Azimia kuacha kuangalia video/picha za ngono 2023

Mkuu Kwanza nianze Kwa mshangao ambao nawe uliupata Kwa huyo jamaa ambaye ndani ya foleni na pilika pilika za kupata huduma na bado akawa na gati ya Kuangalia porn, ebu jiulize akiwa free bilasha ndio balaa zaidi.

Tukija katika wazo la pili ni kweli kabisa suluhisho ya haya mambo yote pamoja na kuepuka zinaa ni kuoa Tu.

Hiyo ndio njia nzuri na njema ya kufuata,kuna haja ya Kuangalia ni kwa namna gani kama jamii ikabadili mtazamo na kuona kwamba Jambo la kuoa ni muhimu sana katika kulinda utu WA mtu na kuwa na jamii Bora inayo thamini umuhimu wa familia.

Mahari ziwe nyepesi ili kumuwezesha kijana afanikishe swala zima la kuoa,nadhani wewe ni Shahidi ingawa watu wengi wanaponda kuwa waislamu Wana mahari nyepesi lkn waliona mbali hii yote kuhakikisha ndoa zinafungwa na watu waepuke machafu mbali mbali.

Kwahiyo nakubaliana na wewe kabisa kuna haja ya Kuangalia namna ya kuhamasisha ndoa zaidi na kuweka miundo mbinu rahisi katika kufanikisha Hilo.
 
Kwanza hongera kwa kupona na hii inaonyesha kuwa kila kitu kinawezekana kama ukiwa na dhamila njema.

Pole Sana ulienda kuomba ushauri Kwa shetani. (Shetani ni Jambo ovu au mtu muovu au mapepo)
Kabisaaa mkuu ni moja ya ulevi unaodumaza fikra na mwili pia.
 
Amen.
 
Wakati wazungu ndo wanaongoza kwa izo porn haijalishi ni mtu mzima wala nini na kwao ni kitu cha kawaida,kikubwa ni malezi na utandawazi umeharibu jamii
 
Vijana wa kuoa walikuwa zamani mkuu,sasaivi maisha magumu na usawa ulivyokaza mtu kuoa mpk avuke miaka 30 wazungu wao wanawah kuoa au kuolewa lakin ndo wanaongoza kuangalia porn
 
Vijana wa kuoa walikuwa zamani mkuu,sasaivi maisha magumu na usawa ulivyokaza mtu kuoa mpk avuke miaka 30 wazungu wao wanawah kuoa au kuolewa lakin ndo wanaongoza kuangalia porn
Wale wana Laana mkuu
 
mimi nilishaishinda miaka saba sasa ila wife akiniuzi huwa nastua tena mbele yake ili kumuonyesha kuwa mimi ni mhuni mwenye Fujo zisozo umiza si unajua zile mambo eti leo nimechoka namwambia tulia nastua kimyaa.
 
mimi nilishaishinda miaka saba sasa ila wife akiniuzi huwa nastua tena mbele yake ili kumuonyesha kuwa mimi ni mhuni mwenye Fujo zisozo umiza si unajua zile mambo eti leo nimechoka namwambia tulia nastua kimyaa.
We Noma mkuu hahah
 
Hii kitu ni hatari NOFAP NDIO MSAADA ingia google soma au ni PM dopamine inawasumbua
 
Tubadilike ndugu zangu porn zinatuweka mbali na utukufu wa Mola wetu, kuangalia utupu ambao sio WA mume wako au mke wako ni haramu na INA mchukiza Sana muumba wetu
Ndiyo sisi wenyewe tunajiweka mbali na utukufu wa Mola. Pia ni kujiharibu binafsi kihisia, kiafya, kijamii na mengineyo.

Lakini kuhusu kumchukiza Mungu walaa tusijiproud. Mungu ni mkuuuubwa mno kuchokozwa na binadamu kadoogo hivyo.

Kama porn imekuumiza jiombe msamaha, kama imemuumiza mkeo muombe msamaha, mmeo vilevile. Kwa Mungu tukaombe tu nguvu ya kupambana na kuonesha kutubu, toba ni kubadili ufikiri kabisa uwe katika namna ya kuacha dhanbi husika. Mungu mpe moyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…