Azimio La Arusha: Why We Were Dead Wrong!

Azimio La Arusha: Why We Were Dead Wrong!

mkuu una moyo wewe!!

soma tathmini ya Nyerere ya AA baada ya miaka 10

http://www.tzonline.org/pdf/thearushadeclarationtenyearsafter.pdf

soma artcile hii ya mihangwa pengine itakufurahisha kidogo, lakini tatizo la msingi liko palepale tu.....kuwa Nyerere alikosea sana kuanzia mwanzo

Home*»*Insight

1. Nyerere alikosea ujamaa...haukuwa wakati wake na yy alijua hivyo
2. AA ilikuwa aidea yake baada ya miaka 10 likafa watu inaonyesha watu wake au vijana wake hawakujua lolote...unalosema azimio halikuwa azimio bali tamko!!
@Waberoya
Hahahaaa haa! mkuu wangu sio moyo ila nazungumzia ukweli. Unajua labda nikupe mfano wa ndugu yetu William. Huyu kaka aliazimia kurudi Bongo akajenga kichwani vision ambayo bila shaka ni kutaka maisha bora zaidi kwa kujitambua uzawa wake, nafasi yake ktk jamii na kwamba future ya maisha yake iko Nyumbani. Hadi hapa ndipo tunaposimama kwamba haiwezekani mtu kuhama toka Marekani kurudi Bongo pasipo kuwa na vision kichwani, vision ambayo imekufanya utake mabadiliko ktk maisha yako na pasipo kujali umri wa mafanikio isipokuwa kwa kujitambua wewe nani, upo ktk mazingira yapi na unataka mageuzi toka maisha haya kwenda maisha fulani.

Kichwani kisha jenga sura ya maisha atakayokusudia kuishi hata kama hatafanikiwa mwaka wa kwanza, wa pili au tatu maadam umeshaweka nia, sababu na uwezo wa kubadilika hayo mengine yanakuwa ni HOPE ya mafanikio. Kwa hiyo kuondopka Marekani ukaenda Bongo kuchambia kopo haina maana umeshindwa maisha hata kidogo ni lazima ujiandae wewe nafsi yako na sii kutegemea kuyabadilisha mazingira ya Bongo yakidhi mahitaji ya ndugu yetu William. Ni william anayetakiwa kujiandaa, kujiwekea taratibu, sheria, miiko na kadhalika kulingana na maisha ya Bongo akiwa na lengo ya kubadilisha maisha yake yeye na sii vitu au watu around him..
Bro, William utanisamehe kwa hili kukutolea mfano, lakini najaribu tu kuiweka hoja yangu wazi.

Sasa kafika Tanzania kajaribu ubunge wa EA, inawezekana ilikuwa sii wazo zuri kwa wengine maana kaukosa ubunge, lakini kibinadamu sidhani kama ana plan moja tu, zipo nyingi tu na hakika hapo alipo tayari kisha gundua ni nidhamu ipi anatakiwa kwa nayo. Kimaisha tayari kesha jenga mwongozo wa jinsi atakavyoishi hapo bongo, kajipangia utaratibu na sheria iwe kwenda kanisani au kujimwaga Karibu lounge yote haya ni ktk mipango ya kutafuta maisha mapya Tanzania. Aidha uyaone makosa ktk baadhi ya maamuzi yake lakini nina hakika ana miiko na maadili hafuati tu sheria za nchi bali nafsi yake inamsuta ktk mengine ambayo yanaweza mkwamisha.

Kwa hiyo wazo lake la kuondoka USA na kurudi Tanzania huambatana na DIRA, yaani kesha visionalize maisha yake akiwa Tanzania, na hata kama hatafanikiwa leo ama kesho haina maana wazo la yeye kurudi Tanzania ilikuwa kosa - Hapana. Pia wazo la kina sisi kubakia nchi hizi haiwezi kupimwa kutokana na mafanikio yetu bali maisha tuishio ndio yanayotazamwa makosa ndani yake ambayo ndio sababu ya kutofanikiwa kwetu maana wapo watu wengine wamefanikiwa aidha kwa kuishi Marekani au kurudi Bongo.

