Azimio La Arusha: Why We Were Dead Wrong!

Azimio La Arusha: Why We Were Dead Wrong!

- Mkuu waliolitupa Azimo, walifanya hivyo kwa sababu hawakuona likiwanufaisha wengi ndio wakaamua kuweka njia itakayowanufaisha wengi nayo ni Ubepari tulionao sasa. Sio kazi ya Serikali kuona kila mwananchi anakuwa sawa na mwingine kimaisha hapana kazi ya Serikali ni kutoa nafasi sawa kwa wote tu na kusimamia sheria.

- Wakati linavunjwa Azimo, lilikuwa na miaka karibu 25, sasa na Ubepari upewe nafasi kwanza kabla ya hukumu, tuliwapa nafasi na Azimo, limetuletea maafa ya ajabu sana, sasa na Ubepari uachiwe kwanza ndio tutoe hukumu!

William.

Mkuu Malecela, kama lengo lilikuwa ni kutafuta njia ya kuwanufaisha wengi lilikuwa ni jambo jema sana. Lakini kilichopo ni kwamba njia aliyokuja nayo imewadunusha wengi zaidi kuliko wakati za azimio la Arusha na kuwaneemesha wachache sana, na kuwa matajiri wa kupindukia na kuufanya utawala na uongozi wa nchi kama ufalme.

Ukiangalia sasa hivi naweza kusema kuna maafa makubwa zaidi kuliko ilivyokuwa wakati wa azimio la Arusha. Angalia afya, elimu, maji. Hovyo zaidi kuliko wakati wa azimio la Arusha.

Sina maana kuwa azimio la Arusha was 100% perfect, tunatakiwa kuchukua yale ya msingi na yale mabaya tuyaweke pembeni, na tusifute mazuri kama tulivyofanya kule Zanzibar na kuweka mengine ya ovyo. Mkuu, tataizo la Azimio la Zanzibar sio kuleta ubepari, bali ni kuondoa miiko ya uongozi na kuruhusu viongozi kuwa wezi, na kutowafanya accountablem
 
Bongolander,

I have said many times in this thread that we as a country didn't dump Azimio la Arusha. As matter of fact it left us unceremoniously. This is because the nascent of multi-party system in 1992 made all political documents such as Azimio la Arusha, Azimio la Zanzibar, Kizota Program, and others which weren't formalized into laws irrelevant.

As it stands Azimio la Arusha is an intellectual property of the ruling party CCM. The members of this party and their sympathizers can discuss about it. If they want to go back to their roots, I don't have problem with that. If they want to use Koran, Bible, or the charters of sports clubs such Simba and Yanga, I don't have problem with that either. However, they shouldn't try to impose their will upon others. That's illegal and inhuman.

If you don't understand that, let me put this way. Conceptually, the relevance of Azimio la Arusha might exist in your mind. But the document isn't legally binding. It isn't a contract between the Tanzanian government and its people. It's also important to note that our country is a republic with two important guidelines, the constitution and the legal system. Unfortunately, Azimio la Arusha isn't one or part of them. So please stop using it as the baseline to run the country even if there are some good things in it.

And one more thing, those CHADEMA members who try to tell me how good Azimio la Arusha is, you are glory hunters and philosophically bankrupt. CHADEMA has its own political philosophy and it should formulate its own declarations if needed. Besides, you are members of a center right political party and you should behave like one.

The trouble is, we have a contract with the party which has the mandate to make rules which non party members have to abide to, the party which when it had Azimio la Arusha, Tanzanian people (especially those who were not CCM members) could easily trust the party, ndio maana wakati ule hakukuwa na haja ya kuchakachua kura. Because, despite their ignorance, they saw that the Party was something, and in Azimio la Arusha there was something that gave them hope. Elimu, Afya etc tc There were also guidelines on how leaders have to behave, and there was a direction on where the country was headed.

Now different party in same name , with no rules.The chairman of the party, national level, regional level ....kumi kumi they do not have any code of conduct, if they have any, then there is a mechanisim on how not to follow the code. If CCM has to be CCM then it needs amended Azimio la Arusha, not this pack of **** called Azimo la Zanzibar.
 
Zakumi,
True, democracy has its own price. But what is happening in Tanzania today is not democracy. It is kleptocracy bordering on arnachy.

I disagree with you. It's not democracy to our liking. But you can't denie that pluralism is taking shape. The number of opposition MPs has increased, and CCM aren't sure that they will hold power forever.
 
...Seconded.

