William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
- Thread starter
-
- #281
Asante sana Mkuu........ hivi jamani ni nchi gani iliyoendelea duniani isiyo na miiko/maadili kwa viongozi wake.........
Arusha declaration is synonimous to- Nchi zineendelea Duniani kwa kuheshimu utawala Sheria sio anything else, huko maadili na miiko imo kwenye sheria sio Azimio, ukweli ni kwamba Azimio lilikua na nia moja tu nayo ni kuimarisha utawala wa chama kimoja lakini sio kuwasaidia wananchi,
-I mean yameandikwa mengi humu as far as academy is concern, sasa swali ni kwa nini hayakuwezekana kutekelezwa?
William.
sheria sio kila kitu Willliam . Kuna kitu kinaitwa systematic approach. Na any sysytem ina subsystem na zinatakiwa zifanye kazi vizuri na Lengo, nia na madhumuni ifikiwe . Sheria tu ni subsyetm sio muarobaini pekee.- Nchi zineendelea Duniani kwa kuheshimu utawala Sheria sio anything else, huko maadili na miiko imo kwenye sheria sio Azimio, ukweli ni kwamba Azimio lilikua na nia moja tu nayo ni kuimarisha utawala wa chama kimoja lakini sio kuwasaidia wananchi,
-I mean yameandikwa mengi humu as far as academy is concern, sasa swali ni kwa nini hayakuwezekana kutekelezwa?
William.
sheria sio kila kitu Willliam . Kuna kitu kinaitwa systematic approach. Na any sysytem ina subsystem na zinatakiwa zifanye kazi vizuri na Lengo, nia na madhumuni ifikiwe . Sheria tu ni subsyetm sio muarobaini pekee.
Kuna factor nyingi sana zinazochangia kuwezesha au kushindwa kwa kitu ndio maana ni kituko kupointa out Azimio kama ndio sababu ya msingina pekee .Na ni kituko vilevile kudhani sheria tu ndo dawa. Ina maana tanzania hatuna sheria? Assume hatukuwa nazo wakati wa Azmio.What about now?
Huu mfano nakupa kia siku.
Serikali ya Kikwete amabye ni mwenyekiti wa CCM imeshtaki B Mramba. Lakini huyo huyo mwenyekiti amesimaia zoezi la kumptisha nakumpigia kampeni mbunge ambaye serikali yake inamshitaki. Je hapa tatizo
- Ni sheria
- ni azimio la arusha au
- Uongozi na kutozingatia maadili na miiko
- Uwajibikaji
Haya kikwete angalau anafanya "magizo" ya kisheria Mkapa yeye unayemsifia mbona hakutaka kusikia au kuruhusu kitu kuhusu sheria japo za maigizo? Je mkapa bado alikuwa na Anazingatia azimio la Arusha ndio maana akashindwa kuthibiti na kushughulikia UFISADI
Arusha declaration is synonimous to
1.The Declaration of independence, which influenced the US constitution.
2.Hungarian political declaration on National cooperation.
3.Equadorian declaration on indigeneous people's rights........
I can go on and on, all these became incorporated to their subsequent constitutions.
Without forgeting of course, UN Declarations on money laundering, drug controls, HIV and AIDS, .... etc.
Unafiki ni kitu kibaya sana......nimekuwa nikisema sana hapa JF........watu msijifanye kumsifia JKN (RIP) wakati hamkumuelewa na hata sasa hamzisimamii VALUES alizopigania.............hata mwenyewe JKN alikiri kuna makosa aliyafanya.......lakini hii kiburi yetu ya kukosoa tu na kuubariki na kuukubali mfumo uliopo ambao bado tunaupigia kelele huko mitaani na hapa JF.....huu ni UNAFIKI......tena usio na macho i.e. mtu unapigania kitu usichokijua..........just fighting kwa sababu ni eti wakakti wa ku-fight!!....eti modern politics.......
Tunapojadili Azimio la Arusha......ni muhimu kuwa.....na open mind yenye mlengo wa uchambuzi yakinifu........fortunately/unfortunately impact ya Azimio la Arusha ilitukuta wote i.e. waliokuwa wapenzi wa siasa za vyama na ambao hawakuwa wapenzi wa vyama na zaidi ile chama eti kushika hatamu............hivyo basi kwa mwenye akili timamu anajua mabaya na mazuri ya Azimio la Arusha........
Lets move one step.........ukilichukua Azimio la Arusha kama lilivyo (leave alone Chama cha Siasa i.e. TANU which brought it)....jadili fundamental values zake.......binafsi au ningeona mtu ni mpuuzi kama nitaamua kuacha kujadili hoja ya Azimio la Arusha simply because mimi/mtu sio mwanachama wa chama kilicholeta hoja/azimio etc etc.......otherwise we are wasting time kwenye huu mjadala........SHERIA hutungwa ili ku-protect values zenye misingi ya haki tulizoamini zinafaa kwa jamii.......PERIOD.....hivyo you can't separate the two..........sheria hazitungwi hovyo hovyo.....sheria zina mikondo ya HAKI.........
having said that.....hapa JF kuna watu wamesimuliwa kuhusu Azimio la Arusha na kuna watu walikuwepo wakati wa Azimio la Arusha...........ninacho weza kusema kwa sasa........CHOYO and/or UBINAFSI ndio iliua Azimio la Arusha
- Azimio lilikufa natural death kwa sababu lilikuwa unrelistic na against human nature, kama vile Soviet ilivyokufa sio kwa sababu ya choyo na ubinafsi hapana ni kwa sababu thoeries zake zilikuwa unrealistic na very unnatural, sasa kuzirudia na kuzisoma tena na tena kutafuta values zake ni simply waste of time, any serious theory Duniani inasimama kutokana na values zake, ikifa maana yake values hazikuwa strong!
