Leo

Jamaa anajifanya mkali WA hizo mambo sana
 
Ni sawa ila hili suala la kupata matatizo kwenye mfumo wetu wa uzazi limekaa vibaya sana wewe angalia akili za vijana wetu tu tulionao hapo utaelewa jinsi gani hatuna watu.

Mtizame tu mtu kama dronedrake halafu uniambie mtazungumza nae nini productive akakuelewa.
Hahaha. Hapa sina neno.
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 kama uko njema programming, aah mbona tutavibe, nikupe repo yangu zenye IoTs kule Git ?

ila kuhusu kuridhisha kiumbe hapana, najiridhisha mimi
 
Haya kwa wale ambao Wana premature ejaculation au wanao kojoa haraka,kuna mzigo huo hapo, huu bwana ni natural kabisa upo ndani ya capsule kama tetesaklini hivi Ni majani majani ni vidonge Kumi Tu, baada ya wiki mbili au tatu tatizo limeisha kabisa.

Utashangaa baada ya wiki mbili au tatu ligi inaendelea mpaka unashangaa na uzuri ni kwamba baada ya dozi moja au mbili Tu basi hauhitaji kutumia tena unakuwa normal kabisa.

Hivi ushawahi piga show na kutokwa na jasho? Kama unapiga dakika Moja Tu jasho utatoa wapi?

Nazungumzia kitu ambacho nakijua na nimetumia,Mimi mpaka Leo bao la pili simalizi Kwa maana napiga show kibabe mpaka nachoka,halafu napumzika kama dakika tano ndo napiga tena dakika kadhaa ndo namwaga.

Kile kitendo cha kuchelewa kukojoa kwa mda mrefu basi hata ubongo wako unapokea Hilo na kufanya ndio Jambo lako la kila siku na hivyo unakuwa katika Hali hiyo,na kinyume chake ukiwa unakojoa mapema ndani ya sekunde au dakika moja basi ubongo unarekodi hivyo na na kufanya ndio Jambo lako la kawaida.

Kwahiyo hii dawa hapa Chini inabadilisha huo utaratibu na kukufanya kuwa mtu wa kawaida kabisa.

Niliona online wakati huo nilikuwa mkoani,nikamtuma mtu akanichukulie, alienda pale maeneo ya kituo cha polisi mabatini karibu na kijito nyama, wakati huo kama miaka mitatu iliyopita nilinunua 105,000/=

Ebu itafute utakuja kunishukuru baadae.
1673005076182.jpg
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 kama uko njema programming, aah mbona tutavibe, nikupe repo yangu zenye IoTs kule Git ?

ila kuhusu kuridhisha kiumbe hapana, najiridhisha mimi
Leta hizo loTs hapa tuone, utafanya programming gani wewe wakati ukifumba macho unakutana na mniga hana nguo.
 
Kina Elon musk wote wanaangalia porn ....

Asilimia kubwa ya wafanyakazi marekani ,wanatumia PC z kazin kuangalia porn ...
 
Wakuu tumieni hii kitu itawasaidia

Chukua vitunguu swaumu punje8, tangawizi kubwa 1, twanga kwa pamoja ndani ya chombo.

Weka maji ndani ya mchanganyiko ila hakikisha iwe kali na uchemshe, tumia kutwa mara2 au 3 kwa siku.

Majibu utayapata ndani ya wiki 1,2 mwisho ni 3. Acha nyeto, kuangalia x na usifanye tendo la ndoa wakati unatumia dawa.

Nitatoa dawa ya mtu aliyeathirika na punyeto na kuboresha nguvu za kiume
 
Asante sana kwa kunipa hii heshima mkuu. Am honored kwakweli. Lakin aliekwambia ndani ya akili yako kwamba uniinvite kuchangia hajakosea.

Kitambo kidogo...nilishakuwaga na huu uraibu. Nimeteseka sana kuuacha..sana tu. Kila mtu ana shit ameshawahi pitia in life, well this is mine. Sasa unachokisema si uongo. Porn and Masturbation ina uraibu mbaya sana.

