Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Kocha wa Yanga Moulid Hamdi anasema kuna hati hati kumtumia Stephane Aziz Ki katika Derby ya kesho kutokana na kuwa na maumivu ya nyonga.
"Hii mimi sio dabi yangu ya kwanza kucheza nilishacheza dabi ambayo ina watu zaidi ya laki moja na ishirini uwanjani, nina mchezaji mmoja pekee ambae hayupo sawa ni Azizi Ki anasumbuliwa na nyonga bado ni asilimia 50/50% kucheza."