Azimio Bunge la kuridhia makubaliano kati ya Tanzania na Dubai kuboresha bandari ya Dar es Salaam

Azimio Bunge la kuridhia makubaliano kati ya Tanzania na Dubai kuboresha bandari ya Dar es Salaam

Nchi kufikia level hii ni mapungufu ya Vyombo vyetu vya Usalama wa Taifa.

Havina weledi wa kuongoza Taifa.
Hawa waliookotwa UVCCM , kazi yao kubwa ni kudukua Chadema tu
 
Page ya tatu ya thread sijaona mtu yoyote amejalibu hata kuchambua hizi page mbili tuu. ni matusi, uchadema na uCCM, unatamani kulia. vijana mbadilike.
 
Page ya tatu ya thread sijaona mtu yoyote amejalibu hata kuchambua hizi page mbili tuu. ni matusi, uchadema na uCCM, unatamani kulia. vijana mbadilike.
Wewe pia mbona hujachambua ?
 
Hakuna cha Bure

FB_IMG_1686074170313.jpg
 
Wewe pia mbona hujachambua ?
Ahsante....Moja.. inasemwa ni bandari ya Dsm lakini Hansard inasema maeneo yote ya maji Tanzania, Bahari, Maziwa, bandari za nchi kavu.

Mbili. Kwenye maelezo kumetajwa faida kama Kodi, tozo, ushuru, nk. ila kwenye hitimisho la kuomba ridhaa nilitegemea wangeonyesha ni kiasi gani tutapata kama nchi against tunachopata sasa. badala yake wameweka general benefit.

Tatu. Lugha yetu pendwa ya Kiswahili kwenye kutafisiri mikataba yetu sio rafiki, haileti Ile maana halisi.
 
Mungu fundi hivi hawa wabunge wangeweza kuzuia muswada wa kubadili katiba Ili jiwe asitoke?
Na ndiyo ilikuwa lengo na dhamira ya jiwe kuwakusanya hawa vilaza waliokuwa wanamuabudu ili wampe urais wa maisha.

Mungu akaona hili chizi acha nilipeleke motoni tu.
 
Kumekuwa na Mijadala nchi nzima kuhusu Wageni walioletwa ili kuendesha Bandari yetu ya Dar es Salaam , kila mtu anasema lake .

Sasa baada ya Mkanganyiko huo tukaona ni vema tukienda kwenye Hansard na "kudukua" Azimio lililotolewa Bungeni likishawishi Wabunge wakubali uuzwaji huo .

Hebu Jisomee mwenyewe ili upate undani wake na kuokota baadhi ya hoja za Kuchangia .

View attachment 2647900View attachment 2647901
kwani kukodisha sehemu ya bandari kwa wawekezaji kuna ubaya gani?
 
Kumekuwa na Mijadala nchi nzima kuhusu Wageni walioletwa ili kuendesha Bandari yetu ya Dar es Salaam , kila mtu anasema lake .

Sasa baada ya Mkanganyiko huo tukaona ni vema tukienda kwenye Hansard na "kudukua" Azimio lililotolewa Bungeni likishawishi Wabunge wakubali uuzwaji huo .

Hebu Jisomee mwenyewe ili upate undani wake na kuokota baadhi ya hoja za Kuchangia .

View attachment 2647900View attachment 2647901
Tungemuuza Samia kwanza na serikali yake halafu mengine yafuatie
 
Serikali pia iwakodishie DP World, ikulu, bunge na mahakama kwa miaka 100 ili kuongeza ufanisi, na kutoa ajira kwa vijana wetu.
 
Hao kina mbowe wanalipwa mishahara na kupata ruzuku za wafadhili sababu hiyo. So ni moja ya majukumu yao ya msingi kikemea
Kwa hiyo wewe unayelipa Kodi unawategemea wao si ndiyo??
 
Back
Top Bottom