Niwaambie tu ,upigaji punyeto unaweza kumaliza nguvu za kiume au usimalize,na hii inategemea na namna mtu anavyo fanya,tambua punyeto zipo za namna tofauti tofauti.
Kwa wale walio pitia shule za bweni watanielewa,ukiweka wapiga punyeto watano utaona kila mtu ana staili yake ya upigaji japo lengo ni moja,kufika kileleni
Punyeto inayochosha uume ni ile ya kusugua uume mzima ,yani mtu anasugua uume wake kwa mkono toka kwenye kichwa cha uume hadi kwenye shina la uume,na pengine anaweza asiwe anafika kwenye shina moja kwa moja ila akawa anacheza na katikati na kwenye kichwa,hapo lazima uume ulegee mana mishipa itakuwa inashughurishwa si kitoto.
Kuna wengine huwa wana cheza na kichwa tu ,hawa angalau kupatwa na tatizo la ulegevu wa misuri huwa ni nadra.
Madhara ya porn na nyeto yapo kimwili na kiroho zaidi.
Tambua wanadamu tunaishi kwa nguvu ,na nguvu hizi si za kimwili bali za kiroho.Mtu ili ufanikiwe lazima uwe na nguvu za kiroho,nguvu za kiroho ndio huwa zinatoa uwezo wa kumiliki mali au kutawala jambo fulani
Unapoona kuna mtu kakuweza kwa jambo furani ,au kuna kitu kinakushinda wewe ila kuna mwingine anakiweza vizuri ,hizo ni nguvu za kiroho,mmezidiana ki roho.
Utazamaji wa porn na upiga punyeto huondoa nguvu za kiroho na kumfanya mtu aishi mtupu,unaweza jiona una nguvu na misuri ya kutosha ila tambua nguvu za mwili huwa hazina faida sana ukilinganisha na nguvu za kiroho.
Nguvu za kiroho ni kibali,matendo machafu hasa zinaa huondoa kibali kwa asilimia kubwa zaidi .
punyeto ni uchafu unao utenda juu ya nafsi yako mwenyewe,yani unatenda uovu katika mwili wako mwenyewe
Dalili za kupungukiwa au kukosa nguvu za kiroho ni pamoja na Kukosa kibali,mbele za Mungu na mbele ya binadamu, kuwa mtu wa kukataliwa na mambo yako kusua sua
Kuhisi hatia mda wote na kukosa amani,kukosa ujasiri na kuwa muoga hata kwa mambo ya kawaida ,kuwa mpweke ,kukosa msaada hata kwa watu wako wa karibu,kukosa ushawishi na kuwa mtu wa kupuuzwa ,kushindwa kufanya mambo mbele za watu ambayo unaweza kuyafanya ukiwa peke yako.
Hayo ni baadhi tu ila yapo mengi,katika yote ni bora zaidi kuchagua njia sahihi katika maisha .Na utambue kila unapojichua na kutoa mbegu zako ndo nguvu huondoka kwa staili hiyo
Ndo mana tunaambiwa, ikimbieni zinaa,mzinifu hawezi kuwa na nguvu za kiroho na ndio maana hata wachungaji wakianza kuchepuka kazi zao huishia pale pale