Azimio La Arusha: Why We Were Dead Wrong!

Asante sana Mkuu........ hivi jamani ni nchi gani iliyoendelea duniani isiyo na miiko/maadili kwa viongozi wake.........

- Nchi zineendelea Duniani kwa kuheshimu utawala Sheria sio anything else, huko maadili na miiko imo kwenye sheria sio Azimio, ukweli ni kwamba Azimio lilikua na nia moja tu nayo ni kuimarisha utawala wa chama kimoja lakini sio kuwasaidia wananchi,

-I mean yameandikwa mengi humu as far as academy is concern, sasa swali ni kwa nini hayakuwezekana kutekelezwa?

William.
 
Arusha declaration is synonimous to

1.The Declaration of independence, which influenced the US constitution.

2.Hungarian political declaration on National cooperation.
3.Equadorian declaration on indigeneous people's rights........

I can go on and on, all these became incorporated to their subsequent constitutions.
Without forgeting of course, UN Declarations on money laundering, drug controls, HIV and AIDS, .... etc.
 
Unafiki ni kitu kibaya sana......nimekuwa nikisema sana hapa JF........watu msijifanye kumsifia JKN (RIP) wakati hamkumuelewa na hata sasa hamzisimamii VALUES alizopigania.............hata mwenyewe JKN alikiri kuna makosa aliyafanya.......lakini hii kiburi yetu ya kukosoa tu na kuubariki na kuukubali mfumo uliopo ambao bado tunaupigia kelele huko mitaani na hapa JF.....huu ni UNAFIKI......tena usio na macho i.e. mtu unapigania kitu usichokijua..........just fighting kwa sababu ni eti wakakti wa ku-fight!!....eti modern politics.......

Tunapojadili Azimio la Arusha......ni muhimu kuwa.....na open mind yenye mlengo wa uchambuzi yakinifu........fortunately/unfortunately impact ya Azimio la Arusha ilitukuta wote i.e. waliokuwa wapenzi wa siasa za vyama na ambao hawakuwa wapenzi wa vyama na zaidi ile chama eti kushika hatamu............hivyo basi kwa mwenye akili timamu anajua mabaya na mazuri ya Azimio la Arusha........

Lets move one step.........ukilichukua Azimio la Arusha kama lilivyo (leave alone Chama cha Siasa i.e. TANU which brought it)....jadili fundamental values zake.......binafsi au ningeona mtu ni mpuuzi kama nitaamua kuacha kujadili hoja ya Azimio la Arusha simply because mimi/mtu sio mwanachama wa chama kilicholeta hoja/azimio etc etc.......otherwise we are wasting time kwenye huu mjadala........SHERIA hutungwa ili ku-protect values zenye misingi ya haki tulizoamini zinafaa kwa jamii.......PERIOD.....hivyo you can't separate the two..........sheria hazitungwi hovyo hovyo.....sheria zina mikondo ya HAKI.........

having said that.....hapa JF kuna watu wamesimuliwa kuhusu Azimio la Arusha na kuna watu walikuwepo wakati wa Azimio la Arusha...........ninacho weza kusema kwa sasa........CHOYO and/or UBINAFSI ndio iliua Azimio la Arusha
 
sheria sio kila kitu Willliam . Kuna kitu kinaitwa systematic approach. Na any sysytem ina subsystem na zinatakiwa zifanye kazi vizuri na Lengo, nia na madhumuni ifikiwe . Sheria tu ni subsyetm sio muarobaini pekee.

Kuna factor nyingi sana zinazochangia kuwezesha au kushindwa kwa kitu ndio maana ni kituko kupointa out Azimio kama ndio sababu ya msingina pekee .Na ni kituko vilevile kudhani sheria tu ndo dawa. Ina maana tanzania hatuna sheria? Assume hatukuwa nazo wakati wa Azmio.What about now?

Huu mfano nakupa kia siku.