- So was Azimio, halikuwa na Strong values za kuweza kulisimamisha mpaka leo, tizama historia ya Biblia kuna waliotaka sana kuimaliza huko nyuma, lakini wameshindwa ni kwa sababu huwezi kushindana values zake mkuu!
William.
Duniani watu wenye akili nyingi huongelea matokeo sio anything....
Akili nyingi!!!!!waht do u mean .
Kama ni matokeo staus ya mkoa wa origin yako ya dodoma maeendelo uliyanayo sio sababu ya uwekezaji.Sio sababu ya ubepari.na sio sababuya nguvu ya soko. Maendeleo japo kidichu ya Mkoa wa dodoma yaliyopo sasa ni mchanganyiko
- Maazimio ( Makao Makuu)
- Uwekezaji tena wa serikali ( taaisis kama CBE,CHuo cha Mipango, UDOM)
Haya maendelo ya dodoma hajaletwa na sheria au katiba ni maazimio na regulation za naViongozi wenye VISION.
Ebu
- tupe takwimu Dodoma ina shule ngapi binafsi au hospitali ngapi binafsi mpya zimeazishwatoka baada ya Azimio kutupwa
- Je likija azmio la serikali kufidia wakulima wa zabibu dodoma wenye hekta utapinga sabau falsafa hiyo haiendani na Sera ya ushidani za IMF na WB
Na mimi Niko upande wa utetezi wa Azimio la arusha.Lilihitaji kuboreshwa tu
- Azimio lilikufa natural death kwa sababu lilikuwa unrelistic na against human nature, kama vile Soviet ilivyokufa sio kwa sababu ya choyo na ubinafsi hapana ni kwa sababu thoeries zake zilikuwa unrealistic na very unnatural, sasa kuzirudia na kuzisoma tena na tena kutafuta values zake ni simply waste of time, any serious theory Duniani inasimama kutokana na values zake, ikifa maana yake values hazikuwa strong!
- So was Azimio, halikuwa na Strong values za kuweza kulisimamisha mpaka leo, tizama historia ya Biblia kuna waliotaka sana kuimaliza huko nyuma, lakini wameshindwa ni kwa sababu huwezi kushindana values zake mkuu!
William.
- Really? Sasa Author wa Azimio alishindwa kuliboresha unasema sisi ndio tunaweza?
William.
DEAD WRONG!.........watu (wachoyo and/or wabinafsi) walienda zao Zanzibar wakakaa kwa makusudio yao kabisa na wakaliua Azimio la Arusha.........AGAIN.....YOU ARE DEAD WRONG!...........relevance ya vitabu vitakatifu na values za maazimio....one can emulate the other while the other can not............na mbaya zaidi ni pale unapokutana na ma-atheist........
W. J. MalecelaPlease be logical
So mfano unamwambiaje JK aliyeitisha Tume ya mabadiiko ya katiba . Kama yeye na wanatume aliwateua hakuwa mmoja wateam member walionadika katiba hiyo . Wataweza au anafanya maigizo.
Kwa logic yako inamana kama waliondi katiba wmwazni walishindwa kuiboresha basi hakuna anayeweza kuiboresha .... Reallly?
Naona umekwepa hoja hizi naomba mchango wako
nini -ve na + ve impact ya
- MaazimioYa kuhamia Dodoma ( Makao Makuu ya serikali )
- Uwekezaji tena wa serikali ( was taaisis kama CBE, CHuo cha Mipango, UDOM)
- etc
- Tofauti kubwa kati ya Azimio na Katiba ni kwamba Azimio lilishindwa, katiba haijashindwa!
William.
There's no private ownership of land in Tanzania. And the president is the trustee.
Hizi demokrasia za Ku-copy......na za Kushinikizwa inabidi tuziangalie kwa umakini mkubwa na relevance yake kwenye culture yetu/zetu.........demokrasia zinazoshinikizwa kwetu sie na wengine inabidi tuzi-mould tu suit our interest........
Mnaweza kuwa na chuki za binafsi dhidi ya azimio la arusha...........however mjue ya kwamba si kila jambo ndani ya azimio la arusha ni baya........ilibidi tuliimarishe kwa kuondoa vipengele ambavyo si relevant........
siku hizi kuna models mbali mbali za kisiasa na kiuchumi ambazo.......watu hufikiria ku-copy na ku-paste.......again we will be very wrong..........we need our own ideas that will work for us/our nation.........Tanzania yetu mambo ya ujanja ujanja/mishe mishe.......ndio yametifikisha hapa tulipo na wala si Azimio la Arusha......tulili-abuse Azimio la Arusha.....badala ya kuliboresha...........
U chose to ignore! it's all gud...