Na hata kama akijaribu siasa kwa miaka 10 ijayo asifanikiwe haiwezi kuwa sababu kwamba William alifanya kosa kujiingiza ktk siasa, isipokuwa muhimu ni tutazame makosa yake yalikuwa yapi kiasi kwamba akashindwa kufanikiwa ktk siasa na sii kulaumu kuondoka kwake Marekani pengine he had no choice ya kubakia Marekani kama sisi tulivyoshindwa kubakia ktk Usosialisti, ati mbona Wachina na Vietnam walibakia na leo hii wanatisha!. We are who we are tutafute muda wa kujitambua sisi kwanza na mabadiliko gani ya kifikra tunayahitaji.
 
Sehemu ya itikadi ya Chadema inayo nitatiza ni suala la kuwa 'mrengo wa kati' na nilishalijadili hili huko nyuma katika mazingira ya pro - poor economic growth ambayo ni muhimu sana given the level ya umaskini uliokithriri katika nchi yetu. Bila ya kuwa waangalifu, wananchi watakata tamaa haraka sana chini ya utawala wa Chadema unless itikadi ndani ya katiba yake iwe ni maneno tu lakini watekeleze sera za uchumi zenye kulenga kuleta maendeleo ya jamii kwa namna tofauti. Hata CCM wanasema itikadi yake ni ujamaa lakini utekelezaji wake ni tofauti kabisa. Pengine hii ni kawaida kwa vyama vyetu - kuweka itikadi yoyote kwenye katiba zao kama njia ya kutekeleza masharti ya usajili wa chama. Sina uhakika kama huwa wanakaa chini na ku 'brain storm' vyama vinahitaji kufuata itikadi ya/za namna gani ili kujipatia mafanikio ya kisiasa kutokana na kuwa na sera ambazo zina 'deliver'.

Tusisahau kwamba itikadi inatokana na matakwa ya jamii katika muda uliopo, haitungwi na chama i.e the process ya kupata itikadi ni bottom-up, sio top-down. Kinachotokea ni kwamba - chama kinaangalia jamii ina mtazamo gani, kisha kuweka mengi ya hayo katika package ya itikadi na kuendesha masuala yote ya kisera kwa mtazamo husika.

Otherwise Chadema ni Chama makini na kina nafasi kubwa sana ya kuleta mabadiliko nchini kuliko CCM. Tanzania inahitaji mawazo mapya na hayo hayawezi kutokea CCM hata siku moja. Ile kauli mbiui ya ARI MPYA KASI MPYA na NGUVU MPYA ilistahili itokee chama cha upinzani.
Mkuu hili la mrengo wa Kati lazima ulitazame kwa umakini sana maana tusichanganye siasa zinazohusu nchi za magharibi ktk mazingira tofauti kabisa na yetu.
Kwanza kabisa lazima ufahamu itikadi yoyote ile inawahusu wananchi wake, Na kama sisi ni maskini lengo la itikadi lazima liwe kuwatoa ktk umaskini huo na sii kuwaacha ktk umaskini. Hivyo, hatuwezi kupinga Watanzania wazawa kuwa matajiri, kufungua viwanda, mashirika na kutoa ajira kwa wananchi ama kulima mashamba yao binafsi wakayaendesha kuzalisha chakula na mengine kwa biashara. Kinachogomba hapa ni mgawanyo wa keki ya Taifa, hutaki kumkwaza Mtanzania anayewekeza ama kutomlinda maskini.

Binafsi yangu najiita Conservative kwa sababu naamini ktk kuenzi malengo ya Uhuru na UTU wetu (wazawa), na kazi kubwa ya serikali ni kulinda maslahi ya watu wake ambao kwa ujumla ni Maskini. Ndio sababu kubwa naliunga mkono Azimio la Arusha ktk kujitambua sisi ni jamii ya wakulima na wafanyakazi - MASKINI, hivyo jukumu kubwa ni kuwawezesha hawa ktk utajirisho na kulinda sovereign yao, lakini pia nakubali mapungufu ya Azimio lile ktk misingi ya utawala, uendeshaji uchumi na negative policies yaani zile resolution zilizomkwaza mwananchi badala ya kumlinda ambazo leo haziendi na wakati.

Hivyo sera za Chadema zinatazama pande zote yaani WATU ktk umaskini, Ujinga na maradhi na MAZINGIRA tuliyopo kiuchumi au kidunia. Karibu tena Chadema tukiboreshe chama hiki maana hakina wenyewe isipokuwa SISI sote ndio tunaoweza kufanya mabadiliko ndani na nje..
 
