Azimio la Arusha: Ni muhimu sana rais na cabinet yake yote waisome na kuielewa

Azimio la Arusha: Ni muhimu sana rais na cabinet yake yote waisome na kuielewa

Pantosha

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
640
Reaction score
958
Hivi viongozi wetu wamesoma hii document ya Azimio la Arusha?

Pesa tunaitaka, lakini tusifikiri yenyewe ndiyo italeta maendeleo ya nchi. Mikopo inaturudisha nyuma inafanya tuishi maisha magumu sana. Kodi zipo juu ili tu tuweze kulipa mikopo. 😭😭😭
 
Hivi viongozi wetu wamesoma hii document?

Pesa tunaitaka, lakini tusifikiri tenyewe ndiyo italeta maendeleo ya nchi. Mikopo inaturudisha nyuma inafanya tuishi maisha magumu sana. Kodi zipo juu ili tu tuweze kulipa mikopo. 😭😭😭
Who cares? Ugumu wa maisha yako unawahusuje wakati wao na familia zao wanaishi maisha ya paradise?
 
Back
Top Bottom