Azimio La Arusha: Why We Were Dead Wrong!


Mkuu Malecela, kama lengo lilikuwa ni kutafuta njia ya kuwanufaisha wengi lilikuwa ni jambo jema sana. Lakini kilichopo ni kwamba njia aliyokuja nayo imewadunusha wengi zaidi kuliko wakati za azimio la Arusha na kuwaneemesha wachache sana, na kuwa matajiri wa kupindukia na kuufanya utawala na uongozi wa nchi kama ufalme.

Ukiangalia sasa hivi naweza kusema kuna maafa makubwa zaidi kuliko ilivyokuwa wakati wa azimio la Arusha. Angalia afya, elimu, maji. Hovyo zaidi kuliko wakati wa azimio la Arusha.

Sina maana kuwa azimio la Arusha was 100% perfect, tunatakiwa kuchukua yale ya msingi na yale mabaya tuyaweke pembeni, na tusifute mazuri kama tulivyofanya kule Zanzibar na kuweka mengine ya ovyo. Mkuu, tataizo la Azimio la Zanzibar sio kuleta ubepari, bali ni kuondoa miiko ya uongozi na kuruhusu viongozi kuwa wezi, na kutowafanya accountablem
 

The trouble is, we have a contract with the party which has the mandate to make rules which non party members have to abide to, the party which when it had Azimio la Arusha, Tanzanian people (especially those who were not CCM members) could easily trust the party, ndio maana wakati ule hakukuwa na haja ya kuchakachua kura. Because, despite their ignorance, they saw that the Party was something, and in Azimio la Arusha there was something that gave them hope. Elimu, Afya etc tc There were also guidelines on how leaders have to behave, and there was a direction on where the country was headed.

Now different party in same name , with no rules.The chairman of the party, national level, regional level ....kumi kumi they do not have any code of conduct, if they have any, then there is a mechanisim on how not to follow the code. If CCM has to be CCM then it needs amended Azimio la Arusha, not this pack of **** called Azimo la Zanzibar.
 
Zakumi,
True, democracy has its own price. But what is happening in Tanzania today is not democracy. It is kleptocracy bordering on arnachy.

I disagree with you. It's not democracy to our liking. But you can't denie that pluralism is taking shape. The number of opposition MPs has increased, and CCM aren't sure that they will hold power forever.
 

Dar Si Lamu,

That's my point. Kila siku wanasiasa na wanazuoni wakitaka umaarufu wa haraka haraka, nyimbo ni kuwasaidia wakulima. Idadi ya watu imeongezeka na eneo la nchi ni lilelile. Hivyo kuna limitations of what we can do with our land.

TANU na CCM kwa miaka mingi inatumia pesa nyingi katika huduma za jamii ambazo hazikuzi sekta zingine. Umefika wakati we have to think about that and change.
 

What professor Yunus did is to help poor people especially in rural area to access credit or financial capital. If you take time to read Azimio la Arusha and other TANU and CCM literature, you will find out that finance or the use of capital wasn't the strength of TANU and CCM.
 

Majibu:

1./ Azimio la Zanzibar kama Azimio la Arusha lilipitishwa na Halmashauri Ya CCM. Hivyo ni miongozo ya CCM na sio ya nchi. Kuvunja kanuni za CCM haina maana kuvunja katiba au sheria za nchi. Kama Mrema angeshukua nchi 1995 au kama Slaa angeshukuwa nchi 2010, Azimio la Zanzibar halimuhusu na anazo haki za kufanya biashara bila kuvunja sheria au katiba.

Kuhusu conflicts of interests, liachie bunge kupitisha sheria hizo na sio Halmashauri kuu za Vyama. Kama hakuna sheria ya kuzuia rais kufanya biashara, basi Rais anayo haki ya kufanya biashara. Mbona Nyerere alikuwa anafanya kazi za kulima? Kawawa alikuwa anafuga? Au rais akifanya biashara primitive anaruhusiwa?

2./ Katiba inabadilika kwa sababu kulikuwa na malalamiko ya wananchi kuonyesha mapungufu ya katiba ya sasa. Lakini hili kubadilisha katika hiyo bunge ilipitisha sheria ya mabadiliko. Mabadiliko haya hayatoki kwenye Halmashauri kuu ya TANU au CCM.

