Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Msukuma amesema aliongea na Mfalme wa Dubai labda moja ya mambo alichombeza ni hilo la bandariKumekuwa na Mijadala nchi nzima kuhusu Wageni walioletwa ili kuendesha Bandari yetu ya Dar es Salaam , kila mtu anasema lake .
Sasa baada ya Mkanganyiko huo tukaona ni vema tukienda kwenye Hansard na "kudukua" Azimio lililotolewa Bungeni likishawishi Wabunge wakubali uuzwaji huo .
Hebu Jisomee mwenyewe ili upate undani wake na kuokota baadhi ya hoja za Kuchangia .
View attachment 2647900View attachment 2647901