[h=2]Ujamaa still the best policy
By Ashton Balaigwa[/h]

28th April 2012

A University of Dar es Salaam (UDSM) lecturer in Political Science and Public Administration, Richard Mbunda, has said that socialism (Ujamaa) is still the best policy for Tanzania.
Presenting a paper at a function to mark the World Smallholder Farmers' Day at Sokoine University of Agriculture (SUA) recently, Mbunda said the fact that the policy sought to establish equality and justice in society made it still ideal for the country even today.
He said currently low-income earners, which most smallholder farmers are, were generally being ignored although they were the very ones who sustained the country's economy.
Mbunda noted that inequality was getting more pronounced now as a few people with the political and financial wherewithal were grabbing huge pieces of land on the pretext of investment while forcefully evicting smallholder farmers from their lands.
He said initiatives such as Kilimo Kwanza wouldn't benefit smallholder farmers, citing the Southern Agricultural Growth Corridor of Tanzania (Saggot) as a movement which, in his opinion, would not benefit smallholder farmers.
"The Arusha Declaration, in spite of its shortcomings, aimed at elevating smallholder farmers, as currently there is no ideology which aims at liberating this group which comprises over 80 per cent of the country's population," he emphasised.
Contributing to Mbunda's presentation on the principles of the Arusha Declaration in connection with land grabbing in rural areas, Network of Farmers' Groups of Tanzania (Mviwata) patron Stephen Mashishanga, whose group hosted the event jointly with the Tanzania Associations of Land (TALA), said farmers still needed Ujamaa because the system gave them opportunities to grow.
"We still need the Arusha Declaration and all that it stood for. It is only a few leaders who have neglected it and thus weakened its implementation," he said.
For his part, HakiArdhi director Yefredy Myenzi argued that the government and its organs were part of the land grabbing problem. He accused some executives of collaborating with foreign investors to grab land from villagers on the pretext of promoting investment.
He claimed that 647,000 hectares of land were grabbed in 2010 alone by ‘investors' to pave way for the establishment of huge farms for planting jatropha, sugar cane and palm for producing biofuel.
Myenzi identified another cause for widespread land grabbing in rural areas as the expansion of companies following imperialistic principles, whereby managements of such industries created networks of smallholder farmers producing for them at a very low cost.
He also claimed that land grab was fuelling environmental degradation as forests were cleared to pave the way for jatropha production.

SOURCE: THE GUARDIAN

Ujamaa still the best policy
By Ashton Balaigwa

Where did this guy get his Phd? The population of Tanzania is skyrocketing and the use of land can't be used as equalizer of wealth distibution.
 
Where did this guy get his Phd? The population of Tanzania is skyrocketing and the use of land can't be used as equalizer of wealth distibution.

ZA10, The fact that Arusha declaration came into being in 1967 does not make it obsolete in 2012. It is a fact that, the population of the country then was 10 million, and the declaration was mainly meant to cater for peasants and civil servants, in one party mentality. We are almost +40 Million now, and we have businesses, intellectuals, artists, sportsmen, diaspora and other groups playing a role in the development of our country, and we are a multiparty democracy now.

Just think about this, since we dumped the declaration what alternative did we have to replace it..Azimio la Zanzibar. Which in fact killed all core principles of la Arusha.

The issus here ni vision inayowalenga watanzania walio wengi na kutowasahau wachache, miiko ya uongozi inayowafanya wafanye kazi kwa ajili ya Tanzania na watanzania. Kwa sasa hilo halipo, kwa sasa viongozi wanaangalia ni vipi chama kitakaa madarakani na waweze kulinda personal economic interests, no body cares about Tanzania na watanzania. Azimio la Zanzibar liliwafanya wawe hivyo.

Sasa hivi ukiona mtu ni waziri usije dhani kuwa anafanya kazi kwa ajili ya wananchi au kwa ajili ya Tanzania.

So, Azimio la Arusha i am talking is amended one not corrupted one like la Zanzibar. We need Azimio la Arisha in the form that can suit the current environment. I admit that mambo mengi yamebadilika, lakini inaonekana kuwa we are astray because the alternative which CCM brough us, AZIMIO LA ZANZIBAR limehalalisha nchi kuendeshwa kama gari isiyo na usukani, viongozi kuwa wezi, matapeli na wasiojali nchi na wananchi, wanawakumbuka pale wanapotaka kuwatumia tu wakati wa uchaguzi.
 