Serikali ya Kikwete amabye ni mwenyekiti wa CCM imeshtaki B Mramba. Lakini huyo huyo mwenyekiti amesimaia zoezi la kumptisha nakumpigia kampeni mbunge ambaye serikali yake inamshitaki. Je hapa tatizo

  • Ni sheria
  • ni azimio la arusha au
  • Uongozi na kutozingatia maadili na miiko
  • Uwajibikaji

Haya kikwete angalau anafanya "magizo" ya kisheria Mkapa yeye unayemsifia mbona hakutaka kusikia au kuruhusu kitu kuhusu sheria japo za maigizo? Je mkapa bado alikuwa na Anazingatia azimio la Arusha ndio maana akashindwa kuthibiti na kushughulikia UFISADI
 
- Duniani watu wenye akili nyingi huongelea matokeo sio anything, I mean ni msomi gani anayesema Theory imeshindwa lakini ina elements nzuri sana kama zingesomwa vizuri, na huku tulikuwa na the Author mwenyewe wa theory aliyeshindwa vibaya sana kutekeleza theory zake mwenyewe, sasa mnasema wengine tunaweza kuzisoma theory hizo hizo na kulisaidia Taifa, ninapta shida sana kuelewa hapo!

- Theory imeshindwa tukubali imeshindwa tuanze na mapya mengine sio kurudia rudia yale yale! Sheria ndio mambo yote na anytime ukishaanza kuwa na mengine ndio matokeo kama yetu, hakuna heshima kwa Sheria!

William.
 
Arusha declaration is synonimous to

1.The Declaration of independence, which influenced the US constitution.

2.Hungarian political declaration on National cooperation.
3.Equadorian declaration on indigeneous people's rights........

I can go on and on, all these became incorporated to their subsequent constitutions.
Without forgeting of course, UN Declarations on money laundering, drug controls, HIV and AIDS, .... etc.

- How about the results of Azimio to compare with those Declarations that got their kick from Azimio as of you?

William.
 
Unafiki ni kitu kibaya sana......nimekuwa nikisema sana hapa JF........watu msijifanye kumsifia JKN (RIP) wakati hamkumuelewa na hata sasa hamzisimamii VALUES alizopigania.............hata mwenyewe JKN alikiri kuna makosa aliyafanya.......lakini hii kiburi yetu ya kukosoa tu na kuubariki na kuukubali mfumo uliopo ambao bado tunaupigia kelele huko mitaani na hapa JF.....huu ni UNAFIKI......tena usio na macho i.e. mtu unapigania kitu usichokijua..........just fighting kwa sababu ni eti wakakti wa ku-fight!!....eti modern politics.......

Tunapojadili Azimio la Arusha......ni muhimu kuwa.....na open mind yenye mlengo wa uchambuzi yakinifu........fortunately/unfortunately impact ya Azimio la Arusha ilitukuta wote i.e. waliokuwa wapenzi wa siasa za vyama na ambao hawakuwa wapenzi wa vyama na zaidi ile chama eti kushika hatamu............hivyo basi kwa mwenye akili timamu anajua mabaya na mazuri ya Azimio la Arusha........

Lets move one step.........ukilichukua Azimio la Arusha kama lilivyo (leave alone Chama cha Siasa i.e. TANU which brought it)....jadili fundamental values zake.......binafsi au ningeona mtu ni mpuuzi kama nitaamua kuacha kujadili hoja ya Azimio la Arusha simply because mimi/mtu sio mwanachama wa chama kilicholeta hoja/azimio etc etc.......otherwise we are wasting time kwenye huu mjadala........SHERIA hutungwa ili ku-protect values zenye misingi ya haki tulizoamini zinafaa kwa jamii.......PERIOD.....hivyo you can't separate the two..........sheria hazitungwi hovyo hovyo.....sheria zina mikondo ya HAKI.........

having said that.....hapa JF kuna watu wamesimuliwa kuhusu Azimio la Arusha na kuna watu walikuwepo wakati wa Azimio la Arusha...........ninacho weza kusema kwa sasa........CHOYO and/or UBINAFSI ndio iliua Azimio la Arusha

- Azimio lilikufa natural death kwa sababu lilikuwa unrelistic na against human nature, kama vile Soviet ilivyokufa sio kwa sababu ya choyo na ubinafsi hapana ni kwa sababu thoeries zake zilikuwa unrealistic na very unnatural, sasa kuzirudia na kuzisoma tena na tena kutafuta values zake ni simply waste of time, any serious theory Duniani inasimama kutokana na values zake, ikifa maana yake values hazikuwa strong!

