Gagnija:Shukrani ya punda ni mateke. FaizaFoxy kasoma nje ya nchi toka shule ya msingi hadi chuo, yote kwa fadhila alizotendewa baba yake na Mwalimu Nyerere, lakini tazama anavyomkejeli Mwalimu humu!
Mbona hakuna sehemu alipo sema aziz Ali alipigania UhuruHuyo mzee atawadanganya nyie wavivu Wa kusoma na kufanya utafiti.. Cha ajabu hata maneno ya Nyerere anayapinga, wasio husika anaweweka kwenye historia yake.. Wapigania Uhuru wapo kihistoria hadi Uingereza wana tambua kuna hadi wazungu wahindi walisaidia Uhuru hawataji hapa anazumgumzia Aziz Ali ambae hamna kitu Kazi zake za misikiti... Asidamganye watu kitu kuna wajuu zake Aziz tunawafahamu pia.
Gpeg7g0cg34d2eewewd2eeew23rr8gggIli kuleta ushindani tupien hizo zilizobalance tusome jaman, tatizo liko wapi kwan jamni, unajua hapa mleta thread anaizungumzia dar kwa asilimia kubwa, na hiii ikumbukwe ni miji ambayo asilimia kubwa ni waislam.
Basi tutoe aziz ally tuandike Peter ili tubalance, kingine humu wanaobisha zaid ni wale wa mikoani
Ndugu Mohamed Said:Gagnija,
Nimekuta katika maktaba yangu nyumba ya Kleist Sykes aliyojenga
1942 na nyumba hii ikajakuwa kitovu cha harakati za kupinga ukoloni
katika miaka ya 1950s wakati mwanae Abdul alipokuwa anaishi hapo:
Hiyo hapo juu kulia katika gazeti ndiyo ilikuwa nyumba ya Abdul Sykes aliyoishi
na Nyerere 1954 nyumba hii ilikuwa Mtaa wa Stanley na Sikukuu.
Mkuu ungejua ajenda zake ungeelewa... Huyo ni mmoja Wa watu anaotaka kuwaweka katika history ya Uhuru yaani anaanzia kwenye kizazi cha kwanza hadi cha mwisho.Mbona hakuna sehemu alipo sema aziz Ali alipigania Uhuru
Elimu aliyotoa Nyerere haikuwa na msisimko wowote wa kiakili, Kweli?! Mohamed Said ni product ya elimu hiyohiyo, itakuwa matusi kwake kufikiri alitoka pale Mlimani bila uhuru wa mawazo. Sikuwahi kufikiri kuwa haya yangeandikwa na mtu kama wewe.Gagnija:
Kwa hiyo Nyerere aliyesoma kwa fadhila za mkoloni alitakiwa asiwadharau wazungu.
Elimu aliyotoa Nyerere haikuwa na msisimko wowote wa kiakili. Tulifundishwa hili tuamini na sio kuwa na uhuru wa mawazo.
Anyway tuendelee na mjadala
Duduwasha,Mkuu ungejua ajenda zake ungeelewa... Huyo ni mmoja Wa watu anaotaka kuwaweka katika history ya Uhuru yaani anaanzia kwenye kizazi cha kwanza hadi cha mwisho.
Nyerere hakutoa elimu. Serikali ya Tanzania ilitoa elimu. Nyerere alikuwa mfanyakazi na alichofanya ilikuwa ni job description yake kama rais.Elimu aliyotoa Nyerere haikuwa na msisimko wowote wa kiakili, Kweli?! Mohamed Said ni product ya elimu hiyohiyo, itakuwa matusi kwake kufikiri alitoka pale Mlimani bila uhuru wa mawazo. Sikuwahi kufikiri kuwa haya yangeandikwa na mtu kama wewe.
Fadhila niliyojaribu kueleza kwa baba yake Faiza ni sawa na ile aliyopewa Wasira miaka ya mwanzo ya 80 kwenda kufanya kazi ubalozini DC ili kumpa fursa ya kujiendeleza kielimu. Wasira hakuwa na sifa ya kujiunga na vyuo vya hapa nchini japo alikuwa na kiu ya kujiendeleza kielimu, lakini kwa mfumo wa elimu US, aliweza kusoma na kurudi na Masters Degree. Hapo inahusiana vipi na Nyerere kusomeshwa na wazungu!
Mzindakaya akiwa RC Morogoro aligombana na uongozi wa Mzumbe baada ya kukataliwa kusoma chuoni pale kwa kuwa hakuwa na sifa, bila shaka naye angapata fursa kama ya kina Wasira angetimiza ndoto yake. Pengine utakuwa umenipata nilimaanisha nini.