...Wangapi leo hii wana uwezo wa kuendeleza hiyo ardhi, ili iwapatie maisha ya maana. Tunaona watu wanalia njaa kila siku -ukame ukitokea, kwa kuwa wanategemea mvua- na kusaidiwa chakula, wakati wana ardhi kubwa tu.

...Kwa idadi hii ya watu na hali halisi ya kilimo chetu, viwanda vinavyoongeza thamani ya mazao na vile vya kuzalisha bidhaa nyinginezo ndio tegemeo la kufanya hiyo "wealth distribution" kupitia ajira.

Dar Si Lamu,

That's my point. Kila siku wanasiasa na wanazuoni wakitaka umaarufu wa haraka haraka, nyimbo ni kuwasaidia wakulima. Idadi ya watu imeongezeka na eneo la nchi ni lilelile. Hivyo kuna limitations of what we can do with our land.

TANU na CCM kwa miaka mingi inatumia pesa nyingi katika huduma za jamii ambazo hazikuzi sekta zingine. Umefika wakati we have to think about that and change.
 
Mkuu tatizo sio PhD yake, tatizo ni individual interest overriding our morals hapa Tanzania... greedy is eating us alive

Professor Yunus wa Bangladesh, a Nobel Laureate ana kitabu kizuri sana kichaoongelea our greed, (a man eating a man kwa tamaa fupifupi)

He established grameen and once politicians got a hand, wakaanza kuleta yaleyale ya Tanzania.... although his dream was good and real, today grameen is benefitting politicians and greed businessmen more... AND WE CANT BLAME HIS MODEL BUT A FEW IMPLEMENTERS

I do still believe tatizo si azimio la arusha, bali tatizo ni choyo ya kitanzania

Jasusi talked of anarchy... Yes!!! and to be honest, anarchy is an identical twin wa greed people!!!

we are in for a long circus show where we are the jockeys adn the mickeys

What professor Yunus did is to help poor people especially in rural area to access credit or financial capital. If you take time to read Azimio la Arusha and other TANU and CCM literature, you will find out that finance or the use of capital wasn't the strength of TANU and CCM.
 
Zakumi, nadhani naandika mambo mengi ndio maana tunashindwa kufuatiliana. Sasa nakuuliza hivi:-

1. Azimo la Zanzibar halikufa ndio msingi wa Uongozi wa nchi yetu (katiba na sheria) na ndio maana viongozi wanafanya biashara hadi Ikulu au kujirithisha mali za umma. Ni ruksa, sheria haikatazi hata kama kuna conflict of interest hivyo wanafuata katiba na sheria mnayosisitiza ifuatwe.

1. Umesema nchi yetu ni Republic na inaongozwa na vitu viwili katiba na Sheria. Kama ndivyo kwa nini mnataka kuandika Katiba Mpya?. Kuna kitu gani kinatusukuma kuona katiba hii haitufai.

3. Umezungumzia pia swala la Kilimo kutokuwa uti wa mgongo, ati kwa sababu population inazidi. Mbona rwanda ambao wana ardhi ndogo zaidi wameweza kufanya vizuri kutokana na kilimo. Wamekitumia Kilimo kuwatoa iweje sisi tufikirie populationa kwanza kutafuta technogia of the unknown. Tazama Vietnam mbona watoka kwa kilimo vile vile.

Nijuavyo mimi mtu unakuwa na malengo iwe kilimo halafu ndio unatumia technologia kutafuita ubora wa kilimo au kupambana na madhara yanayokikabiri sio kutafuta urahisi wa vitu usivyoweza kuvibadilisha kama Utalii na madini ambavyo mwananci wa kawaida hafaidiki navyo. Na pia unaweza kuzalisha kazi kwa kuelewa wananchi wako wengi ni wafanyakazi hivyo mbinu za kukuza ajira zinawekewa kipaumbele sio kinyume..

4.Nitamalizia kusema hivi nchi yetu ni ya WAKULIMA na WAFANYAKAZI - Ukiondoa mawazo haya kamwe hatutafika mahala popote iwe kupunguza umaskini ama kutafuita maendeleo..Leo hii kwa sababu hatuamini kwamba nchi yetu ni ya Wafanyakazi lakini ajabu tunajiuliza kuhusu AJIRA, kila mbunge kila mtu analia na ajira..Sasa unataka kuzalisha ajira vipi ilihali huamini kama nchi hii ni ya wafanyakazi ila ni ya Machinga (uchuuzi) kama William anavyosifia wawekezaji kuja nchini kuwekeza..

