Aziz Ki anasumbuliwa na nyonga, kukosekana mechi ya dabi dhidi ya Simba

Aziz Ki anasumbuliwa na nyonga, kukosekana mechi ya dabi dhidi ya Simba

Na derby iliyopita kuna yule beki wenu alijifanya ameumia mguu siku moja kabla. Acheni siasa.
 
Halafu unadhurula na love bites mtaani?🤔
Mtu ananikandamiza shingoni nifanyeje? Anapambana nazo mwenyewe?

Najua ulifikiri ulimi ulitumika kwenye upuuzi wako kama ng'ombe 🤣🤣🤣
 
Kocha wa Yanga Moulid Hamdi anasema kuna hati hati kumtumia Stephane Aziz Ki katika Derby ya kesho kutokana na kuwa na maumivu ya nyonga.

"Hii mimi sio dabi yangu ya kwanza kucheza nilishacheza dabi ambayo ina watu zaidi ya laki moja na ishirini uwanjani, nina mchezaji mmoja pekee ambae hayupo sawa ni Azizi Ki anasumbuliwa na nyonga bado ni asilimia 50/50% kucheza."

Kwenye namba yake Yuko max, chama na pacome wote ni number 10 wazuri tu ivyo sioni pengo lake
 
Ila dogo anafaidi kamobeto kanahamasisha sana kuinua mkonga
 
Washavunja kiuno huyo na hakitengemai.
Ndo basi tena, Ndiku nae alivunjwa kiuno akasingizia goti.
Uturuki wakamtosa na mke kakimbia.
 
Kocha wa Yanga Moulid Hamdi anasema kuna hati hati kumtumia Stephane Aziz Ki katika Derby ya kesho kutokana na kuwa na maumivu ya nyonga.

"Hii mimi sio dabi yangu ya kwanza kucheza nilishacheza dabi ambayo ina watu zaidi ya laki moja na ishirini uwanjani, nina mchezaji mmoja pekee ambae hayupo sawa ni Azizi Ki anasumbuliwa na nyonga bado ni asilimia 50/50% kucheza."

wakulaumiwa ni mobeto kazidisha mauno mpaka kamvubja nyonga
 
Back
Top Bottom