Aziz Ki atosa Honeymoon na Hamisa Mobetto kisa mechi ya Singida BS. Je, kocha wa Yanga hawaamini wachezaji wengine?

Aziz Ki atosa Honeymoon na Hamisa Mobetto kisa mechi ya Singida BS. Je, kocha wa Yanga hawaamini wachezaji wengine?

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wakuu

Baada ya kuwa busy na shughuli ya ndoa tangu Ijumaa baada ya mechi na KMC, Aziz Ki ameanza kwenye kikosi cha Yanga leo kinachoshuka Dimbani saa kumi jioni dhidi ya Singida Big Stars.

Swali la kujiuliza ni muda gani amepata maandalizi kamilifu? Je, Kocha Miloud Hamdi hawaamini wachezaji wengine?

Soma: VIDEO: Aziz Ki tayari amefunga ndoa, ala kiapo cha kuwa mume wa Hamisa Mobetto
1739794204477.png

1739794700887.png
 
Anatafuta hatrick nyingine ya mapenati ya kutrendishia tukio lake la trh 19...
Mwacheni shemeji bado nguvu zipo..
 
Mbona Azizi ki ameng'aa ghafla?
Kumbe anakuaga handsome hivi na midomo yake ya pink mwenyewe🤔

Hamissa kajua kuchagua🙌
 
Ile programu maalum ya kumfanya awe mfungaji bora wa ligi lazima izingatiwe,, tena kwa game ya leo si ndo fulsa yenyewe sasa,, lazima aondoke na mpira tena na leo,,
 
Mbona Azizi ki ameng'aa ghafla?
Kumbe anakuaga handsome hivi na midomo yake ya pink mwenyewe🤔

Hamissa kajua kuchagua🙌
Wee ni camera na mapoudaa tuu..kwny ndoa zile camera za zamaradi uwii alipaukaaa..mpk nikaona huruma..hivi ule mdomo ni nini kile? Au hauna shida ni rangi tuu...nawazaa
 
Ile programu maalum ya kumfanya awe mfungaji bora wa ligi lazima izingatiwe,, tena kwa game ya leo si ndo fulsa yenyewe sasa,, lazima aondoke na mpira tena na leo,,
Bahati yao walimtimua Uchebe
 
Wee ni camera na mapoudaa tuu..kwny ndoa zile camera za zamaradi uwii alipaukaaa..mpk nikaona huruma..hivi ule mdomo ni nini kile? Au hauna shida ni rangi tuu...nawazaa
Kuna watu wanakuaga na midomo ya pink, hujawahi kukutana nao?
 
Jamani Chamaa na huyu mwalimu kamktaaa yani Chama ni wa kkutoka Benchi kweli...uwiii ufalme wake wa msimbazi vyura wameujambia...
 
Anatafuta hatrick nyingine ya mapenati ya kutrendishia tukio lake la trh 19...
Mwacheni shemeji bado nguvu zipo..
Anashea cream na mkewe, soon hata kitako kitaongezeka kama cha mkewe😀😀
 
Back
Top Bottom