Majibu:

1./ Azimio la Zanzibar kama Azimio la Arusha lilipitishwa na Halmashauri Ya CCM. Hivyo ni miongozo ya CCM na sio ya nchi. Kuvunja kanuni za CCM haina maana kuvunja katiba au sheria za nchi. Kama Mrema angeshukua nchi 1995 au kama Slaa angeshukuwa nchi 2010, Azimio la Zanzibar halimuhusu na anazo haki za kufanya biashara bila kuvunja sheria au katiba.

Kuhusu conflicts of interests, liachie bunge kupitisha sheria hizo na sio Halmashauri kuu za Vyama. Kama hakuna sheria ya kuzuia rais kufanya biashara, basi Rais anayo haki ya kufanya biashara. Mbona Nyerere alikuwa anafanya kazi za kulima? Kawawa alikuwa anafuga? Au rais akifanya biashara primitive anaruhusiwa?

2./ Katiba inabadilika kwa sababu kulikuwa na malalamiko ya wananchi kuonyesha mapungufu ya katiba ya sasa. Lakini hili kubadilisha katika hiyo bunge ilipitisha sheria ya mabadiliko. Mabadiliko haya hayatoki kwenye Halmashauri kuu ya TANU au CCM.

3./ Kufanya vizuri kwenye kilimo haimaanishi kuwa huo ni uti wa mgongo. Kenya wanafanya vizuri kwenye mbio lakini sio uti wa mgongo wa taifa lao. 5% ya Marekani ni wakulima na wanazalisha chakula cha kulisha nchi na kuuza nje lakini kilimo sio uti wa mgongo. Anyway uti wa mgongo is an archaic philosophical term.

4./ CCM ni chama cha wakulima na wafanyakazi. Lakini Tanzania ni nchi ya watanzania.
 
What professor Yunus did is to help poor people especially in rural area to access credit or financial capital. If you take time to read Azimio la Arusha and other TANU and CCM literature, you will find out that finance or the use of capital wasn't the strength of TANU and CCM.
How dare U compare Yunus to AA or CCM literature... Unashindwa mkuu wangu kutenganisha strategy ya businessman na Serikali au chama?.. common now mkuu sasa haya ni mateke ya korodani maana Hata Marekani kama taifa wana kitu wanasema AMERICAN DREAM sasa ni juu yako wewe kujiuliza hii dream ni kitu gani na kwa nini kila kiongozi anakuja na mikakati yake kwa lengo la kuwahakikishia wananchi hiyo dream..

Labda nikukumbushe maneno ya Clinton on his inaugular speech alisema hivi:- "This ceremony is held in the depth of winter. But, by the words we speak and the faces we show the world, we force the spring. A spring reborn in the world's oldest democracy, that brings forth the vision and courage to reinvent America. When our founders boldly declared America's independence to the world and our purposes to the Almighty, they knew that America, to endure, would have to change. Not change for change's sake, but change to preserve America's ideals--life, liberty, the pursuit of happiness. Though we march to the music of our time, our mission is timeless." Clinton was greatly influenced by President Kennedy and it was the humanity and hopeful vision of earlier presidents that Clinton liked to evoke, saying, for example: "Let us resolve to make our government a place for what Franklin Roosevelt called `bold, persistent experimentation', a government for our tomorrows, not our yesterdays."
 
Let me put this way. Nyerere wasn't good in economics and finance.
 
Dar Si Lamu,

That's my point. Kila siku wanasiasa na wanazuoni wakitaka umaarufu wa haraka haraka, nyimbo ni kuwasaidia wakulima. Idadi ya watu imeongezeka na eneo la nchi ni lilelile. Hivyo kuna limitations of what we can do with our land.

TANU na CCM kwa miaka mingi inatumia pesa nyingi katika huduma za jamii ambazo hazikuzi sekta zingine. Umefika wakati we have to think about that and change.

If we need to observe significant changes, the time is now. Tumeshaongea sana hata hivyo!
 
Majibu:

1./ Azimio la Zanzibar kama Azimio la Arusha lilipitishwa na Halmashauri Ya CCM. Hivyo ni miongozo ya CCM na sio ya nchi. Kuvunja kanuni za CCM haina maana kuvunja katiba au sheria za nchi. Kama Mrema angeshukua nchi 1995 au kama Slaa angeshukuwa nchi 2010, Azimio la Zanzibar halimuhusu na anazo haki za kufanya biashara bila kuvunja sheria au katiba.

