Aziniye na mwanamke hujiangamiza mwenyewe

Aziniye na mwanamke hujiangamiza mwenyewe

Hivi ni kwanini mnaandikaga ujinga huu?

Dini ndio zinafundisha huu upuuzi?

Kwa mwanamke utajiangamiza kwa factor zifuatazo,

1)Utaanza kuhudumia kwa kutoa pesa hivyo kufilisika.
2)Utakuwa bize na mahusiano na hivyo kupoteza muda mwingi wa kufocus na kufanya kazi.
3)Unaweza kuambukizwa magonjwa, kumaliza pesa kujitibia, au ukapata magonjwa yasiyotibika na hivyo kufa mapema.

Enyi waafrika wenzangu kizazi cha nyoka, hivi ni nani aliewaroga?

Kwa nini mnaamini vitu vya kipuuzi namna hiyo?
Thanks my brother.. kuna muda najiuliza hivi hawa wakoloni/missionary ndo wametukamata kiasi hiki .. na jamaa amendika yuko serious kabisa dah..
 
Thanks my brother.. kuna muda najiuliza hivi hawa wakoloni/missionary ndo wametukamata kiasi hiki .. na jamaa amendika yuko serious kabisa dah..
Vitu vinavyosababisha tuwe watu wa hovyo kabisa ni kuamini vitu visivyokuwepo.

Unakuta watu wanaamini majini, chuma ulete, mapopobawa, mizimu, mashetani, roho mtakatifu, uchawi na miujiza.

Unakuta ni asilimia 90 ya waafrika wanaamini kabisa hivi vitu.

Ukiwaambia kwamba havipo, wewe ndio wanakushangaa sana.

Unaitwa ujinga wa halaiki.
 
Back
Top Bottom