- Mkuu waliolitupa Azimo, walifanya hivyo kwa sababu hawakuona likiwanufaisha wengi ndio wakaamua kuweka njia itakayowanufaisha wengi nayo ni Ubepari tulionao sasa. Sio kazi ya Serikali kuona kila mwananchi anakuwa sawa na mwingine kimaisha hapana kazi ya Serikali ni kutoa nafasi sawa kwa wote tu na kusimamia sheria.

- Wakati linavunjwa Azimo, lilikuwa na miaka karibu 25, sasa na Ubepari upewe nafasi kwanza kabla ya hukumu, tuliwapa nafasi na Azimo, limetuletea maafa ya ajabu sana, sasa na Ubepari uachiwe kwanza ndio tutoe hukumu!

William.
 
Bongolander,

I have said many times in this thread that we as a country didn’t dump Azimio la Arusha. As matter of fact it left us unceremoniously. This is because the nascent of multi-party system in 1992 made all political documents such as Azimio la Arusha, Azimio la Zanzibar, Kizota Program, and others which weren’t formalized into laws irrelevant.

As it stands Azimio la Arusha is an intellectual property of the ruling party CCM. The members of this party and their sympathizers can discuss about it. If they want to go back to their roots, I don’t have problem with that. If they want to use Koran, Bible, or the charters of sports clubs such Simba and Yanga, I don’t have problem with that either. However, they shouldn’t try to impose their will upon others. That’s illegal and inhuman.

If you don’t understand that, let me put this way. Conceptually, the relevance of Azimio la Arusha might exist in your mind. But the document isn’t legally binding. It isn’t a contract between the Tanzanian government and its people. It’s also important to note that our country is a republic with two important guidelines, the constitution and the legal system. Unfortunately, Azimio la Arusha isn’t one or part of them. So please stop using it as the baseline to run the country even if there are some good things in it.

And one more thing, those CHADEMA members who try to tell me how good Azimio la Arusha is, you are glory hunters and philosophically bankrupt. CHADEMA has its own political philosophy and it should formulate its own declarations if needed. Besides, you are members of a center right political party and you should behave like one.
 
- Mkuu waliolitupa Azimo, walifanya hivyo kwa sababu hawakuona likiwanufaisha wengi ndio wakaamua kuweka njia itakayowanufaisha wengi nayo ni Ubepari tulionao sasa. Sio kazi ya Serikali kuona kila mwananchi anakuwa sawa na mwingine kimaisha hapana kazi ya Serikali ni kutoa nafasi sawa kwa wote tu na kusimamia sheria.

- Wakati linavunjwa Azimo, lilikuwa na miaka karibu 25, sasa na Ubepari upewe nafasi kwanza kabla ya hukumu, tuliwapa nafasi na Azimo, limetuletea maafa ya ajabu sana, sasa na Ubepari uachiwe kwanza ndio tutoe hukumu!

William.
Kuna maafa ya ajabu kuliko wizi unaofanywa na viongozi hivi sasa? Kuna maafa ya ajabu kuliko watu kunyang'anywa mashamba yao na kupewa wageni kwa kisingizio cha uwekezaji? Kuna maafa ya ajabu kama nchi inayotajwa kuwa mzalishaji wa tatu wa dhahabu duniani lakini haioni matunda ya dhahabu hiyo mbali tu na watu kutajirika kimjini mjiini wakati hospitali na shule zetu zikiwa hoi bin taabani? At least wakati wa azimio tullikuwa na madawa hospitalini, watu walikuwa na matumaini ya kupata elimu nzuri. Sasa je? Maafa kweli!
 
Jasusi,

Democracy has its own price. But in long run it's much better than command economy, the model of Azimio la Arusha.
 
- Mkuu calm down, afadhali sasa kuna uwajibikaji mawaziri wamekosea wanaambiwa na wabunge na Rais anaaambiwa pia anasikiliza, tizama zile enzi za Azimio, hivi kweli ungeweza kumwambia Rais kwamba Waziri flani hafai akasikiliza? Azimio lilisema Zidumu Fikra za Mwenyekiti tu, hakuna wa kumuuliza ukimuuliza unaitwa Ikulu unachapwa viboko mtumzima, halafu mnasema Azimio lilikuwa bora pleasee!