Kuhusu conflicts of interests, liachie bunge kupitisha sheria hizo na sio Halmashauri kuu za Vyama. Kama hakuna sheria ya kuzuia rais kufanya biashara, basi Rais anayo haki ya kufanya biashara. Mbona Nyerere alikuwa anafanya kazi za kulima? Kawawa alikuwa anafuga? Au rais akifanya biashara primitive anaruhusiwa?

2./ Katiba inabadilika kwa sababu kulikuwa na malalamiko ya wananchi kuonyesha mapungufu ya katiba ya sasa. Lakini hili kubadilisha katika hiyo bunge ilipitisha sheria ya mabadiliko. Mabadiliko haya hayatoki kwenye Halmashauri kuu ya TANU au CCM.

3./ Kufanya vizuri kwenye kilimo haimaanishi kuwa huo ni uti wa mgongo. Kenya wanafanya vizuri kwenye mbio lakini sio uti wa mgongo wa taifa lao. 5% ya Marekani ni wakulima na wanazalisha chakula cha kulisha nchi na kuuza nje lakini kilimo sio uti wa mgongo. Anyway uti wa mgongo is an archaic philosophical term.

4./ CCM ni chama cha wakulima na wafanyakazi. Lakini Tanzania ni nchi ya watanzania.
Majibu yako mepesi saa hayajibu sddhan ya kwamba tunatakiwa tu kufuata Katiba na sheria wakati ni vitu hivyo hivyo unataka kuvibadilisha. Hii ina maana wananchi wana malengo tofauti na katiba na hiyo sheria zinawakwaza. Hivyo ni vitu vinavyoweza kubadilishwa lakini hadi leo hatufahamu our GOALS ni nini?.

Nyerere kuwa na shamba au Kawawa kufuga kuku ilitokana na imani yetu kwamba hii nchi ni ya Wakulima na Wafanyakazi. Maana hata mwananchi aliyekuwa na kazi alikuwa na shamba lake. Sio leo hii waziri wa Utalii ndiye mwenye agent ya kuleta watalii nchini. Kila shirika la nje lililokuja wekeza nchini viongozi wetu wana hisa ndani yake toka IPTL, Barrick, Vodacom hadi gas ya Songosongo. Hata hao mabepari wenyewe Marekani hawafanyi hivyo.
 
Let me put this way. Nyerere wasn't good in economics and finance.
Hata hili silikubali kwa sababu Nyerere aliichukua nchi hii haina kitu maskini wa kutupwa tukaweza jenga viwanda, reli, bandari tukawa na shirika la ndege meli na kadhalika mambo ambayo leo hii Kagame anasifiwa sana. Sema tofauti yake ni kwamba sisi wenyewe ndio tulikuwa MAFISADI na hili ndio tuloshindwa kulitazama yaani kufahamu udhaifu wetu. Pengine naweza sema Nyerere hakuwa strickly zaidi kwa kutotambua kwamba maskini ana roho mbaya, kikorosho na ukimwachia nafasi anakumaliza kwa sababu kila mtu anataka kutoka..

Ni hulka ya binadamu hasa maskini, leo hii hata ndugu yako hutakiwi kumwachia mali zako iwe hata lorry afanye biashara utamkuta kajenga yeye nyumba yeye na kaoa mke wa pili lorry lipo ju ya matofali. It's not about Azimio la Arusha wala sheria - Sisi wenyewe Ndivyo tulivyo!. Tunapenda sana kulalamika na kutafuta mchawi lakini mchawi ni sisi wenyewe.

Inatakiwa tujitambue kwanza kuwa ni maskini na hivyo katiba na sheria zijengwe kuwageuza maskini kifikra na kujali UTU wao, Utaifa wao, na kwamba UMOJA ni nguvu -tutatoka tu maana Wayahudi, Wachina na Wahindi wameweza kutoka. Sisi Wabongo kwa Ubinafsi wetu tunashindwa hata kuunda jumuiya zetu nje, tunashindwa kushirikiana ktk biashara nchi za wageni au nyumbani, Mirathi tu tutatoana roho kwenda kwa wachawi kuuana na kulishana sumu, tunashindwa kukaa getto moja familia au jamii moja ya Watz huku majuu na kutoka mmoja mmoja ktk umaskini kama wafanyavyo Wayahudi au Wahindi. Kila mtu anatafuta njia zake mwenyewe iwe kuomba kazi, misaada, kutapeli, au ushirika lakini akitoka (kufanikiwa) basi huwasahau ndugu, marafiki na jamii wote waliomsaidia kutoka tena hujitenga na kuwaona hawa ndio nuksi.. Hivi ndivyo tulivyo..
 