- So was Azimio, halikuwa na Strong values za kuweza kulisimamisha mpaka leo, tizama historia ya Biblia kuna waliotaka sana kuimaliza huko nyuma, lakini wameshindwa ni kwa sababu huwezi kushindana values zake mkuu!

Nadhani azimio halikufa kama unavyolazimisha,ila azimio la arusha lili zimwa ili kuweza kuunda azimio ambao litawapa mwanya watu wachache ama kikundi kutimiza yale yaliyowafanya kulizima azimio la arusha,na kiukweli wametimiza malengo yao,ndio maana leo hii waziri anamili nyumba ya mabilioni,

huwa napenda sana kukupa mfano wa china kwani ndio tuliokuwa tukifuata maazimio mengi kwa pamoja,juzi tu hapa wamemfukuza mwanasiasa maarufu na mjamaa anayefuata siasa za mao Mr Bo Xilai pichani chini
6.jpg

kwa tuhuma za rushwa,lakini kwa upande wetu tumekuwa wagumu sana kufuata sheria,taratibu na kanuni tulizojiwekea,na hii inatokana na kufuta ile misingi ya azimio la arusha amabayo kiuhakika mtu asingeweza hata kujilimbikizia mali ama kuiba kama tungeendelea na azimio letu na kusimamia ipasavyo maadili ya azimio la arusha

tukaleta azimio ambalo linatupa nafasi hata ya kuwashika mikono na kuwapigia kampeni wezi ambao kesi zao zipo mahakamani,
 
Bado nitaendelea kusema, tuna chaguzi mbili, kuishi ama kutoiishi MANTIKI iliyomo nafsini mwetu. KUISHI UTU AU LAA!
Nachoamini kuwa Mantiki huwa haifi kamwe, ila inaweza kupindishwa na watu kwa maslahi yao binafsi katika Nyakati fulani.
MANTHKI ndiyo ipasayo kuongoza NYAKATI (imani, itikadi, falsafa, tamaduni, mitazamo, hisia, nk.). Yaani, nyakati sahihi katika mazingira sahihi, ni ile izingatiayo mantiki iliyomo nafsini mwa watu, na haizidiani viwango, iko sawa kwa kila mtu, UTU!
Swali, Je, nyakati tulizonazo zinazingatia mantiki nafsini mwetu?
HAKI ZA BINADAMU! Hili ndilo ua lichanualo nafsini mwetu, na ndilo lhpindishalo MANTIKI nafsini mwetu. Kama sikosei Nyerere alipata kusema hili "...haki si kufuata sheria, ila ni kuhakikisha mwenzio naye anaipata..." hapa ndipo napoua kabsa nafsini mwangu, wanachoita "lawful individual succes" na kusimika hili akilini mwangu "logical people's succes".
Tuhoji sasa juu ya Haki za Binadamu...kwa kuangalia MANTIKI nafsini mwetu! Haki hizo zinasema...
>Ni haki kwa mwenye milioni na yule mwenye 500, kushindanishwa sokoni, mantiki je?
>Ni haki kumrushia chakula aliyekosa mikono, ashindanie na yule aliyenayo, ipi ni mantiki?
>Ni haki kuwa na hatua ya 5 hali jirani jirani hana hata 1, wapi UTU?
Je, ni sahihi kuishi hayo kwakuwa yapo? Nafsini mwetu MANTIKI haitoacha kutusimanga. Tulikiuka MANTIKI, tukageukia MWANGA MWEUSI, uliotuzika hai, tusiache iwe kwa watoto wetu. Mungu wetu anaita! Unafiki wetu na usaliti juu ya mantiki, ndio adui mkubwa wa Azimio la Arusha. Mungu wetu anaita sasa!
 
Duniani watu wenye akili nyingi huongelea matokeo sio anything....

Akili nyingi!!!!!waht do u mean .
Kama ni matokeo staus ya mkoa wa origin yako ya dodoma maeendelo uliyanayo sio sababu ya uwekezaji.Sio sababu ya ubepari.na sio sababuya nguvu ya soko. Maendeleo japo kidichu ya Mkoa wa dodoma yaliyopo sasa ni mchanganyiko

  • Maazimio ( Makao Makuu)
  • Uwekezaji tena wa serikali ( taaisis kama CBE,CHuo cha Mipango, UDOM)

Haya maendelo ya dodoma hajaletwa na sheria au katiba ni maazimio na regulation za naViongozi wenye VISION.

