Aziz Ki atumie muda mwingi kujifunza kwa Chama

Aziz Ki atumie muda mwingi kujifunza kwa Chama

Utetezi wa mashabiki wa Yanga kwa mchezaji wao ni the same huo huo kwa wote, no body seems to have different opinions rather than "ana miezi miwili wakati chama ana miaka 4"

Sisi hatulinganishi takwimu za msimu, tunafanya comparison kwa idadi ya mechi ambazo wote wamecheza na wote tumeziona.

Ingekuwa kujua ubora wa mchezaji ni mpaka amalize msimu wote basi leo hii hawa wakina kambole wangeonekana bora

Hata Simba kuna wachezaji ambao kocha hajafurahishwa na viwango vyao, ameweza kulijua hilo mapema kupitia perfomance ya mechi chache tu, hajasubiri msimu uishe.
Basi linganisha takwimu za uko alikotoka pia kama unataka takwimu
 
Hata mchezaji wao yule nani yule aliekua mchezaji bora msimu ulopita nae alipigwa tobo kwny mechi yao na coastal mbonaaaa kwani tobo ndo nini jamani au huko jangwani kuna matobo ya aina nyingine ss hatuyajui maana akipigwa mtu tobo wao wanasisimkwa na inakua ishu kubwa
Kama hili [emoji23][emoji23]
1661759482502.jpg
 
Nyie hata siwashangai uwezo wenu wa kufikiri. Nakumbuka msimu uliopita mechi hata kumi hazijafika mkaleta uzi wa Kibu kuwa ni bora kuliko Mayele. Shida mna haraka mno
Kibu kwa nyakati zile alikuwa bora kuliko Mayele kuzingatia muda anaocheza

Azizi Ki ni mchezaji mzuri ila sio wa kumfananisha na Chama, Chama ni high level

Mchezaji mnayetaka mpaka acheze mechi 20 ndio mpime ubora wake huwezi kufananisha na ubora wa mchezaji anao uonesha kila mechi anayo cheza
 
Mbona mnawashwa washwa haraka haraka namna iyo aisee, uyo Aziz ki unaemlinganisha na chama ana muda gani kwenye soka la Tanzania? Uanze kumlinganisha akimaliza angalau msimu mmoja ndo mbivu na mbichi zitajulikana sio kulinganisha mchezaji aliyesajiliwa ajamaliza ata miezi 2, utakuwa ni punguani alafu unamlinganisha na mtu ambae ana misimu si chini ya 4 kwenye soka la tanzania
Futa rekodi zote za Mwamba msimu 4,anzia Simba Day mpaka sasa. Kisha linganisha
 
Hata mchezaji wao yule nani yule aliekua mchezaji bora msimu ulopita nae alipigwa tobo kwny mechi yao na coastal mbonaaaa kwani tobo ndo nini jamani au huko jangwani kuna matobo ya aina nyingine ss hatuyajui maana akipigwa mtu tobo wao wanasisimkwa na inakua ishu kubwa
Kuna tobo halafu kuna tobo na goli juu tofautisha
 
Mambo mengine yanastaajabisha sana. Wacha tu ninyamaze ili nisionekane nina nongwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huna mpyaaaa, unabaki kulia lia Lol.
 
Angekuwa mzuri lisingekaa bench na kufukuzwa berkane[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]
Huyo Aziz Ki hata kuuliziwa huko Berkane nehi, mwenzake Karim yuko zake Ulayaaaa. Yeye kigamboni. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom