Aziniye na mwanamke hujiangamiza mwenyewe

Mke ambaye ameandaliwa na Mungu kwa ajili ya mwanaume. Mnajifanya wa muhimu sana kwenye maisha ya wanaume. Kama nyie wanawake mko na hizo baraka si mfanikiwe wenyewe basi bila kutegemea wanaume
 
P didy anaweza kuwa na matatizo yake mengine, yaliyomsababisha kufanya jinai.
Umekosea sana kuingiza life style ya bilionea p diddy kwa huu uzi, pesa anazo kwa nini asiwe huru?

Unadhani hiyo mikundu aliyopita nayo ni ufahari kwake? Keshaanguka huyo na ubilionea wake, angetulia na mkewe angekuwa huru sasa..

Yupo wapi na Robert Kelly?
 
Umeona uje umkanye huku jf?
 

kweli kabisa Uzinzi ni uzinzi tuu,hakuna exception yoyote.ukizini tuuu umeshapoteza,ukitoka nje ya ndoa umeshapoteza.haijalishi qina ya mwanake.tendo hilo hufuta kila kitu.lazima mwisho wako unakuwa wa hovyo tuuu.Oa mke sahihi na tulia na mkeo
 
Acha kututisha hata wewe ukijichanganya tunazama mnatakiwa muwe wanne nyinyi mnapokezana
 
Ni propaganda tu ndugu yangu.
 
Ungekuwa ME ningekuuliza umeshawala wangap? ila enewei tuendelee kujifukiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…