Aziz Ki atumie muda mwingi kujifunza kwa Chama

Aziz Ki atumie muda mwingi kujifunza kwa Chama

Time will tell. Kama ukiona mchezaji mwenye miezi 2 tu kwenye ligi, analinganishwa na mchezaji mwenye miaka zaidi ya 4!!

Basi unatakiwa kumuangalia kwa jicho la karibu sana huyo mchezaji.
Afu ungejua wanao mlinganisha Aziz Ki na Chama, ni mashabiki wa Yanga.

Lakini kingine ni namna ambavyo nyie mna vimba na huyo mchezaji wenu anayeonekana kuwa ghali sana wakati thamani yake uwanjani ni ndogo mno
 
Team matobo
1661726007969.jpg
1661759482502.jpg
 


Mwamba alihusika katika magoli yote manne ya jana. Huyo mchezaji wenu atambue hapa Tanzania kuna mwamba mmoja tu. Kwa hiyo achukue muda mwingi ajifunze vitu kwa Mwamba wa Lusaka.

Mbona mnawashwa washwa haraka haraka namna iyo aisee, uyo Aziz ki unaemlinganisha na chama ana muda gani kwenye soka la Tanzania? Uanze kumlinganisha akimaliza angalau msimu mmoja ndo mbivu na mbichi zitajulikana sio kulinganisha mchezaji aliyesajiliwa ajamaliza ata miezi 2, utakuwa ni punguani alafu unamlinganisha na mtu ambae ana misimu si chini ya 4 kwenye soka la tanzania
 
Back
Top Bottom