Ebu

  • tupe takwimu Dodoma ina shule ngapi binafsi au hospitali ngapi binafsi mpya zimeazishwatoka baada ya Azimio kutupwa
  • Je likija azmio la serikali kufidia wakulima wa zabibu dodoma wenye hekta utapinga sabau falsafa hiyo haiendani na Sera ya ushidani za IMF na WB

Na mimi Niko upande wa utetezi wa Azimio la arusha.Lilihitaji kuboreshwa tu
 
- Really? Sasa Author wa Azimio alishindwa kuliboresha unasema sisi ndio tunaweza?

William.
 
- Azimio lilikufa natural death kwa sababu lilikuwa unrelistic na against human nature, kama vile Soviet ilivyokufa sio kwa sababu ya choyo na ubinafsi hapana ni kwa sababu thoeries zake zilikuwa unrealistic na very unnatural, sasa kuzirudia na kuzisoma tena na tena kutafuta values zake ni simply waste of time, any serious theory Duniani inasimama kutokana na values zake, ikifa maana yake values hazikuwa strong!

DEAD WRONG!.........watu (wachoyo and/or wabinafsi) walienda zao Zanzibar wakakaa kwa makusudio yao kabisa na wakaliua Azimio la Arusha.........

- So was Azimio, halikuwa na Strong values za kuweza kulisimamisha mpaka leo, tizama historia ya Biblia kuna waliotaka sana kuimaliza huko nyuma, lakini wameshindwa ni kwa sababu huwezi kushindana values zake mkuu!

William.

AGAIN.....YOU ARE DEAD WRONG!...........relevance ya vitabu vitakatifu na values za maazimio....one can emulate the other while the other can not............na mbaya zaidi ni pale unapokutana na ma-atheist........
 
- Really? Sasa Author wa Azimio alishindwa kuliboresha unasema sisi ndio tunaweza?

William.

W. J. MalecelaPlease be logical

So mfano unamwambiaje JK aliyeitisha Tume ya mabadiiko ya katiba . Kama yeye na wanatume aliwateua hakuwa mmoja wateam member walionadika katiba hiyo . Wataweza au anafanya maigizo.

Kwa logic yako inamana kama waliondika katiba mwanzini walishindwa kuiboresha basi hakuna anayeweza kuiboresha .... Reallly?

Naona umekwepa hoja hizi naomba mchango wako

nini -ve na + ve impact ya

  1. MaazimioYa kuhamia Dodoma ( Makao Makuu ya serikali )
  2. Uwekezaji tena wa serikali ( was taaisis kama CBE, CHuo cha Mipango, UDOM)
  3. etc

DEAD WRONG!.........watu (wachoyo and/or wabinafsi) walienda zao Zanzibar wakakaa kwa makusudio yao kabisa na wakaliua Azimio la Arusha.........AGAIN.....YOU ARE DEAD WRONG!...........relevance ya vitabu vitakatifu na values za maazimio....one can emulate the other while the other can not............na mbaya zaidi ni pale unapokutana na ma-atheist........

- Waliua Azimio kwa sababu lilikuwa unproductive kwa taifa, na nido watu wenye akili wanavyofanya, kama Azimio ni unproductive mnaliua na kuanza upya na idea zingine, lakini huwezi kurudi kulilia the same ideas zilizoshindwa na kudai zikisomwa vizuri zinatekelezeka, hapana!

William.
 
W. J. MalecelaPlease be logical

So mfano unamwambiaje JK aliyeitisha Tume ya mabadiiko ya katiba . Kama yeye na wanatume aliwateua hakuwa mmoja wateam member walionadika katiba hiyo . Wataweza au anafanya maigizo.

Kwa logic yako inamana kama waliondi katiba wmwazni walishindwa kuiboresha basi hakuna anayeweza kuiboresha .... Reallly?

Naona umekwepa hoja hizi naomba mchango wako

nini -ve na + ve impact ya

  1. MaazimioYa kuhamia Dodoma ( Makao Makuu ya serikali )
  2. Uwekezaji tena wa serikali ( was taaisis kama CBE, CHuo cha Mipango, UDOM)
  3. etc

- Tofauti kubwa kati ya Azimio na Katiba ni kwamba Azimio lilishindwa, katiba haijashindwa!

