Msukuma amesema aliongea na Mfalme wa Dubai labda moja ya mambo alichombeza ni hilo la bandariKumekuwa na Mijadala nchi nzima kuhusu Wageni walioletwa ili kuendesha Bandari yetu ya Dar es Salaam , kila mtu anasema lake .
Sasa baada ya Mkanganyiko huo tukaona ni vema tukienda kwenye Hansard na "kudukua" Azimio lililotolewa Bungeni likishawishi Wabunge wakubali uuzwaji huo .
Hebu Jisomee mwenyewe ili upate undani wake na kuokota baadhi ya hoja za Kuchangia .
View attachment 2647900View attachment 2647901
bado hujapata wa kukukuna bado? We huwa unawashwa sana ukisikia serikali hii inafanya jambo lolote la kheriKumekuwa na Mijadala nchi nzima kuhusu Wageni walioletwa ili kuendesha Bandari yetu ya Dar es Salaam , kila mtu anasema lake .
Sasa baada ya Mkanganyiko huo tukaona ni vema tukienda kwenye Hansard na "kudukua" Azimio lililotolewa Bungeni likishawishi Wabunge wakubali uuzwaji huo .
Hebu Jisomee mwenyewe ili upate undani wake na kuokota baadhi ya hoja za Kuchangia .
View attachment 2647900View attachment 2647901
Matusi hayatakusaidia kitu , kwani hii taarifa ni ya siri ? kama ni jambo la heri unaogopa nini likitangazwa ?bado hujapata wa kukukuna bado? We huwa unawashwa sana ukisikia serikali hii inafanya jambo lolote la kheri
Siwezi kumtukana mtu.Mtukane kabisa mwambie komaniko!!
Wew ni mpuuzi hujui kama ni kiongozi wa siasa na ana dhamana ya watuWewe umekemea ?
Hao wote ni ccm B wanakula na kulamba asali pamoja.Hutaona Mbowe ,Lema,Zito wala Lisu wakikemea hili wako bize kumsema vibaya Magufuli tu.
Mungu fundi hivi hawa wabunge wangeweza kuzuia muswada wa kubadili katiba Ili jiwe asitoke?Eti hawa vilaza wa ccm waliokusanywa na jiwe Kisha kupelekwa bungeni ndiyo wanaitwa wabunge!!
Daaah !Mungu fundi hivi hawa wabunge wangeweza kuzuia muswada wa kubadili katiba Ili jiwe asitoke?
Mkuu wewe si ulisema Chama kwanza halafu mengine baadaye !Ni ukosefu wa akili kuipa serikali ya nchi nyingine imiliki lango kuu la nchi Yako.
Hilo jambo sio Bure . Rushwa itakua imehusika.
Wewe Raia una dhamana ya nani ?Wew ni mpuuzi hujui kama ni kiongozi wa siasa na ana dhamana ya watu
Aniachie uenyekiti halafu aoneWewe Raia una dhamana ya nani ?
Chukua fomu ugombee , unataka kuachiwa !Aniachie uenyekiti halafu aone
Batalokota benyewe kunyavuMamamaaa! Tayari wameshalangua bandari . Pole TANZANIA
Fomu wanachapisha moja au kiinimacho halafu wew hutaki tuwashauri sasa tukuelewejeChukua fomu ugombee , unataka kuachiwa !
Mwambe , Sumaye wote waligombea na walipewa fomu , Sumaye akala kona , Mwambe akaambulia namba za viatuFomu wanachapisha moja au kiinimacho halafu wew hutaki tuwashauri sasa tukueleweje
Si waliambiwa sumu haionjwi Kwa kulamba au ?? Wew unadhana kulikuwa na fair competition hapoMwambe , Sumaye wote waligombea na walipewa fomu , Sumaye akala kona , Mwambe akaambulia namba za viatu