Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 3,278
- 6,843
Baba yangu alioa akiwa na 19 years aliandaliwa mazingira ya kutunzwa na wazazi wake so mtoe kwenye hizo tuhuma zenu za hilo balaa.VIjana boys schools huko wanapiga mpaka wanamaliza na hawana madhara yoyote. Unaweza kuta baba yako mzazi alipiga sana tu. Hii kitu inaondokaga automatically unless utengeneze addiction. Na addiction si hilo tu kuna pombe, chakula, uongo n.k
Porn ni mbaya ndio, na ukitaka kuacha porn jitahidi kuwa busy. Unakosa kazi unakaa masaa chumbani unadhani utafanyaje?
Hao vijana unataka mpaka wakueleze hayo madhara huko uboizini? mimi nakwambia kwasababu ni field yangu nakutana na watu wa miraba minne na wanajeshi kabisa wanaolalamika udhaifu walionao, jambo ni kubwa kuliko unavyodhani mkuu.
Kuhusu uraibu wa aina nyingine, achana kabisa na uraibu wa kupitia katikati ya mapaja mkuu huu haufanani na wowote.Na itakuwaje usitengeneze na mtu ananogewa?.