Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
😀 ndoa tamuMbona Azizi ki ameng'aa ghafla?
Kumbe anakuaga handsome hivi na midomo yake ya pink mwenyewe🤔
Hamissa kajua kuchagua🙌
Wee ni camera na mapoudaa tuu..kwny ndoa zile camera za zamaradi uwii alipaukaaa..mpk nikaona huruma..hivi ule mdomo ni nini kile? Au hauna shida ni rangi tuu...nawazaaMbona Azizi ki ameng'aa ghafla?
Kumbe anakuaga handsome hivi na midomo yake ya pink mwenyewe🤔
Hamissa kajua kuchagua🙌
Bahati yao walimtimua UchebeIle programu maalum ya kumfanya awe mfungaji bora wa ligi lazima izingatiwe,, tena kwa game ya leo si ndo fulsa yenyewe sasa,, lazima aondoke na mpira tena na leo,,
Kuna watu wanakuaga na midomo ya pink, hujawahi kukutana nao?Wee ni camera na mapoudaa tuu..kwny ndoa zile camera za zamaradi uwii alipaukaaa..mpk nikaona huruma..hivi ule mdomo ni nini kile? Au hauna shida ni rangi tuu...nawazaa
Hapana aisee...so kumbe sio tatizo?Kuna watu wanakuaga na midomo ya pink, hujawahi kukutana nao?
Anashea cream na mkewe, soon hata kitako kitaongezeka kama cha mkewe😀😀Anatafuta hatrick nyingine ya mapenati ya kutrendishia tukio lake la trh 19...
Mwacheni shemeji bado nguvu zipo..
Sio tatizo.Hapana aisee...so kumbe sio tatizo?
Okey sawa..Sio tatizo.
Kazi kaziWakuu
Baada ya kuwa busy na shughuli ya ndoa tangu Ijumaa baada ya mechi na KMC, Aziz Ki ameanza kwenye kikosi cha Yanga leo kinachoshuka Dimbani saa kumi jioni dhidi ya Singida Big Stars.
Swali la kujiuliza ni muda gani amepata maandalizi kamilifu? Je, Kocha Miloud Hamdi hawaamini wachezaji wengine?
Soma: VIDEO: Aziz Ki tayari amefunga ndoa, ala kiapo cha kuwa mume wa Hamisa Mobetto