I disagree with you. It's not democracy to our liking. But you can't denie that pluralism is taking shape. The number of opposition MPs has increased, and CCM aren't sure that they will hold power forever.
Zakumi,
Yes there is a nascent democracy, but the ruling party is practicing kleptocracy which, if left unchecked, will lead to arnachy. Can you ask yourself why has it been so hard for a president to rid his cabinet of those who have been alleged to haver dirty hands?
 
Majibu yako mepesi saa hayajibu sddhan ya kwamba tunatakiwa tu kufuata Katiba na sheria wakati ni vitu hivyo hivyo unataka kuvibadilisha. Hii ina maana wananchi wana malengo tofauti na katiba na hiyo sheria zinawakwaza. Hivyo ni vitu vinavyoweza kubadilishwa lakini hadi leo hatufahamu our GOALS ni nini?.

Nyerere kuwa na shamba au Kawawa kufuga kuku ilitokana na imani yetu kwamba hii nchi ni ya Wakulima na Wafanyakazi. Maana hata mwananchi aliyekuwa na kazi alikuwa na shamba lake. Sio leo hii waziri wa Utalii ndiye mwenye agent ya kuleta watalii nchini. Kila shirika la nje lililokuja wekeza nchini viongozi wetu wana hisa ndani yake toka IPTL, Barrick, Vodacom hadi gas ya Songosongo. Hata hao mabepari wenyewe Marekani hawafanyi hivyo.

Baba yake JFK, mzee Joe Kennedy alipata utajiri wake kwenye mambo ya stocks. Na alitumia inside informationa kuweza kupata utajiri. Lakini kwa sababu kulikuwa hakuna sheria ya kuzuia inside information, hakuhukumiwa kisheria na bado alipewa nafasi kama vile kuwa balozi.

Lakini baadaye ilionekana kuwa inside information ilikuwa inaumiza watu, sheria ikapitishwa kuzuia watu kutumia inside information kwenye mambo ya stocks.

Kama kuna matatizo ya watu kuingiza shughuli zao binafsi, bunge la Tanzania lipitishe sheria za kuzuia hayo mambo. Na mimi nitakuwa mtu wa kwanza kufuata hiyo sheria.
 
Hata hili silikubali kwa sababu Nyerere aliichukua nchi hii haina kitu maskini wa kutupwa tukaweza jenga viwanda, reli, bandari tukawa na shirika la ndege meli na kadhalika mambo ambayo leo hii Kagame anasifiwa sana. Sema tofauti yake ni kwamba sisi wenyewe ndio tulikuwa MAFISADI na hili ndio tuloshindwa kulitazama yaani kufahamu udhaifu wetu. Pengine naweza sema Nyerere hakuwa strickly zaidi kwa kutotambua kwamba maskini ana roho mbaya, kikorosho na ukimwachia nafasi anakumaliza kwa sababu kila mtu anataka kutoka..

Ni hulka ya binadamu hasa maskini, leo hii hata ndugu yako hutakiwi kumwachia mali zako iwe hata lorry afanye biashara utamkuta kajenga yeye nyumba yeye na kaoa mke wa pili lorry lipo ju ya matofali. It's not about Azimio la Arusha wala sheria - Sisi wenyewe Ndivyo tulivyo!. Tunapenda sana kulalamika na kutafuta mchawi lakini mchawi ni sisi wenyewe.

Inatakiwa tujitambue kwanza kuwa ni maskini na hivyo katiba na sheria zijengwe kuwageuza maskini kifikra na kujali UTU wao, Utaifa wao, na kwamba UMOJA ni nguvu -tutatoka tu maana Wayahudi, Wachina na Wahindi wameweza kutoka. Sisi Wabongo kwa Ubinafsi wetu tunashindwa hata kuunda jumuiya zetu nje, tunashindwa kushirikiana ktk biashara nchi za wageni au nyumbani, Mirathi tu tutatoana roho kwenda kwa wachawi kuuana na kulishana sumu, tunashindwa kukaa getto moja familia au jamii moja ya Watz huku majuu na kutoka mmoja mmoja ktk umaskini kama wafanyavyo Wayahudi au Wahindi. Kila mtu anatafuta njia zake mwenyewe iwe kuomba kazi, misaada, kutapeli, au ushirika lakini akitoka (kufanikiwa) basi huwasahau ndugu, marafiki na jamii wote waliomsaidia kutoka tena hujitenga na kuwaona hawa ndio nuksi.. Hivi ndivyo tulivyo..