3./ Kufanya vizuri kwenye kilimo haimaanishi kuwa huo ni uti wa mgongo. Kenya wanafanya vizuri kwenye mbio lakini sio uti wa mgongo wa taifa lao. 5% ya Marekani ni wakulima na wanazalisha chakula cha kulisha nchi na kuuza nje lakini kilimo sio uti wa mgongo. Anyway uti wa mgongo is an archaic philosophical term.


4./ CCM ni chama cha wakulima na wafanyakazi. Lakini Tanzania ni nchi ya watanzania.
 
How dare U compare Yunus to AA or CCM literature... Unashindwa mkuu wangu kutenganisha strategy ya businessman na Serikali au chama?.. common now mkuu sasa haya ni mateke ya korodani maana Hata Marekani kama taifa wana kitu wanasema AMERICAN DREAM sasa ni juu yako wewe kujiuliza hii dream ni kitu gani na kwa nini kila kiongozi anakuja na mikakati yake kwa lengo la kuwahakikishia wananchi hiyo dream..

Labda nikukumbushe maneno ya Clinton on his inaugular speech alisema hivi:- "This ceremony is held in the depth of winter. But, by the words we speak and the faces we show the world, we force the spring. A spring reborn in the world's oldest democracy, that brings forth the vision and courage to reinvent America. When our founders boldly declared America's independence to the world and our purposes to the Almighty, they knew that America, to endure, would have to change. Not change for change's sake, but change to preserve America's ideals--life, liberty, the pursuit of happiness. Though we march to the music of our time, our mission is timeless." Clinton was greatly influenced by President Kennedy and it was the humanity and hopeful vision of earlier presidents that Clinton liked to evoke, saying, for example: "Let us resolve to make our government a place for what Franklin Roosevelt called `bold, persistent experimentation', a government for our tomorrows, not our yesterdays."
 

Let me put this way. Nyerere wasn't good in economics and finance.
 

If we need to observe significant changes, the time is now. Tumeshaongea sana hata hivyo!
 
Majibu yako mepesi saa hayajibu sddhan ya kwamba tunatakiwa tu kufuata Katiba na sheria wakati ni vitu hivyo hivyo unataka kuvibadilisha. Hii ina maana wananchi wana malengo tofauti na katiba na hiyo sheria zinawakwaza. Hivyo ni vitu vinavyoweza kubadilishwa lakini hadi leo hatufahamu our GOALS ni nini?.

Nyerere kuwa na shamba au Kawawa kufuga kuku ilitokana na imani yetu kwamba hii nchi ni ya Wakulima na Wafanyakazi. Maana hata mwananchi aliyekuwa na kazi alikuwa na shamba lake. Sio leo hii waziri wa Utalii ndiye mwenye agent ya kuleta watalii nchini. Kila shirika la nje lililokuja wekeza nchini viongozi wetu wana hisa ndani yake toka IPTL, Barrick, Vodacom hadi gas ya Songosongo. Hata hao mabepari wenyewe Marekani hawafanyi hivyo.
 
Let me put this way. Nyerere wasn't good in economics and finance.
Hata hili silikubali kwa sababu Nyerere aliichukua nchi hii haina kitu maskini wa kutupwa tukaweza jenga viwanda, reli, bandari tukawa na shirika la ndege meli na kadhalika mambo ambayo leo hii Kagame anasifiwa sana. Sema tofauti yake ni kwamba sisi wenyewe ndio tulikuwa MAFISADI na hili ndio tuloshindwa kulitazama yaani kufahamu udhaifu wetu. Pengine naweza sema Nyerere hakuwa strickly zaidi kwa kutotambua kwamba maskini ana roho mbaya, kikorosho na ukimwachia nafasi anakumaliza kwa sababu kila mtu anataka kutoka..

Ni hulka ya binadamu hasa maskini, leo hii hata ndugu yako hutakiwi kumwachia mali zako iwe hata lorry afanye biashara utamkuta kajenga yeye nyumba yeye na kaoa mke wa pili lorry lipo ju ya matofali. It's not about Azimio la Arusha wala sheria - Sisi wenyewe Ndivyo tulivyo!. Tunapenda sana kulalamika na kutafuta mchawi lakini mchawi ni sisi wenyewe.

