Kuna uvaaji wa Jersey wameuleta hawa jamaa haunipendezi kabisa, ni hivi ukifuatilia vizuri uvaaji wao Azizi Ki, Akaminko na Moloko wanakunja kaptula kiasi ambacho mapaja yote huwa nje, kwa upande wa Diara yeye huvaa mlegezo ambapo nguo yake ya ndani huwa nje sasa sijui waamuzi wa mpira wetu hawaoni au wao wanaona ni sawa?
Ninavyojua FIFA wanataka wachezaji kuwa smart kwa mavazi na muonekano kwa ujumla ndio maana ukivua t shirt unapewa kadi ya njano maana ake unataka Maadili mazuri kwenye mpira, sijui hili TFF, bodi ya ligi na chama cha waamuzi Tz hawajaliona hili? Nakaribisha maoni wadau