- Wananchi wamekwua na hayo mashamba enzi za Azimio wameyafanyia nini? Nothing! Sasa wametokea wawekezaji watakao toa ajira na kulipia kodi mashamba, Serikali ifanye nini? Iyaache mashamba yakae kama sanamu mradi tu ni ya wananchi? I mean si ni common sense japo kidogo tu!

- Unsema madawa, I mean sasa hivi madawa ni kwa kuchagua ni hela zako tu, enzi zile hospitali zote zina dawa moja tu inaitwa malariaquin, kama mwili wako uko na allergies na hiyo dawa ujue basi, lakini siku hizi tizama pharmacy kila mahali, infact mpaka dawa za kienyeji zina nafasi pia, I mean wanasema ukipenda chongo basi huwezi kuona tena, lakini mafanikio ya Ubepari yapo kila kona!

William.
 
Jasusi,

Democracy has its own price. But in long run it's much better than command economy, the model of Azimio la Arusha.
Zakumi,
True, democracy has its own price. But what is happening in Tanzania today is not democracy. It is kleptocracy bordering on arnachy.
 
Nadhani watanzania wengi leo hii wanamhitaji Mungu kutunusuru zaidi na tunapokwenda kuliko tulipotoka, je unapingana na hoja hii? Ni muhimu ukaachana na mawazo kwamba maendeleo yetu ni ‘path dependent.' Kuna msemo unasema ‘usione vinaelea, ujue vimeundwa'. Unayo yaona Ulaya na Marekani hayaji kwa kuiga. Na usitazame nchi kama South Korea na wengine pale wanaoitwa ‘tigers' ukadhania na sisi tutafika huko just by embracing hayo unayo sisitiza ‘Ubeparia na Utawala unaofuata Sheria'. Ni muhimu ukatambua kwamba Development is not path dependent and Mwalimu aligundua hilo mapema kabisa. Inaonyesha wewe ni muumini wa soko huria per se na kwa ushabiki zaidi kwani haujadili kabisa mapungufu ya mfumo huu ulioletwa kiholela relative to mfumo unaopingana nao. Kama unadhani mawazo ya azimio la arusha ni mufilisi, mawazo ya soko huria ni mawazo mufilisi zaidi, especially kwa vile ni mawazo ya kuiga. Sidhani kama ni sahihi kuita mawazo ya azimio la arusha kwamba ni mufilisi hasa ukizingatia kwamba Azimio hili lilitambua kwamba gifts and loans ilikuwa ni sumu ya uhuru wetu na vitu vya kudhoofisha na kuingilia juhudi zetu za kuwa taifa linalo lenga kujitegemea. Nini mufilisi katika lengo noble kama hili? Wanaotaka tulirudie azimio la arusha sio kwamba wanataka lirudiwe kama lilivyo bali kwa kufanyiwa marekebisho.
...Mchambuzi, mkiongezeka watu kama wewe humu, inatia hamasa sana kuchangia mada au hoja, maana wakati mwingine mambo huchukuliwa juu juu tu.

...Moja ya mfano mwingine mzuri hapa ni suala la demokrasia ya magharibi. Nchi kadhaa, katika mabara tofauti tofauti zimeshinikizwa kufuata na wakati mwingine kwa nguvu kubwa, bila kujali mazingira na tamaduni za jamii na nchi zile. Matokeo, ni Hamas, Hizbu'llah na Muslim Brotherhood kushinda -ikiwa ni kinyume na malengo ya washinikizaji- na kuwafadhaisha wanaowapinga na hata kupelekea kutishia -the case in point being Egypt- uwepo wa demokrasia yenyewe.

...Hali kadhalika, katika nchi za Afrika, shinikizo hili limepelekea kuwapo na half cooked measures -kama katiba yenye kutambua mfumo wa vyama vingi, ilihali inalinda chama kimoja- zinazochangia kutumika kwa vyombo na resources za umma kisiasa na kwa faida ya wachache.

...Kimsingi, sioni taabu yeyote katika kulitafakari, kulisahihisha na kulirudisha azimio la arusha, kama dira ya kuliongoza taifa hili, kufikia kule tunakotaka kwenda.
 
Where did this guy get his Phd? The population of Tanzania is skyrocketing and the use of land can't be used as equalizer of wealth distribution.
...Seconded.

