ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Baadae atakuja kuukimbia uzi wake kama ule wa Mayele na Kibu DMbona mnawashwa washwa haraka haraka namna iyo aisee, uyo Aziz ki unaemlinganisha na chama ana muda gani kwenye soka la Tanzania? Uanze kumlinganisha akimaliza angalau msimu mmoja ndo mbivu na mbichi zitajulikana sio kulinganisha mchezaji aliyesajiliwa ajamaliza ata miezi 2, utakuwa ni punguani alafu unamlinganisha na mtu ambae ana misimu si chini ya 4 kwenye soka la tanzania