Aziz Ki atumie muda mwingi kujifunza kwa Chama

Aziz Ki atumie muda mwingi kujifunza kwa Chama

Kuna mkuu huko juu ungesoma comment yake ungejiona hauna akili na ukaukimbia huu uzi,how unamlinganisha mchezaji mwenye miezi miwili kwenye ligi yetu na match 3 za kimashindano na mchezaji mwenye misimu 4 kama si ujuha,halafu mjue kotoko kule sudan hajapeleka sio tu kikosi cha pili,amepeleka timu b
Nimemjibu post number 28

Post in thread 'Aziz Ki atumie muda mwingi kujifunza kwa Chama' Aziz Ki atumie muda mwingi kujifunza kwa Chama

Soma halafu uniambie nani mjinga
 
Kama ni bora mbona ameshindwa kuwaburuza watu kwenye ligi kuu ana 0 goal ujue
 
Nyie wiki 2 zilizopita mlileta under nini mlipokula 2 za mayele
Ni kawaida yenu kujiandaa zaidi dhidi ya Simba kuliko mechi yeyote ile, na wala sitoshangaa kama hata Zalan fc watawatoa kwenye champions league..
 
Ni kawaida yenu kujiandaa zaidi dhidi ya Simba kuliko mechi yeyote ile, na wala sitoshangaa kama hata Zalan fc watawatoa kwenye champions league..
Angalia ukajikolea ndotoni kwa hiyo ndoto unayoendelea kuota,last season nimemaliza ligi unbeaten while nyie mmefungwa hadi na timu zilizoshuka daraja,endelea kuota tu
 
Utetezi wa mashabiki wa Yanga kwa mchezaji wao ni the same huo huo kwa wote, no body seems to have different opinions rather than "ana miezi miwili wakati chama ana miaka 4"

Sisi hatulinganishi takwimu za msimu, tunafanya comparison kwa idadi ya mechi ambazo wote wamecheza na wote tumeziona.

Ingekuwa kujua ubora wa mchezaji ni mpaka amalize msimu wote basi leo hii hawa wakina kambole wangeonekana bora

Hata Simba kuna wachezaji ambao kocha hajafurahishwa na viwango vyao, ameweza kulijua hilo mapema kupitia perfomance ya mechi chache tu, hajasubiri msimu uishe.
Kwanini uwe na haraka wakati muda bado upo na bado mechi kibao tu? Aziz K tuliona mchango wake alipocheza uwanja wenye ubora katika mechi ya ngao ya hisani. Tusubiri muda ufike kila mchezaji acheze katika mazingira tofauti tofauti na kwa idadi kubwa ya michezo ndipo tuje na takwimu za mlinganisho. Yanga imecheza michezo miwili ya away na imeshinda mechi zote mbili na Aziz K akiwa mmoja wapo wa kikosi kilicholeta alama sita kwa Yanga

N..B

Kumlinganisha mchezaji kwa idadi ya assist pekee hakuwezi kuleta mlinganyo sahihi wa ubora bali angalia na big chance created. Mfano mechi ya Yanga vs Simba kuna big chance kama mbili hivi kazitengeneza za magoli ya wazi kabisa lakini mmaliziaji kashindwa ku convert kuwa goli. Mfano ile aliyopigwa tobo Zimbwe
 
Baadae atakuja kuukimbia uzi wake kama ule wa Mayele na Kibu D
Kwa Chama na ki aziz hata ukimuuliza kipofu atakwambia mwamba ni mmoja tu "CHAMA" Huyo mwingine atabaki kuwa Aziza . Takwimu za sasa katika NBC PL zinasema ;
Chama goli 1 assist 2 michezo 2
Aziz goli 0 assist 0 michezo 2

Hayo mengine sijui muda utaongea mnayajua nyie . Yawezekana hata Ligi kuisha asiwe na goli wala assist hata Moja au akawa zaidi ya chama . Lakini kwa sasa mwamba ni mmoja tu "CHAMA"

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Aziz hana cha kujifunza kwa chama,ki anakupa matokeo nechi yoyote na uwanja wowote,hata kwa cv timu alizopita ki chama akasome,ila kwa kuwa mnataka kujifariji,jifarini
Mfano kama matokeo gani anayokupa Azizi Ki?
 
Kwanini uwe na haraka wakati muda bado upo na bado mechi kibao tu? Aziz K tuliona mchango wake alipocheza uwanja wenye ubora katika mechi ya ngao ya hisani. Tusubiri muda ufike kila mchezaji acheze katika mazingira tofauti tofauti na kwa idadi kubwa ya michezo ndipo tuje na takwimu za mlinganisho. Yanga imecheza michezo miwili ya away na imeshinda mechi zote mbili na Aziz K akiwa mmoja wapo wa kikosi kilicholeta alama sita kwa Yanga

N..B

Kumlinganisha mchezaji kwa idadi ya assist pekee hakuwezi kuleta mlinganyo sahihi wa ubora bali angalia na big chance created. Mfano mechi ya Yanga vs Simba kuna big chance kama mbili hivi kazitengeneza za magoli ya wazi kabisa lakini mmaliziaji kashindwa ku convert kuwa goli. Mfano ile aliyopigwa tobo Zimbwe
So Aziz Ki ambaye hata goli la offside hana ndio mchezaji bora kuliko Chama mwenye magoli na assist kibao kwsababu ya big chance anazo tengeneza?

Unanihakikishiaje kuwa haufanyi masiahara?
 
Afu ungejua wanao mlinganisha Aziz Ki na Chama, ni mashabiki wa Yanga.

Lakini kingine ni namna ambavyo nyie mna vimba na huyo mchezaji wenu anayeonekana kuwa ghali sana wakati thamani yake uwanjani ni ndogo mno

Muanzisha uzi ni yanga?
 
By the way sawa aziz k ngoj ajifunze basi[emoji23][emoji23]

AZIZ KE!
 
So Aziz Ki ambaye hata goli la offside hana ndio mchezaji bora kuliko Chama mwenye magoli na assist kibao kwsababu ya big chance anazo tengeneza?

Unanihakikishiaje kuwa haufanyi masiahara?
Nyie hata siwashangai uwezo wenu wa kufikiri. Nakumbuka msimu uliopita mechi hata kumi hazijafika mkaleta uzi wa Kibu kuwa ni bora kuliko Mayele. Shida mna haraka mno
 
Hii Sasa kufuru, mchezaji mwenye spidi ya konokono ukamlinganishe na highly profile player Stefan Aziz K!![emoji28][emoji28][emoji28]
Sasa kwa spidi yake anakimbiza mwenge uliopo kwny jezi yenu au?
 
Manyonyo bana huku mtaani wanasema ukweli kuhusu mwamba aziz ukija kwenye hizi forum ndio wanajifyatua akili
 
Nyie mlitoa milion 400 kumsajili kwa ajili ya kazi ya kupiga tobo?

Upana wa miguu iliyopigwa tobo mbona ni midogo kuliko upana wa goli, kwanini pamoja na upana huo mkubwa wa goli bado hajaweza kufunga?
Hata mchezaji wao yule nani yule aliekua mchezaji bora msimu ulopita nae alipigwa tobo kwny mechi yao na coastal mbonaaaa kwani tobo ndo nini jamani au huko jangwani kuna matobo ya aina nyingine ss hatuyajui maana akipigwa mtu tobo wao wanasisimkwa na inakua ishu kubwa
 
Back
Top Bottom