To build railways, launch airline carrier, start various industrial complexies doesn't mean you are the master of economics and finance.
 
Baba yake JFK, mzee Joe Kennedy alipata utajiri wake kwenye mambo ya stocks. Na alitumia inside informationa kuweza kupata utajiri. Lakini kwa sababu kulikuwa hakuna sheria ya kuzuia inside information, hakuhukumiwa kisheria na bado alipewa nafasi kama vile kuwa balozi.

Lakini baadaye ilionekana kuwa inside information ilikuwa inaumiza watu, sheria ikapitishwa kuzuia watu kutumia inside information kwenye mambo ya stocks.

Kama kuna matatizo ya watu kuingiza shughuli zao binafsi, bunge la Tanzania lipitishe sheria za kuzuia hayo mambo. Na mimi nitakuwa mtu wa kwanza kufuata hiyo sheria.
Mkuu wangu mbona wajijibu hapa?... huwezi kuweka sheria ikwa huamini ni kosa hivyo imani ya kuwepo kosa inatangulisa sheria. Na Azimio la Arusha ni ufunuo blueprint ya yale tuyatakayo iwe Haki na uhuru wa mwananchi na hivyo kujizua haramu zote kisha unatunga sheria kulinda yale mlokusudia hata iwe Liberty..

Hivyo Azimio la Arusha ni blueprint ya kutoharamisha kiongozi kuwa mfanyabiashara na wala sii vibaya kiongozi kununnua hisa lktk shirika lakini sii kiongozi kuwa sehemu ya shirika maana fahamu kwamba unaweza kununua hisa za mashirika ktk wallstreet, tofauti na kuanzisha biashara ukawekeza hisa zako iwe asilimia 50 au hata 10. Hawa majambazi wetu wanaanzisha biashara kwa mikataba kukubaliana na mashirika ya nje wapewe hisa ili kutuibia rasilimali zetu, yaani wao wenyewe wanakuwa wadau wakubwa wa shirika hilo ambalo lengo lao sii kuleta utajiri nchini bali kujitajirisha wao kwa kutuibia tofauti na kina Bush, Brian Moroney japokuwa ni walimiliki wakubwa wa Barrick lakini wanaibia mataifa ya nje na kupeleka utajiri kwao. Kwa hiyo utaona hata sheria zao zinatazama zaidi kuibiwa ndani lakini hawajali kuiba nje hata kidogo wakati sisi ni ruksa kuiba ndani na hata familia yako maadam hujakamatwa.

Azimio la Zanzibar lipo na ndilo linapingana na utunzi wowote wa sheria dhidi ya viongozi kufanya biashara, na ifamamike tu kwamba wenzetu wabunge sio viongozi wa serikali, baraza la mawaziri la Marekani huchaguliwa na rais ukichaguliwa unaondoka bungeni kama alivyoachia Mama Clinton lakini wabunge wanaruhusiwa kufanya biashara maana hawa sii watendaji wa serikali hata za states. Ndio maana utakuta Governors ni tishio kubwa sana ktk chaguzi za urais kwa sababu hawa walikuwa viongozi wa states na hawakujihusisha na biashara kama kina Romney. Na Romney akipita uchaguzi na kuwa rais inabidi aachie mali zake maana wanaijua haramu kwanza kabla ya sheria kutungwa.
 
To build railways, launch airline carrier, start various industrial complexies doesn't mean you are the master of economics and finance.
Bila shaka kwa sababu Leadership huhitaji kuwa master of Economics and Finance na mfano mzuri ni PM wa Canada - Paul Martin ambaye alikuwa mchumi mzuri sana alipokuwa minister wa finance, lakini alishindwa kuiongoza nchi hata kwa awamu moja tu uchumi wake ukiporomoka. Hivyo haina maana Mtei au Lipumba kuwa mabingwa wa Uchumi wataweza kuiongoza nchi vizuri - sii kweli.
 
Waberoya, Ninahakika ungekuwa na mtizamo murua zaidi kuliko huu, kwani hoja yako ya kuhusianisha Katiba, sheria za nchi, Maadili na Miiko sio ya kuupuuziwa hata kidogo!

