Aziz Ali wa Gerezani na Mtoni Dar es Salaam

Shukrani mkuu.
 
Pia mzee wetu tuambie majina yafuatayo yametoka wapi?
1. Kibasila
2. Mwaisela
3. Sewa Haji
Nahisi sio bure kuwa pale Muhimbili.
 
Imefikia hatua Waafrika tunafurahia mtu mwingine anapodidimia kimaisha huku tukiuliza "huyu nae ni wa kwetu?"
(Hautaweza kufanikisha kile inachokifanya hapo)!!.
 
Mzee Muhammad Said aje atupe jibu, nani alitoa nyumba ilipozaliwa TANU(Sasa Lumumba)
Lipyoto,
Nyuma ilipozaliwa TANU ikijengwa kwa kujitolea kati ya mwaka
wa 1929 - 1933 wakati wauongozi wa Kleist Sykes.

Abdul Sykes anasema kuwa anakumbuka kwenda pale na baba
yake kila Jumapili kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ile.





Ingia hapo kuangali picha ya ufunguzi wa ofisi ya African Association 1933
KUTOKA JF: UNAJINASIBISHA NA CCM VIPI UNAWACHUKIA WAASISI WA TANU?
 
Rose...
Unayo historia kinyume ya hivi?
Iweke hapa tuisome ikiwa unayo.
Mohamed Said, historia zako nzuri sana tatizo haziko balanced zimeegemea sana kuonyesha ni waislam tu waliopigania uhuru wa Tanganyika kitu ambacho ni uongo! Angalizo: mimi ni muislamu..jitahidi kua fair kidogo ili hizi historia ziwe zimebalance na sio kuvutia upande mmoja tu. Thanks.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…