...Wangapi leo hii wana uwezo wa kuendeleza hiyo ardhi, ili iwapatie maisha ya maana. Tunaona watu wanalia njaa kila siku -ukame ukitokea, kwa kuwa wanategemea mvua- na kusaidiwa chakula, wakati wana ardhi kubwa tu.

...Kwa idadi hii ya watu na hali halisi ya kilimo chetu, viwanda vinavyoongeza thamani ya mazao na vile vya kuzalisha bidhaa nyinginezo ndio tegemeo la kufanya hiyo "wealth distribution" kupitia ajira.
 
Where did this guy get his Phd? The population of Tanzania is skyrocketing and the use of land can't be used as equalizer of wealth distibution.

Mkuu tatizo sio PhD yake, tatizo ni individual interest overriding our morals hapa Tanzania... greedy is eating us alive

Professor Yunus wa Bangladesh, a Nobel Laureate ana kitabu kizuri sana kichaoongelea our greed, (a man eating a man kwa tamaa fupifupi)

He established grameen and once politicians got a hand, wakaanza kuleta yaleyale ya Tanzania.... although his dream was good and real, today grameen is benefitting politicians and greed businessmen more... AND WE CANT BLAME HIS MODEL BUT A FEW IMPLEMENTERS

I do still believe tatizo si azimio la arusha, bali tatizo ni choyo ya kitanzania

Jasusi talked of anarchy... Yes!!! and to be honest, anarchy is an identical twin wa greed people!!!

we are in for a long circus show where we are the jockeys adn the mickeys
 
Mkuu Mkandara, I think this is the best I have seen from you! Gia aliyoingia nayo Waberoya ilinifanya kwa siku mbli niwe na usingizi mgumu. Lakini sasa nina weekend njema! Hoja ya kutokuwa na Mtizamo Murua na ulionyoka kwenye swala zima la SHERIA YA NCHI! MIIKO YA UONGOZI! MAADILI na KATIBA YA NCHI ...Imekuwa ndio FUNDO halisi la Mjadala huu na kwingineko na ni wachache wenye jeuri ya kuukabili!

Ngoja na Mimi nitengeneze hitimisho kwa ajili ya Fainali!!!! Maana wakati umefika lazima hili jambo lieleweke!!

wewe!

yaani post yangu ilikunyima usingizi??

Tunajadili tu hapa mkuu, wala hakuna haja ya kuwa na pressure za kuleta kuukosa usingizi

we are all learning, personally huwa ukinizidi na kwa hoja sina hiyana ya kuwa upande wako...ndivyo nilivyo

Ila kwa AA mpaka sasa sijaona hoja ya kusema nilikubali!!! halikutakiwa kuwepo na walioliua ndio wale walioliimbausiku na mchana!!! what a joke1
 
Zakumi,
True, democracy has its own price. But what is happening in Tanzania today is not democracy. It is kleptocracy bordering on arnachy.

Mkuu kuanzia huko kwenye AA mpaka leo hii hakuna true democracy......
 
Mkuu tatizo sio PhD yake, tatizo ni individual interest overriding our morals hapa Tanzania... greedy is eating us alive

Professor Yunus wa Bangladesh, a Nobel Laureate ana kitabu kizuri sana kichaoongelea our greed, (a man eating a man kwa tamaa fupifupi)

He established grameen and once politicians got a hand, wakaanza kuleta yaleyale ya Tanzania.... although his dream was good and real, today grameen is benefitting politicians and greed businessmen more... AND WE CANT BLAME HIS MODEL BUT A FEW IMPLEMENTERS

I do still believe tatizo si azimio la arusha, bali tatizo ni choyo ya kitanzania

Jasusi talked of anarchy... Yes!!! and to be honest, anarchy is an identical twin wa greed people!!!

we are in for a long circus show where we are the jockeys adn the mickeys

Thats nature buddy!!

we are all selfish in nature...

Leaders should be governed by rules and laws.....not preaching and beliefs as AA!!

Ndio leo watu wanalia mwinyi, mkapa na kikwete kufanya biashara ikulu!! hawa wanatakiwa kubanwa na sheria na kuchukuliwa hatua!!

Nyerere alivyojiona yeye ni muadilifu akafikiri wote wako kama yeye au wawe kama yeye...is impossible and

that was his failure
 
wewe!

yaani post yangu ilikunyima usingizi??