Point yako ilikuwa author(Nyerere) Kushindwa. Sasa unasema just Azimio kushindwa .Huna consistency kwenye hoja zako

Kwa hiyo Kushsindwa kuahamia Dodoma ni sababu lilikuwa ni just azmio halimo kwenye katiba kwamba Dodoma ndio makao makuu ya serikali. Au unataka kusema hivi sasa kivitendo Dodoma tayari ni makao makuu ? Au Nalo ilikuwa azimio la kijamaa ndio maana lnapuuziwa ?

Ebu nifafanulie kuhusu hiiya dodoma makao makuu .Japo ni nje kidogo ya mada.May be tunaweza kuona tofauti na mipaka ya Azmio, nia ya dhati na utekelezaji wake.
 
mada nyingi za bwana william huwa hazina mwisho,yaani ni duara nikimaanisha mtakuwa mnakwenda na kuzunguka na kurudia rudia kile mlichokisema mwanzo

na yeye atasisitiza na majibu yake ya AZIMIO LA ARUSHA HALIKUWA NA TIJA x1000000

kwake yeye hakuna hata mahala penye unafuu hususani AZIMIO LA ARUSHA

na bado william ana amini kuwa hata ufisadi wa leo,kutokuwajibika kwa viongozi,kujilimbikizia mali yote hayo ni zao la AZIMIO LA ARUSHA

Migomo ya wanafunzi,madaktari,mauaji migodini,mirahaba midogo na mikataba feki mogodini bado kaka yangu William anaona ni kosa la AZIMIO LA ARUSHA

gape la wenye nacho na wasionacho,matatizo ya umeme,maji na madawa hosptalini,kudolola kwa uchumi yote hayo yanamfanya william Kulichukia AZIMIO LA ARUSHA

kuuzwa kwa nyumba za serikali zilizojengwa kwa AZIMIO LA ARUSHA, baadhi ya njia za reli kuto kufanya kazi,viwanda kufa,msongamano wa magari na watu DSM kaka William anatupa lawama kwa AZIMIO LA ARUSHA

sijui na bado siamini kama kweli william malecela anaelewa vyema AZIMIO LA ARUSHA kwa nini lilianzishwa,malengo na majukumu ya azimio la arusha

sijaona hata sehemu ambapo william ametueleza faida ya AZIMIO LA ZANZIBAR labda hajui kama lipo na linafanya kazi,ama malengo ya AZIMIO LA ZANZIBAR yanamfurahisha ndio maana haliongelei wala hataki kuligusa

lakini kiukweli AZIMIO LA ARUSHA limefanya makubwa sana ukifananisha na AZIMIO LA ZANZIBAR lililokuja na meno ya kuila nchi na wanyonge kupata tabu kama watumwa ndani ya nchi yao
 
There's no private ownership of land in Tanzania. And the president is the trustee.

We have to thank Azimio la Arusha for that. It's Azimio la Arusha that stipulates that Ardhi ni Mali ya wote.
 
Hizi demokrasia za Ku-copy......na za Kushinikizwa inabidi tuziangalie kwa umakini mkubwa na relevance yake kwenye culture yetu/zetu.........demokrasia zinazoshinikizwa kwetu sie na wengine inabidi tuzi-mould tu suit our interest........

Mnaweza kuwa na chuki za binafsi dhidi ya azimio la arusha...........however mjue ya kwamba si kila jambo ndani ya azimio la arusha ni baya........ilibidi tuliimarishe kwa kuondoa vipengele ambavyo si relevant........

siku hizi kuna models mbali mbali za kisiasa na kiuchumi ambazo.......watu hufikiria ku-copy na ku-paste.......again we will be very wrong..........we need our own ideas that will work for us/our nation.........Tanzania yetu mambo ya ujanja ujanja/mishe mishe.......ndio yametifikisha hapa tulipo na wala si Azimio la Arusha......tulili-abuse Azimio la Arusha.....badala ya kuliboresha...........

Copy and paste is your idea. What Eric insists are the values of democracy, which give people the right to choose their own system of government and the people who run it.

You wouldn’t copy anybody’s system of democracy if you allow Tanzanians to practice their own rights.
 
Back
Top Bottom