Aziniye na mwanamke hujiangamiza mwenyewe

Thanks my brother.. kuna muda najiuliza hivi hawa wakoloni/missionary ndo wametukamata kiasi hiki .. na jamaa amendika yuko serious kabisa dah..
 
Thanks my brother.. kuna muda najiuliza hivi hawa wakoloni/missionary ndo wametukamata kiasi hiki .. na jamaa amendika yuko serious kabisa dah..
Vitu vinavyosababisha tuwe watu wa hovyo kabisa ni kuamini vitu visivyokuwepo.

Unakuta watu wanaamini majini, chuma ulete, mapopobawa, mizimu, mashetani, roho mtakatifu, uchawi na miujiza.

Unakuta ni asilimia 90 ya waafrika wanaamini kabisa hivi vitu.

Ukiwaambia kwamba havipo, wewe ndio wanakushangaa sana.

Unaitwa ujinga wa halaiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…