Inatakiwa tujitambue kwanza kuwa ni maskini na hivyo katiba na sheria zijengwe kuwageuza maskini kifikra na kujali UTU wao, Utaifa wao, na kwamba UMOJA ni nguvu -tutatoka tu maana Wayahudi, Wachina na Wahindi wameweza kutoka. Sisi Wabongo kwa Ubinafsi wetu tunashindwa hata kuunda jumuiya zetu nje, tunashindwa kushirikiana ktk biashara nchi za wageni au nyumbani, Mirathi tu tutatoana roho kwenda kwa wachawi kuuana na kulishana sumu, tunashindwa kukaa getto moja familia au jamii moja ya Watz huku majuu na kutoka mmoja mmoja ktk umaskini kama wafanyavyo Wayahudi au Wahindi. Kila mtu anatafuta njia zake mwenyewe iwe kuomba kazi, misaada, kutapeli, au ushirika lakini akitoka (kufanikiwa) basi huwasahau ndugu, marafiki na jamii wote waliomsaidia kutoka tena hujitenga na kuwaona hawa ndio nuksi.. Hivi ndivyo tulivyo..
 
I disagree with you. It's not democracy to our liking. But you can't denie that pluralism is taking shape. The number of opposition MPs has increased, and CCM aren't sure that they will hold power forever.
Zakumi,
Yes there is a nascent democracy, but the ruling party is practicing kleptocracy which, if left unchecked, will lead to arnachy. Can you ask yourself why has it been so hard for a president to rid his cabinet of those who have been alleged to haver dirty hands?
 

Baba yake JFK, mzee Joe Kennedy alipata utajiri wake kwenye mambo ya stocks. Na alitumia inside informationa kuweza kupata utajiri. Lakini kwa sababu kulikuwa hakuna sheria ya kuzuia inside information, hakuhukumiwa kisheria na bado alipewa nafasi kama vile kuwa balozi.

Lakini baadaye ilionekana kuwa inside information ilikuwa inaumiza watu, sheria ikapitishwa kuzuia watu kutumia inside information kwenye mambo ya stocks.

Kama kuna matatizo ya watu kuingiza shughuli zao binafsi, bunge la Tanzania lipitishe sheria za kuzuia hayo mambo. Na mimi nitakuwa mtu wa kwanza kufuata hiyo sheria.
 

To build railways, launch airline carrier, start various industrial complexies doesn't mean you are the master of economics and finance.
 
Mkuu wangu mbona wajijibu hapa?... huwezi kuweka sheria ikwa huamini ni kosa hivyo imani ya kuwepo kosa inatangulisa sheria. Na Azimio la Arusha ni ufunuo blueprint ya yale tuyatakayo iwe Haki na uhuru wa mwananchi na hivyo kujizua haramu zote kisha unatunga sheria kulinda yale mlokusudia hata iwe Liberty..

Hivyo Azimio la Arusha ni blueprint ya kutoharamisha kiongozi kuwa mfanyabiashara na wala sii vibaya kiongozi kununnua hisa lktk shirika lakini sii kiongozi kuwa sehemu ya shirika maana fahamu kwamba unaweza kununua hisa za mashirika ktk wallstreet, tofauti na kuanzisha biashara ukawekeza hisa zako iwe asilimia 50 au hata 10. Hawa majambazi wetu wanaanzisha biashara kwa mikataba kukubaliana na mashirika ya nje wapewe hisa ili kutuibia rasilimali zetu, yaani wao wenyewe wanakuwa wadau wakubwa wa shirika hilo ambalo lengo lao sii kuleta utajiri nchini bali kujitajirisha wao kwa kutuibia tofauti na kina Bush, Brian Moroney japokuwa ni walimiliki wakubwa wa Barrick lakini wanaibia mataifa ya nje na kupeleka utajiri kwao. Kwa hiyo utaona hata sheria zao zinatazama zaidi kuibiwa ndani lakini hawajali kuiba nje hata kidogo wakati sisi ni ruksa kuiba ndani na hata familia yako maadam hujakamatwa.

Azimio la Zanzibar lipo na ndilo linapingana na utunzi wowote wa sheria dhidi ya viongozi kufanya biashara, na ifamamike tu kwamba wenzetu wabunge sio viongozi wa serikali, baraza la mawaziri la Marekani huchaguliwa na rais ukichaguliwa unaondoka bungeni kama alivyoachia Mama Clinton lakini wabunge wanaruhusiwa kufanya biashara maana hawa sii watendaji wa serikali hata za states. Ndio maana utakuta Governors ni tishio kubwa sana ktk chaguzi za urais kwa sababu hawa walikuwa viongozi wa states na hawakujihusisha na biashara kama kina Romney. Na Romney akipita uchaguzi na kuwa rais inabidi aachie mali zake maana wanaijua haramu kwanza kabla ya sheria kutungwa.
 
