Adolph Jr
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 5,950
- 9,511
Kwa mtazamo wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mtazamo wako
Kondoo wameungana kumuondoka chui kwenye kundi lao ...😂😂😂😂Pole,
Nchi zipatazo 14 zimeungana ili kuiondoa Israel kujiunga katika muungano wa Africa(A.U)
Nchi zilizokubali uamuzi wa kuiondoa Israel kwenye muungano huo ni; South Africa, Tunisia, Eritrea, Senegal, Tanzania, Niger, Archipelago ya Qamar, Gabon, Nigeria, Zimbabwe, Liberia pamoja na Seychelles.
Wachache sn wana akili km weweWanajifanya kuichukia Marekani ila kila siku yamejazana ubalozini kuomba Visa
Huyu dingi hua nikiangalia anavoongea UN ni kama ana hasira za karibu sana. Always hua anaongea kama kifua kimejaa kwa hasira, sijui Israel walitumia vigezo gani kumuweka pale kuwa mwanadiplomasia. Bwana Gilad Erdan atakuwa mwepesi sana kurusha ngumi ukimbana na hoja.Baada ya azimio hilo kupata uungwaji mkono mkubwa kiasi hicho ,balozi wa Israel katika umoja wa mataifa alifoka na kuushutumu umoja wa mataifa kuwa umekubali kuruhusu taifa la kigaidi kujiunga na umoja huo.
Mipaka ya linalopaswa kuwa taifa la Palestina iliwekwa lini na Hamas imeanzishwa lini?Nahakika bila ya hamas pengine Taifa la Palestine lingekuwa limekwisha undwa tayari
Iliwekwa 1947 kama sijakoseaMipaka ya linalopaswa kuwa taifa la Palestina iliwekwa lini na Hamas imeanzishwa lini?
Nenda rudia kusoma tena mwaka 1947 kulikuwa na vita?Ilikuwa vita kati ya mataifa gani?Waliopora ardhi ni taifa gani?Wacha kusikiliza porojo za kwenye vigenge.Soma historia bila kuonyesha maslahi utapata ukweli.Iliwekwa 1947 kama sijakosea
Palestine wakagoma wakataka aridhi yote iwe yao kwa kuungana na nchi za kiarabu na kuanzisha vita wakashindwa...... hapa ndipo sekeseke la kuporwa aridhi lilipoanzia
Baada ya hapo yakaanza majadiliano marefu chini ya chama cha Fatah
Balaa lilikuja baada ya Hamas kuwashinda Fatah pale Gaza kwenye uchaguzi wa 2006
Hamas hawataki mazungumzo badala yake wakaanza ugaidi dhidi ya Israel
Hii ikapelekea Israel kuzidi kuwabana na kuendelea kukalia maeneo yao ili kiwabana sehemu moja
Tofauti na Fatah ambao angalau walikua wanataka mapatano kwa mazungumzo... hamas wao ni wanataka waisrael waondoke na wao watawale israel yoote
Ingekua ni vyema kama ungesoma kwanza bandiko nililoli quote ili kujua nilikua najibu nini mkuuNenda rudia kusoma tena mwaka 1947 kulikuwa na vita?Ilikuwa vita kati ya mataifa gani?Waliopora ardhi ni taifa gani?Wacha kusikiliza porojo za kwenye vigenge.Soma historia bila kuonyesha maslahi utapata ukweli.
Majibu yako yana makosa ya wazi. Rudia kusoma hiyo historia ili uweze kuwa katika wakati mzuri wa kujibu bila kuongezea mawazo yako .Ingekua ni vyema kama ungesoma kwanza bandiko nililoli quote ili kujua nilikua najibu nini mkuu
Mkuu historia yako ni ya kuunga unga na inaegemea upande unao upenda. Ila sio kesi nachotaka kujua ni vipi West Bank waliko Fatah kwanini nako bado panakaliwa kibabe kwa kujengwa settlements za wayahudi pamoja na kwamba Fatah sio magaidi na wanatumia njia za kidplomasia kudai ardhi yao? Ni njia ipi sahihi kwa Palestinians kudai ardhi yao ikiwa sio Gaza kwa Hamas wanaotumia nguvu kudai ardhi yao wala West Bank kwa Fatah wanaotumia diplomasia ambao wamepata ardhi yao kwa mujibu wa mipaka ya 1947Iliwekwa 1947 kama sijakosea
Palestine wakagoma wakataka aridhi yote iwe yao kwa kuungana na nchi za kiarabu na kuanzisha vita wakashindwa...... hapa ndipo sekeseke la kuporwa aridhi lilipoanzia
Baada ya hapo yakaanza majadiliano marefu chini ya chama cha Fatah
Balaa lilikuja baada ya Hamas kuwashinda Fatah pale Gaza kwenye uchaguzi wa 2006
Hamas hawataki mazungumzo badala yake wakaanza ugaidi dhidi ya Israel
Hii ikapelekea Israel kuzidi kuwabana na kuendelea kukalia maeneo yao ili kiwabana sehemu moja
Tofauti na Fatah ambao angalau walikua wanataka mapatano kwa mazungumzo... hamas wao ni wanataka waisrael waondoke na wao watawale israel yoote
Mkuu mimi binafsi naamini Palestine wana madai ya msingiMkuu historia yako ni ya kuunga unga na inaegemea upande unao upenda. Ila sio kesi nachotaka kujua ni vipi West Bank waliko Fatah kwanini nako bado panakaliwa kibabe kwa kujengwa settlements za wayahudi pamoja na kwamba Fatah sio magaidi na wanatumia njia za kidplomasia kudai ardhi yao? Ni njia ipi sahihi kwa Palestinians kudai ardhi yao ikiwa sio Gaza kwa Hamas wanaotumia nguvu kudai ardhi yao wala West Bank kwa Fatah wanaotumia diplomasia ambao wamepata ardhi yao kwa mujibu wa mipaka ya 1947