Aziz Ki, Akaminko, Moloko na Diara waache kutuharibia Ligi yetu

save22

Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
76
Reaction score
198
Kuna uvaaji wa Jersey wameuleta hawa jamaa haunipendezi kabisa, ni hivi ukifuatilia vizuri uvaaji wao Azizi Ki, Akaminko na Moloko wanakunja kaptula kiasi ambacho mapaja yote huwa nje, kwa upande wa Diara yeye huvaa mlegezo ambapo nguo yake ya ndani huwa nje sasa sijui waamuzi wa mpira wetu hawaoni au wao wanaona ni sawa?

Ninavyojua FIFA wanataka wachezaji kuwa smart kwa mavazi na muonekano kwa ujumla ndio maana ukivua t shirt unapewa kadi ya njano maana ake unataka Maadili mazuri kwenye mpira, sijui hili TFF, bodi ya ligi na chama cha waamuzi Tz hawajaliona hili? Nakaribisha maoni wadau
 
1684684084017.png
 
Kuna uvaaji wa Jersey wameuleta hawa jamaa haunipendezi kabisa ni hivi ukifuatilia vizuri uvaaji wao Azizi Ki,Akaminko na Moloko wanakunja kaptula kiasi ambacho mapaja yote huwa nje,kwa upande wa Diara yeye huvaa mlegezo ambapo nguo yake ya ndani huwa nje sasa sijui waamuzi wa mpira wetu hawaoni au wao wanaona ni sawa?Ninavyojua FIFA wanataka wachezaji kuwa smart kwa mavazi na muonekano kwa ujumla ndio maana ukivua t shirt unapewa kadi ya njano maana ake unataka Maadili mazuri kwenye mpira,sijui hili TFF,bodi ya ligi na chama cha waamuzi Tz hawajaliona hili?nakaribisha maoni wadau
Kunaa yule mwamba wa mamelod yeye anachomekea kishenzi.
 
Na hili tukio la Saido kuwania tuzo ya mchezaji bora wa msimu wakati hakuwai hata kuwa mchezaji bora wa mwezi wowote, unalionaje?

Au unaunga mkono harakati za kuwatia moyo SIMBA kufa kiume?
Though assist plus goals ila!!
 
Kuna uvaaji wa Jersey wameuleta hawa jamaa haunipendezi kabisa ni hivi ukifuatilia vizuri uvaaji wao Azizi Ki,Akaminko na Moloko wanakunja kaptula kiasi ambacho mapaja yote huwa nje,kwa upande wa Diara yeye huvaa mlegezo ambapo nguo yake ya ndani huwa nje sasa sijui waamuzi wa mpira wetu hawaoni au wao wanaona ni sawa?Ninavyojua FIFA wanataka wachezaji kuwa smart kwa mavazi na muonekano kwa ujumla ndio maana ukivua t shirt unapewa kadi ya njano maana ake unataka Maadili mazuri kwenye mpira,sijui hili TFF,bodi ya ligi na chama cha waamuzi Tz hawajaliona hili?nakaribisha maoni wadau
Kunya boga
 
Niliona hata yule refa wa Tunisia aliyechezesha mechi yao ya kwanza na Marumo Gallants hakufurahishwa na uvaaji huo wa akina Aziz na alimuonya kwa kumwambia arekebishe bhukta.
 
Fact
 
Back
Top Bottom