To build railways, launch airline carrier, start various industrial complexies doesn't mean you are the master of economics and finance.
Bila shaka kwa sababu Leadership huhitaji kuwa master of Economics and Finance na mfano mzuri ni PM wa Canada - Paul Martin ambaye alikuwa mchumi mzuri sana alipokuwa minister wa finance, lakini alishindwa kuiongoza nchi hata kwa awamu moja tu uchumi wake ukiporomoka. Hivyo haina maana Mtei au Lipumba kuwa mabingwa wa Uchumi wataweza kuiongoza nchi vizuri - sii kweli.
 

Mkuu unajua nakuonea huruma!

What is Azimio?/declaration?
tafuta definitions zake!!!! ziko nyingi

What if tukitangaza tena MIMI SITAAZIMIA KILE MNACHOAZIMIA?? maana hii ni agreement hauitaji kutumia nguvu NIAZIMIE NISICHOTAKA!!

Mkuu mbona hili liko wazi kabisa................................wanaoongoza kwa ufisadi taifa hili ni wale walioimba na kukariri azimio la arusha!! uongo??

Je kuna sheria yeyote inayolazimisha mtu--KUAZIMIA kile ambacho wengine wana-azimia??

Mimi silitaki na yet ni mtanzania mzalendo unasemaje hapo?? tuangalie tu tusiwe wachungaji wa dini hapa.....kumlazimisha mtu kitu ambacho hataki!
 

- Suala la Viongozi kuwa not accountable limeanza na Awamu ya kwanza ya Azimio, huwezi kupanda mahindi ukavuna mihogo tunayovuna sasa ndio tuliyopandiwa na Azimio, sasa ni vyema kuwapa nafasi wanaoongoza watufikishe tunapotaka kwenda, na tuwape muda maana it took almost 25 years kwa Viongozi wetu kukubali kwamba Azimio limetuharibia sana Taifa!


William.
 

W. J. Malecela

Hivi ebu toa ufafanuzi
  • Hivi kumbe mpaka sasa mabaya yote ni sababu ya Azimio la arusha?
  • Je hivi CCM ya Mwinyi, Mkapa na sasa Kikwete nazo zina boronga na sababu kuu bado zinaheshimu ,kulifuata na kulitekeleza Azimio la arusha

Sasa kama wewe Unaona wanashindwa sasa kutokana na azimiola a arushha vipi wakiuambia hata azimio larusha lilishindwa sababu mawazo ya kibeari(ubinafsi) utasemaje?

Mkuu unaonekana unaweza kawa mtu wa kukwepa responsibility na kurusha mipira kwa wengine . Ni mbaya sana hiyo.

Nikuulize kati ya Kikwete na Mkapa nani anajua uchumi na nani anajua sheria? BInfsi naona Kikwete mchumi(kisomi) amezidiwa na mkapa.Na Mkapa liyetakiwa kuwa mwerevu wa shria kuliko Kikwete naye kazidiwa maigizo na Kikwete. Au kwatafsri yako watu kama Mkapa na Kikwte ni moja ya "mazao" ya Azimio la arusha yananaotakiwa kuepukwa na CCMyenu ijayo

BTN
Naoana una mpaka mafuta mwalimu kwa mgono wa chupa. kuwa na wewe unamuona he was greatese ever. !!!!!!!!!!!!! ebu chambua ni mambo gani yanfanya umuone kama "greatest sver "

Nadhani kuish nje kumeupoteazea uhalisia wa maisha halisi yawatanzania wa kawaida. Umewasahau wagogo wenzako na maisha halisi ya watanzania wengi. Hivi Unadhani ingekuwa sahihi na haki after independece kwa Nyerere kumove on na Privelleged few societies.????????

Nakupa mfano
  • Tuamabie Dodoma mkoa wa original yako ukiondoa shule za serikali kuna shule ngapi za binafsi au taasisi za kujitegemeea?
  • Kama we were dead wrong Je ilikuwa sawa kwa serikali ya JK kuamua kujenga Chuo Kikuu Dodoma au walitakiwa waachiwe watu binafsi waone umuhimu wa kuwekeza kwenye Elimu ya Juu dodoma
 
Last edited by a moderator:

Of course the current government and everybody in a good position is molesting the country. However, there's a surprising fact. The majority in the government grew up reciting Azimio la Arusha, like an altar boy gone bad.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…