Zakumi,Nyerere hakutoa elimu. Serikali ya Tanzania ilitoa elimu. Nyerere alikuwa mfanyakazi na alichofanya ilikuwa ni job description yake kama rais.
Nyerere alikwenda kusoma wakati wa mkoloni. Kwa mfano uliotoa, basi tuseme Nyerere kasoma kwa fadhila za Gavana.
Kilichompeleka Wassira au babake Faiza ubalozi ni job description na wasifu wa kazi. Hiyo sio fadhila.
Anyway sitaki kutibua mjadala uliokuwepo. Hila kwa kifupi Nyerere hakujenga mfumo mzuri wa elimu. Unaweza kukubali au kukataa.
Mkuu Mzee Mohamed Said, nakushuru sana kwa link hizi, na Darsa zako ambazo ni nadra kujulikana na Historians wengi kuhusu Tanganyika na wazee wetu mbalimbali waliotangulia ambao wameshiriki mapambano ya ukomboz kuifanya Tanganyika Huru na hatimae baadae Tanzania hii. Kiukweli Eneo la kuanzia shule ya Uhuru ilipo leo hadi Kariakoo yote, Upanga na Kisutu tunayoyaona leo yalikua na mitaa na nyumba ambazo kama tungeweza tungeyaacha kwa ajili ya Kumbukumbu, lakini ndo hivyo, mengi yameshavunjwa.Lipyoto,
Sina zaidi ya ambayo yameandikwa katika vitabu.
Lakini unaweza kuingia hapa:
Mohamed Said: DR. RAWYA SAUD AL BUSAID WAZIRI WA ELIMU WA OMAN KITUKUU CHA TIP TIP
Mohamed Said: WAZEE WA DK. RAWYA SAUD AL BUSAID WAZIRI WA ILIMU YA JUU WA OMAN KATIKA HISTORIA YA ZANZIBAR NA OMAN
Lipyoto,Mkuu Mzee Mohamed Said, nakushuru sana kwa link hizi, na Darsa zako ambazo ni nadra kujulikana na Historians wengi kuhusu Tanganyika na wazee wetu mbalimbali waliotangulia ambao wameshiriki mapambano ya ukomboz kuifanya Tanganyika Huru na hatimae baadae Tanzania hii. Kiukweli Eneo la kuanzia shule ya Uhuru ilipo leo hadi Kariakoo yote, Upanga na Kisutu tunayoyaona leo yalikua na mitaa na nyumba ambazo kama tungeweza tungeyaacha kwa ajili ya Kumbukumbu, lakini ndo hivyo, mengi yameshavunjwa.
Al Sady...nashukuru sana mzee mohammad said ...nipo nyuma yako kuweza kusoma kazii zako hizi vizuri ...leo naomba niulizee kuhusu mapinduzii ya kumpindua nyerere .maana nilisoma pinduzi moja ambalo aliliandaa BIBI TITI MOHAMMAD so lakini yapo mapinduzi yaliyofail kama sita hivii ..lakini sijapata kuyafahamu sawa sawa .a hata waliofanya plani hizo hawapo katika vitabu vyako mfano COMMANDO TAMIMU ...nk vip hayaaa mapinduzii ..
Wanamajlis,Al Sady...
Sina historia ya Bibi Titi katika ile kesi ya uhaini zaidi ya hayo ambayo
sote tumeyasoma.
Halikadhalika na ile kesi ya akina Tamimu na wenzake.
mzee wa porojo at workWanamajlis,
Hebu jibuni swali langu kwanza.
Duduwasha nimemuuliza kama angependa nieleze nini kilitokea baada
ya Abdul Sykes kufutwa katika historia ya TANU.
Duduwasha yuko kimya.
Nyie mnasemaje?
Mtanganyika...mzee wa porojo at work
Naomba nikurejeshe nyuma kidogo. Sikujua kama Sheikh Kassim alikufa akiwa na umri mdogo hivyo (54). Kwa faida ya wanajamvi, na pia kuitendea haki historia, waweza kutujuza nini chanzo cha kifo chake?!Unataka mjadala na tujadili katika njia za kistaarabu.
- PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES
- Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21st Century 1st - 3rd August 2006, Kenyatta University, Nairobi.
La ikiwa historia hii inakuumiza hakuna anaekulazimisha kusoma.
Usije hapa kwa nia ya kutukana.
Huo si uungwana.
Kama ulivyoniiita mzee kwa hakika umri umekwenda basi nipe
heshima yangu ya uzee.