Aziz Ki anasumbuliwa na nyonga, kukosekana mechi ya dabi dhidi ya Simba

Stupid mind games.
Kuamini kila kitu ni mind games ndio penye shida. Aziz alianza kushikilia kiuno mara baada ya mechi ya mwisho aliyotupia goli mbili. Na nafikiri maumivu yalimzidia baada ya pain killers kuisha nguvu. Hata mazoezini jana hakuwepo labda kama ametrain leo na wenzake
 
Tutaona, nimesevu hii comment yako.
 
Kwani Aziz ki ndio nani mbona derby iliyopita alicheza na hakuonekanq alipotea kiujumla
 
Apunguze kupiga papuchi
 
Hizo ni mind game za watani lengo ni kuwapoteza maboya Makolo ila Aziz Ki yupo fiti na kesho atakuwepo uwanjani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…