Mkuu back to Swala la Sheria dhidi ya Azimio tukufu La Arusha! Waberoya nina Imani una jambo la muhimu sana la kuchangia, kushauri na kuhakikisha kuwa Azimo Lile linatangazwa Likiwa na Sura Mpya lakini Misingi ilele. Nikiwa na Maana kuwa hata Magari na mavazi ya Miaka ya 1967 Leo hii vimebadilika kimtizamo ili kukidhi mabadiliko ya mazingira yetu, lakini nahoji kubadilika kwa mitindo ya mavazi na magari mabadiliko hayo yamebadili MSINGI wa GARI kuitwa GARI na MAVAZI kuitwa MAVAZI katika kukidhi mahitaji ya msingi kwenye kufanikisha shughuli zetu za kijamii za miaka hii? Ukweli ni kuwa Hatuwzi kufanya shughuli zetu bila gari na mavazi lakini model zake zinabadilka kulingana na mabadiliko ya mazingira na ni vema kuzingatia jambo hili bila kubabaishana!

Hoja zako dhahiri kabisa zinaashiria kuwa unaona jambo la msingi kabisa ili kulipa sura stahili azimio lile la 1967 na kuwa la mika hii bila kuibadili misingi yake, kwa unaafiki kuwa gari ni gari mika yote lakini kwenye mika yote gari zinabadilika kulingana na mabadiliko. Lakini mara zote limejitokeza tatizo amabalo nafikiri ni kwa makusudi unahakikisha kuchanganya mambo ili kufanya hitimisho la hoja zako!

Mkuu leo hii ukitoa mapendekezo yako kama ulivyotoa kwenye "Uzi" huui, Kuwa Sheria ile ile iliyokuwa inakidhi haja ya miiko na maadili ikawa seheumu ya katiba na hatima ye sheria, maadili na miiko amabyo umemtuhumu viogozi wa enzi hizo kuwa wangeweza kafanya hivyo, lakini leo Waberoya kafanya walichoshindwa, huoni kuwa Ungeweza kulitangaza Azimio Katika hali ya Upya na kuokoa Taifa kwenye Janga la kutukuwa na Chombo Muhimu "AZIMIO"? Hii haitofautiani na gari uliyotumia Ukiwa mdogo miaka hiyo ya 1967 ambayo leo haipo lakini kuna aina nyingine ya gari unayoitumia ... Hivi ni kweli leo tunapotumia gari yenye kukidhi thamani ya Gari lakini yenye muonekano tofauti naya miaka ya sitini tujichukulie kuwa NI KOSA au "We ware deadly wrong" Kutumia gari ile ya model ya miaka ya sitini? Huku kila mtu akiona waziwazi kuwa Msingi wa hitaji la Gari uko palepale, lakini Muonekano umebadika kulingana na Mabadiliko katika mazingira yetu!

Mkuu ni naamni kabisa kwa mtizamo wako wa jinsi ulivyochambua Sheria na Maadili/Miiko dhidi ya Azimio La Arusha Wewe ni Mmoja wa watu wa kwanza kabisa Kulipa Sura Ya Kisasa Azimio Lile na Kama chombo Kikatumika wakati huu.

Si Haki kukataa Gari za Sasa zisitumike simply kwa sababu gari za miaka ya 1967 zilikuwa na mapungufu ambayo za sasa hazina! Mkuu Waberoya nina hakika kabisa kabisa unanielewa kwani "rules and laws are now in place" na ninachosubiri toka kwako Mkuu Tangaza kurejea kwa Azimio la Arusha katika hali mpya ya kisasa, liendane na Mavazi, magari na mazingira yote ya sasa!

Mkuu au kuna kasoro gani nyingine tuirekebishe? Au Hata isiyorekebishika? ... Karibu!!

Mkuu unajua nakuonea huruma!

What is Azimio?/declaration?
tafuta definitions zake!!!! ziko nyingi

What if tukitangaza tena MIMI SITAAZIMIA KILE MNACHOAZIMIA?? maana hii ni agreement hauitaji kutumia nguvu NIAZIMIE NISICHOTAKA!!

Mkuu mbona hili liko wazi kabisa................................wanaoongoza kwa ufisadi taifa hili ni wale walioimba na kukariri azimio la arusha!! uongo??

Je kuna sheria yeyote inayolazimisha mtu--KUAZIMIA kile ambacho wengine wana-azimia??

Mimi silitaki na yet ni mtanzania mzalendo unasemaje hapo?? tuangalie tu tusiwe wachungaji wa dini hapa.....kumlazimisha mtu kitu ambacho hataki!
 
Mkuu Malecela, kama lengo lilikuwa ni kutafuta njia ya kuwanufaisha wengi lilikuwa ni jambo jema sana. Lakini kilichopo ni kwamba njia aliyokuja nayo imewadunusha wengi zaidi kuliko wakati za azimio la Arusha na kuwaneemesha wachache sana, na kuwa matajiri wa kupindukia na kuufanya utawala na uongozi wa nchi kama ufalme.

