Halafu unadhurula na love bites mtaani?π€Kuna mwenzio anapenda kunyonywa mishipa ya shingo kwa ulimi ππ
Mtu ananikandamiza shingoni nifanyeje? Anapambana nazo mwenyewe?Halafu unadhurula na love bites mtaani?π€
Wanatakikiana sanaaInaonekana Azizi kapiga shows za kibabe kwa Mobetto.
Itakua Mobetto alikua juu wakati wa nipe nikupeInaonekana Azizi kapiga shows za kibabe kwa Mobetto.
π€£π€£π€£Dadaetu kashamtengua tayari.
π€£π€£Ktk ubora wakoItakua Mobetto alikua juu wakati wa nipe nikupe
π€£π€£π€£Itakua Mobetto alikua juu wakati wa nipe nikupe
Kwenye namba yake Yuko max, chama na pacome wote ni number 10 wazuri tu ivyo sioni pengo lakeKocha wa Yanga Moulid Hamdi anasema kuna hati hati kumtumia Stephane Aziz Ki katika Derby ya kesho kutokana na kuwa na maumivu ya nyonga.
"Hii mimi sio dabi yangu ya kwanza kucheza nilishacheza dabi ambayo ina watu zaidi ya laki moja na ishirini uwanjani, nina mchezaji mmoja pekee ambae hayupo sawa ni Azizi Ki anasumbuliwa na nyonga bado ni asilimia 50/50% kucheza."
Basi mobetto yupo vizuriItakua Mobetto alikua juu wakati wa nipe nikupe
wakulaumiwa ni mobeto kazidisha mauno mpaka kamvubja nyongaKocha wa Yanga Moulid Hamdi anasema kuna hati hati kumtumia Stephane Aziz Ki katika Derby ya kesho kutokana na kuwa na maumivu ya nyonga.
"Hii mimi sio dabi yangu ya kwanza kucheza nilishacheza dabi ambayo ina watu zaidi ya laki moja na ishirini uwanjani, nina mchezaji mmoja pekee ambae hayupo sawa ni Azizi Ki anasumbuliwa na nyonga bado ni asilimia 50/50% kucheza."
Kweli aisee maana kwa kile kizazi kuingiza mimba inahitaji juhudi binafsiNdoa changa lazima ajitume kumnenepesha mama