Tunajadili tu hapa mkuu, wala hakuna haja ya kuwa na pressure za kuleta kuukosa usingizi

we are all learning, personally huwa ukinizidi na kwa hoja sina hiyana ya kuwa upande wako...ndivyo nilivyo

Ila kwa AA mpaka sasa sijaona hoja ya kusema nilikubali!!! halikutakiwa kuwepo na walioliua ndio wale walioliimbausiku na mchana!!! what a joke1

Waberoya, Ninahakika ungekuwa na mtizamo murua zaidi kuliko huu, kwani hoja yako ya kuhusianisha Katiba, sheria za nchi, Maadili na Miiko sio ya kuupuuziwa hata kidogo!

Thats nature buddy!!

we are all selfish in nature...

Leaders should be governed by rules and laws.....not preaching and beliefs as AA!!

Ndio leo watu wanalia mwinyi, mkapa na kikwete kufanya biashara ikulu!! hawa wanatakiwa kubanwa na sheria na kuchukuliwa hatua!!

Nyerere alivyojiona yeye ni muadilifu akafikiri wote wako kama yeye au wawe kama yeye...is impossible and

that was his failure

Mkuu back to Swala la Sheria dhidi ya Azimio tukufu La Arusha! Waberoya nina Imani una jambo la muhimu sana la kuchangia, kushauri na kuhakikisha kuwa Azimo Lile linatangazwa Likiwa na Sura Mpya lakini Misingi ilele. Nikiwa na Maana kuwa hata Magari na mavazi ya Miaka ya 1967 Leo hii vimebadilika kimtizamo ili kukidhi mabadiliko ya mazingira yetu, lakini nahoji kubadilika kwa mitindo ya mavazi na magari mabadiliko hayo yamebadili MSINGI wa GARI kuitwa GARI na MAVAZI kuitwa MAVAZI katika kukidhi mahitaji ya msingi kwenye kufanikisha shughuli zetu za kijamii za miaka hii? Ukweli ni kuwa Hatuwzi kufanya shughuli zetu bila gari na mavazi lakini model zake zinabadilka kulingana na mabadiliko ya mazingira na ni vema kuzingatia jambo hili bila kubabaishana!

Hoja zako dhahiri kabisa zinaashiria kuwa unaona jambo la msingi kabisa ili kulipa sura stahili azimio lile la 1967 na kuwa la mika hii bila kuibadili misingi yake, kwa unaafiki kuwa gari ni gari mika yote lakini kwenye mika yote gari zinabadilika kulingana na mabadiliko. Lakini mara zote limejitokeza tatizo amabalo nafikiri ni kwa makusudi unahakikisha kuchanganya mambo ili kufanya hitimisho la hoja zako!

Mkuu leo hii ukitoa mapendekezo yako kama ulivyotoa kwenye "Uzi" huui, Kuwa Sheria ile ile iliyokuwa inakidhi haja ya miiko na maadili ikawa seheumu ya katiba na hatima ye sheria, maadili na miiko amabyo umemtuhumu viogozi wa enzi hizo kuwa wangeweza kafanya hivyo, lakini leo Waberoya kafanya walichoshindwa, huoni kuwa Ungeweza kulitangaza Azimio Katika hali ya Upya na kuokoa Taifa kwenye Janga la kutukuwa na Chombo Muhimu "AZIMIO"? Hii haitofautiani na gari uliyotumia Ukiwa mdogo miaka hiyo ya 1967 ambayo leo haipo lakini kuna aina nyingine ya gari unayoitumia ... Hivi ni kweli leo tunapotumia gari yenye kukidhi thamani ya Gari lakini yenye muonekano tofauti naya miaka ya sitini tujichukulie kuwa NI KOSA au "We ware deadly wrong" Kutumia gari ile ya model ya miaka ya sitini? Huku kila mtu akiona waziwazi kuwa Msingi wa hitaji la Gari uko palepale, lakini Muonekano umebadika kulingana na Mabadiliko katika mazingira yetu!

Mkuu ni naamni kabisa kwa mtizamo wako wa jinsi ulivyochambua Sheria na Maadili/Miiko dhidi ya Azimio La Arusha Wewe ni Mmoja wa watu wa kwanza kabisa Kulipa Sura Ya Kisasa Azimio Lile na Kama chombo Kikatumika wakati huu.