Sikuwaga na feeling na wanaume at all. Ilinipelekea niwe mtu flani nunda sana..extreme. Ikaniharibu saikojia maana always nilitakaga kuwa alone, mwenyewe mwenyewe, kivyangu vyangu. Ikanitengezea fake independence kujiona naweza kila kitu. Imenichukua muda mrefu kuishinda hii tabia.

Side effects: sawa ile ukicome unapata raha maana organs umezistimulate, na ubongo umereceive something you think is nice, lakin sasa shida ni kwamba viungo vya uzazi vinapata effect, ambazo zimeshaandikwa na shida kubwa zaidi ni ya kiroho. Partnership tunazofanya na hawa watu kwenye videoz, spiritual exchange zinazofanyika si kitoto.

Maana unakuwa enticed kufanya na wengi, sasa vitabu vya dini vyote vinakataza zinaa, waganga tu wanakatazaga uchafu hasa kama kuna specific directions kwa kitu unachokitazamia, majini tu ukiwa nao kuna wengine hawataki uzini..likikuvaa halitaki ukito****** ovyo, wewe ni nani?? kila unachofanya unajisikia kuhukumiwa, ukitaka kusali ama swali picha ama clip ya mriah mills, cherokee, sara j, darcie dolce inakujia kichwani alivyokua ananyonywa ndogo huku ananengua..ama nina kayy alivyokua anatwerk huku inaingia..saa ngapi utaswali ama kusali, saa ngapi utawaza maendeleo ndugu yangu. Maana unavyozidi kuwaza, unazidi kutamani, huyooo pornhub, kutafuta ingine yenye mikiki zaidi ili uenjoy.

Hata ukiwa prodctv utafanya asilimia 40 tu na utajiona ooh mbona nafanya kazi napata hela..lakin kiuhalisia umechunda..60 yote unampa bwana shetty. Hatimae sasa tamaa itazidi kuzaa dhambi, utatamani kufanya zaid...ukikutana na mshkaji ama manzi..wewe unataka upractise...na nikwambie hizi sexual fantasies watu tunazo ni porn after-effect, utazila ndogo mwshoe utatatman za wanaume wenzako...mtakataa hapa kwmba laana sijui nini lakin nimekutana na case katika counselling mwanaume ananiambia wazi j...nimechoka wanawake, sikuwah kupata wazo la kula wanaume wenzangu lakin hii porn stuff..na kula wanawake wengi mpaka kuja kuzoea kula ndogo imenipelekea nianze kuwaangalia wanaume wenzangu kwa jicho la pili. Anafaa kunywa vinywaji vikali ili alale maana he is so confused. Alishapata good women maishan mwake lakin kwa sabbu ya huu uraibu hawezi kuishi nao kw amani.

Mungu kasema anatupa akili katika mambo yote..na anatufundisha ili tupate faida, sasa kama tunaengage kwenye hizi addictions..tutasali ama swali kwa nani? Kama alivyonisaidia mimi, akusaidie na wewe ufanikiwe kuachana na hii addiction ili ubetter your life..and kama unaona am bluffing ni sawa..nilikua kama ama zaid yako...do what you like...neno langu si sheria anyways. Mkawe kheri na baraka kwenye maisha yenu yote. One love...
Umeongea mengi mazuir,
ila mengine umeleta chai ya motiveshono spika
 
Kwa walio athirika na punyeto kuna dawa ni nzuri tu na kwa gharama inayowezekana kuimudu kwa kila mmoja.
Kuna mizizi ya mti furani huwa inauzwa kwa bei ya elfu mbili hadi elfu 5,na hii unatumia kwa mda wa wiki moja au mbili inategemea na uzito wa tatizo.

mizizi unaitafuna tu na kumeza maji yake ila inaingia kwenye misuri ya mwili moja kwa moja hadi unaihisi mwilini.Uume unarudi kwenye hali yake ya kawaida .

Mkoani mbeya kuna vijana wanauza mtaani kabisa unakuta ni ni mibichi imetoka porini ,unatafuna tu kama big g,unahisi mwili kusisimuka ndio inakuwa inaingia mwilini hivyo.Ni natural haina madhara,kwa hapa dar sijajua kama ipo pia
 
Tupe jina mkuu mimi nitajitolea kumnunulia dronedrake hata dozi ya mwezi mzima.
 
Back
Top Bottom