Azimio Bunge la kuridhia makubaliano kati ya Tanzania na Dubai kuboresha bandari ya Dar es Salaam

Azimio Bunge la kuridhia makubaliano kati ya Tanzania na Dubai kuboresha bandari ya Dar es Salaam

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kumekuwa na Mijadala nchi nzima kuhusu Wageni walioletwa ili kuendesha Bandari yetu ya Dar es Salaam , kila mtu anasema lake .

Sasa baada ya Mkanganyiko huo tukaona ni vema tukienda kwenye Hansard na "kudukua" Azimio lililotolewa Bungeni likishawishi Wabunge wakubali uuzwaji huo .

Hebu Jisomee mwenyewe ili upate undani wake na kuokota baadhi ya hoja za Kuchangia .

FB_IMG_1686050708390.jpg
FB_IMG_1686050753685.jpg
 
Watu wanakualika, wanakupetipeti na zuria jekundu, wanafanya juu chini kukufurahisha, alafu unadhani wanawekeza kwa manufaa yako??

Afrika tatizo letu kubwa ni akili, wageni wanaiona Afrika ni sehemu ya kuchuma utajiri kwa ajili na manufaa yao. Viongozi wako tayari kupoteza manufaa ya muda mrefu kwa vihela vya harahara ili kuacha 'legasi'.

Badala ya kuboresha mapungufu yaliyopo wewe unauza kabisa?? Huko si nikukiri kwamba kweli nchi yako watu hawana akili wala uwezo wa kujisimamia kwa lolote, hata kuboresha mapungufu hamuwezi. All you can do it sell it.
 
Watu wanakualika, wanakupetipeti na zuria jekundu, wanafanya juu chini kujifurahisha, alafu unadhani wanawekeza kwa manufaa yako??

Afrika tatizo letu kubwa ni akili, wageni wanaiona Afrika ni sehemu ya kuchuma utajiri kwa ajili na manufaa yao. Viongozi wako tayari kupoteza manufaa ya muda mrefu kwa vihela vya harahara ili kuacha 'legasi'.

Mambo ya ajabu kabisa, baba wa taifa alifanya kazi kubwa kutuweka kwenye njia sahihi, alielewa kuwa hakuna mwekezaji kutoka nje ambaye anakuja kwa ajili ya manufaa yako. Ni afadhali uvumilie umasikini kwa muda huku unajengea uwezo watu wako wa kutajirika kwa kutumia maliasili zao.

Lakini kwa sasa tunauza tu nchi yetu, kila rais yuko bize kuhangaika kuandika 'hadithi', mambo ya hovyo kabisa
Mtukane kabisa mwambie komaniko!!
 
UONGO

Bunge bado halijajadili, na wala wananchi hawajatoa maoni kabla ya IGA kukaa

Hivyo huu ni upotoshaji tu
 
Kumekuwa na Mijadala nchi nzima kuhusu Wageni walioletwa ili kuendesha Bandari yetu ya Dar es Salaam , kila mtu anasema lake .

Sasa baada ya Mkanganyiko huo tukaona ni vema tukienda kwenye Hansard na "kudukua" Azimio lililotolewa Bungeni likishawishi Wabunge wakubali uuzwaji huo .

Hebu Jisomee mwenyewe ili upate undani wake na kuokota baadhi ya hoja za Kuchangia .

View attachment 2647900View attachment 2647901
SSH ana mkataba gani binafsi na waarabu!? Ndugu zetu Loliondo na ngorongoro walivurumishwa kama dig dig kupisha mwarabu awekeze!
|Sasa na bandari tena? Aisee na niwaambie tu wabara wenzangu msije mkafikiri kuwa suala la ardhi ya bagamoyo zanzibar na bandari havihusiani! Hasha mtanikumbuka baadaye wakati sehemu yote ya pwani na Dar itakapomilikishwa waarabu na wajomba zao wa zenji """""tik tik tik subirini------- Kalisheni matako kama minyani mizee tu !
 
Back
Top Bottom