Si Haki kukataa Gari za Sasa zisitumike simply kwa sababu gari za miaka ya 1967 zilikuwa na mapungufu ambayo za sasa hazina! Mkuu Waberoya nina hakika kabisa kabisa unanielewa kwani "rules and laws are now in place" na ninachosubiri toka kwako Mkuu Tangaza kurejea kwa Azimio la Arusha katika hali mpya ya kisasa, liendane na Mavazi, magari na mazingira yote ya sasa!

Mkuu au kuna kasoro gani nyingine tuirekebishe? Au Hata isiyorekebishika? ... Karibu!!
 
Bongolander,

I have said many times in this thread that we as a country didn't dump Azimio la Arusha. As matter of fact it left us unceremoniously. This is because the nascent of multi-party system in 1992 made all political documents such as Azimio la Arusha, Azimio la Zanzibar, Kizota Program, and others which weren't formalized into laws irrelevant.

As it stands Azimio la Arusha is an intellectual property of the ruling party CCM. The members of this party and their sympathizers can discuss about it. If they want to go back to their roots, I don't have problem with that. If they want to use Koran, Bible, or the charters of sports clubs such Simba and Yanga, I don't have problem with that either. However, they shouldn't try to impose their will upon others. That's illegal and inhuman.

If you don't understand that, let me put this way. Conceptually, the relevance of Azimio la Arusha might exist in your mind. But the document isn't legally binding. It isn't a contract between the Tanzanian government and its people. It's also important to note that our country is a republic with two important guidelines, the constitution and the legal system. Unfortunately, Azimio la Arusha isn't one or part of them. So please stop using it as the baseline to run the country even if there are some good things in it.

And one more thing, those CHADEMA members who try to tell me how good Azimio la Arusha is, you are glory hunters and philosophically bankrupt. CHADEMA has its own political philosophy and it should formulate its own declarations if needed. Besides, you are members of a center right political party and you should behave like one.
Zakumi, nadhani naandika mambo mengi ndio maana tunashindwa kufuatiliana. Sasa nakuuliza hivi:-

1. Azimo la Zanzibar halikufa ndio msingi wa Uongozi wa nchi yetu (katiba na sheria) na ndio maana viongozi wanafanya biashara hadi Ikulu au kujirithisha mali za umma. Ni ruksa, sheria haikatazi hata kama kuna conflict of interest hivyo wanafuata katiba na sheria mnayosisitiza ifuatwe.

1. Umesema nchi yetu ni Republic na inaongozwa na vitu viwili katiba na Sheria. Kama ndivyo kwa nini mnataka kuandika Katiba Mpya?. Kuna kitu gani kinatusukuma kuona katiba hii haitufai.

3. Umezungumzia pia swala la Kilimo kutokuwa uti wa mgongo, ati kwa sababu population inazidi. Mbona rwanda ambao wana ardhi ndogo zaidi wameweza kufanya vizuri kutokana na kilimo. Wamekitumia Kilimo kuwatoa iweje sisi tufikirie populationa kwanza kutafuta technogia of the unknown. Tazama Vietnam mbona watoka kwa kilimo vile vile.

Nijuavyo mimi mtu unakuwa na malengo iwe kilimo halafu ndio unatumia technologia kutafuita ubora wa kilimo au kupambana na madhara yanayokikabiri sio kutafuta urahisi wa vitu usivyoweza kuvibadilisha kama Utalii na madini ambavyo mwananci wa kawaida hafaidiki navyo. Na pia unaweza kuzalisha kazi kwa kuelewa wananchi wako wengi ni wafanyakazi hivyo mbinu za kukuza ajira zinawekewa kipaumbele sio kinyume..

4.Nitamalizia kusema hivi nchi yetu ni ya WAKULIMA na WAFANYAKAZI - Ukiondoa mawazo haya kamwe hatutafika mahala popote iwe kupunguza umaskini ama kutafuita maendeleo..Leo hii kwa sababu hatuamini kwamba nchi yetu ni ya Wafanyakazi lakini ajabu tunajiuliza kuhusu AJIRA, kila mbunge kila mtu analia na ajira..Sasa unataka kuzalisha ajira vipi ilihali huamini kama nchi hii ni ya wafanyakazi ila ni ya Machinga (uchuuzi) kama William anavyosifia wawekezaji kuja nchini kuwekeza..
 
Back
Top Bottom