Ukiangalia sasa hivi naweza kusema kuna maafa makubwa zaidi kuliko ilivyokuwa wakati wa azimio la Arusha. Angalia afya, elimu, maji. Hovyo zaidi kuliko wakati wa azimio la Arusha.

Sina maana kuwa azimio la Arusha was 100% perfect, tunatakiwa kuchukua yale ya msingi na yale mabaya tuyaweke pembeni, na tusifute mazuri kama tulivyofanya kule Zanzibar na kuweka mengine ya ovyo. Mkuu, tataizo la Azimio la Zanzibar sio kuleta ubepari, bali ni kuondoa miiko ya uongozi na kuruhusu viongozi kuwa wezi, na kutowafanya accountablem

- Suala la Viongozi kuwa not accountable limeanza na Awamu ya kwanza ya Azimio, huwezi kupanda mahindi ukavuna mihogo tunayovuna sasa ndio tuliyopandiwa na Azimio, sasa ni vyema kuwapa nafasi wanaoongoza watufikishe tunapotaka kwenda, na tuwape muda maana it took almost 25 years kwa Viongozi wetu kukubali kwamba Azimio limetuharibia sana Taifa!

W. J. Malecela

Hivi ebu toa ufafanuzi
  • Hivi kumbe mpaka sasa mabaya yote ni sababu ya Azimio la arusha?
  • Je hivi CCM ya Mwinyi, Mkapa na sasa Kikwete nazo zina boronga na sababu kuu bado zinaheshimu ,kulifuata na kulitekeleza Azimio la arusha

Sasa kama wewe Unaona wanashindwa sasa kutokana na azimiola a arushha vipi wakiuambia hata azimio larusha lilishindwa sababu mawazo ya kibeari(ubinafsi) utasemaje?

Mkuu unaonekana unaweza kawa mtu wa kukwepa responsibility na kurusha mipira kwa wengine . Ni mbaya sana hiyo.
W. J. Malecela said:
Mwalimu, yes was the greatest ever, lakini Mwalimu alikuwa na mapungufu makubwa mawili, hakujua;- !. Uchumi 2. Sheria, hivi vitu viwili Mwalimu simply hakuvijua kama alivijiua basi hakuvitilia maanani, na ndivyo vinavyolitafuna taifa letu sasa akiwa hayupo!

Nikuulize kati ya Kikwete na Mkapa nani anajua uchumi na nani anajua sheria? BInfsi naona Kikwete mchumi(kisomi) amezidiwa na mkapa.Na Mkapa liyetakiwa kuwa mwerevu wa shria kuliko Kikwete naye kazidiwa maigizo na Kikwete. Au kwatafsri yako watu kama Mkapa na Kikwte ni moja ya "mazao" ya Azimio la arusha yananaotakiwa kuepukwa na CCMyenu ijayo

BTN
Naoana una mpaka mafuta mwalimu kwa mgono wa chupa. kuwa na wewe unamuona he was greatese ever. !!!!!!!!!!!!! ebu chambua ni mambo gani yanfanya umuone kama "greatest sver "

Nadhani kuish nje kumeupoteazea uhalisia wa maisha halisi yawatanzania wa kawaida. Umewasahau wagogo wenzako na maisha halisi ya watanzania wengi. Hivi Unadhani ingekuwa sahihi na haki after independece kwa Nyerere kumove on na Privelleged few societies.????????

Nakupa mfano
  • Tuamabie Dodoma mkoa wa original yako ukiondoa shule za serikali kuna shule ngapi za binafsi au taasisi za kujitegemeea?
  • Kama we were dead wrong Je ilikuwa sawa kwa serikali ya JK kuamua kujenga Chuo Kikuu Dodoma au walitakiwa waachiwe watu binafsi waone umuhimu wa kuwekeza kwenye Elimu ya Juu dodoma
 
Last edited by a moderator:
Zakumi,
Yes there is a nascent democracy, but the ruling party is practicing kleptocracy which, if left unchecked, will lead to arnachy. Can you ask yourself why has it been so hard for a president to rid his cabinet of those who have been alleged to haver dirty hands?

Of course the current government and everybody in a good position is molesting the country. However, there's a surprising fact. The majority in the government grew up reciting Azimio la Arusha, like an altar boy gone bad.
 
Back
Top Bottom