Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wewe umekemea ?Hutaona Mbowe ,Lema,Zito wala Lisu wakikemea hili wako bize kumsema vibaya Magufuli tu.
Sisi yetu machoBado mlima Kilimanjaro
Eti hawa vilaza wa ccm waliokusanywa na jiwe Kisha kupelekwa bungeni ndiyo wanaitwa wabunge!!Bunge????? Tanzania Kuna bunge???hkuna bunge ..hao wapiga mkofi?????
Hao kina mbowe wanalipwa mishahara na kupata ruzuku za wafadhili sababu hiyo. So ni moja ya majukumu yao ya msingi kikemeaWewe umekemea ?
Serikali ijitaifishe yenyewe , au ulitaka kuandikaje ?Ka maelezo hayo machache... Ninwapoi panaonyesha kuwa serikali ina mpngo wa kutaifisha bandari?
Eti mwandishi!
Mtukane kabisa mwambie komaniko!!Watu wanakualika, wanakupetipeti na zuria jekundu, wanafanya juu chini kujifurahisha, alafu unadhani wanawekeza kwa manufaa yako??
Afrika tatizo letu kubwa ni akili, wageni wanaiona Afrika ni sehemu ya kuchuma utajiri kwa ajili na manufaa yao. Viongozi wako tayari kupoteza manufaa ya muda mrefu kwa vihela vya harahara ili kuacha 'legasi'.
Mambo ya ajabu kabisa, baba wa taifa alifanya kazi kubwa kutuweka kwenye njia sahihi, alielewa kuwa hakuna mwekezaji kutoka nje ambaye anakuja kwa ajili ya manufaa yako. Ni afadhali uvumilie umasikini kwa muda huku unajengea uwezo watu wako wa kutajirika kwa kutumia maliasili zao.
Lakini kwa sasa tunauza tu nchi yetu, kila rais yuko bize kuhangaika kuandika 'hadithi', mambo ya hovyo kabisa
SSH ana mkataba gani binafsi na waarabu!? Ndugu zetu Loliondo na ngorongoro walivurumishwa kama dig dig kupisha mwarabu awekeze!Kumekuwa na Mijadala nchi nzima kuhusu Wageni walioletwa ili kuendesha Bandari yetu ya Dar es Salaam , kila mtu anasema lake .
Sasa baada ya Mkanganyiko huo tukaona ni vema tukienda kwenye Hansard na "kudukua" Azimio lililotolewa Bungeni likishawishi Wabunge wakubali uuzwaji huo .
Hebu Jisomee mwenyewe ili upate undani wake na kuokota baadhi ya hoja za Kuchangia .
View attachment 2647900View attachment 2647901
[emoji38][emoji38][emoji38]... kuna kipindi jengo refu zaidi Dubai also duniani (Burj Khalifa) lilifunikwa kwa bendera yetu ya taifa mkatoa meno! Inalipiwa ile tena kwa gharama kubwa!
View attachment 2647983